pamoja Santa
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 743
- 1,148
Yani Kwa nnavyomjua Mimi haya majeshi huwa wanaongea vizuri tu na kama Kuna kasoro wanelekezana ila ukijifanya mjuaji na hutaki kujua au kukiri kosa lako hapo ndo huwa wanakomeshana.
Huyo magereza anayeongea hapo anaonekana ana kisirani sana ndo maana wameamua wawakomeshe.
Mimi kwetu watu wa majeshi ni wengi na mara nyingi nimesafiri nao sana wakiwa wanasafiri huwa wanaendesha Kwa fujo sana njiani na akikamatwa na traffic wanakiri kosa na kuongea kistaarab na mara nyingi huwa yanaisha na ni mara moja tu nimeshuhudia akipigwa faini sababu wakuu mbali mbali walikuepo ili kuua soo!
Sasa huyo jamaa yenu wa magereza kwanza inaonekana Hana nidhamu kabisa na anaweza kuadhibiwa Kwa alichokifanya kutuma mtandaoni na inavyoonesha tu huyu alikuwa anaambiwa makosa yake anakuwa mkali et kisa na yeye ni askari, humo kama kungekuwa na silaha angetembea spidi yoyote lakini Kwa kuwa Kuna watu basi fata Sheria inavyosema!
Katika kitu ambacho siamini eti kwamba Rto alivyowasimamisha hakutaka kuongea nao na kuwapeleka kituo Cha police moja Kwa moja hiyo hapana asee siamini kabisa