Polisi na Magereza watunishiana Msuli Iringa

Nimecheka kama mazuri
 
πŸ˜‚πŸ€£ Kama Kuna polisi bahati mbaya alifanya kosa na Yuko magereza au ndio Yuko kwenye process ya kuelekea huko ajipange.... Revenge yake SI mchezo.....
 
Vita ya panzi furaha kwa kunguru.

Waendelee kutunishiana misuli tu mpk tufike nchi ya ahadi, inaweza kuwa wao ndio wabeba hatma.!
 
Wazungu wanasema, "our chicken are coming home to roast" Unapereka vilaza wa form 4,wale waliofeli chini kabisa, wawe polisi! Unategemea nini?
Yaani huyu mpuuzi anaamini kwa vile yeye ni polisi, ana haki yq kuvunja sheria, na anategmea polisi kitengo cha barabarani, wamuache! Pimbi kabisa, stupidity of highest level
 
Nakubaliana na wewe.ata ukiwa na rafiki akawa police ana badilika kabsaa hili nme lishuhudia kwa rafiki zangu wawili. Kazi ya kishenzi sana hii

O
Hata ukiwa na msala wa kawaida tu na pengine umesingiziwa yaani anakuwa anakukataa kiaina na tena anajifanya file lipo mamlaka za juu, na hapo hujamwomba msaada
 
Hapo hatujawasikia polisi wenyewe kutolea ufafanuzi......... mzee wangu alikuwa dereva katika taasisi binafsi alikuwa anasafiri sana alinifundisha kuwa unaposimamishwa na traffic jitahidi kucontrol approach. .. .. hakuna mwanaume anayepinda kuonekana siyo mwanaume
 
Kwa nini isiwe kesho tu??

mimi niko upande wa jeshi la Magereza

Magereza piga hao
 
Kuna police mmoja unakuta anakuja na gari la kazin PT anapaki barabaran tu hawa watu wapewe semina
 
Kwahiyo wao Magereza wana haki ya kuvunja sheria? Je wakigonga na kusababisha vifo watasemaje
Huyo anayeongea kuwa ipo siku polisi watakipata wanachokitaka hana akili kabisa, kauli ya kwamba wao wote ni askari haina mashiko na siyo sababu ya wao kukiuka sh sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…