Polisi na Magereza watunishiana Msuli Iringa

Kikosi Maalum Cha Kutuliza Ghasia Magerezani (KMKGM) vs (FFU) Fanya Fujo Uone Field Force Unit

Tujue nani mwamba Magereza vs Polisi kupitia vikosi vyao maalum KMKGM vs FFU
Hiyo sio mechi ya mpira, punguza kushabikia mambo ya ajabu
 
Ni aibu sana kuona.jeshi kwa jeshi wanasumbuana kiasi hiki - tena wizara moja.Lkn huu ni ushindi kwa wapenda haki - huu ni mpango wa Mungu - It means hata wenzao wameanza kuona jinsi polisi wanavyozingua na kufanyakazi bila ufanisi.
Zaidi ni visasi na hisia..kwa nini wasiwapige fine kama sheria inavyosema na wakaendelea na safari yao??
Polisi ni kama bomu - ipo siku litalipuka tu...
 
Japokuwa Polisi huwa siwakubali Ila wanabidi kuwakamata hao prison endapo wakiwa wamevunja sheria .

Wasiishie hapo wawakamate na wanajeshi ambao huvunja sheria na kupiga watu bila sababu.
 
Ni kweli watakuwa wamevunja sheria lakini siyo kila mahali unaweza ukafuata sheria,katika hili walitakiwa wamezee,mbona kwenye mambo nyeti kabisa ambapo ndipo wanapotakiwa kutumia sheria kwa nguvu zote hawafanyi hivyo kama kwenye utekaji wa wanasiasa na kwenye kura fake huwezi ukasikia polisi wamegusa huko.
 
Acha ufala sikiliza vizuri tumia adabu kwenye kufikiria na tafakari yako iwe Ina akili timamu
 
🤣 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…