Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Ni vigumu sana kwa hapa Tanzania kujua tofauti kati ya Polisi na majambazi hatari. Angalau majambazi hawakumbakii kesi na kuomba rushwa, kwa hiyo labda majambazi ni nafuu, lakini wote wanaiba na kuua!Mimi Police hao siwapendi Sana
Balaa kaka nina jamaa tulisoma nae ni Askari police siku mpaka nilimwambia nyie askari siwapendi sana kuna mwingine lilikujaga kunikamata siku nmekutana nalo nililia buyu vibayaNi vigumu sana kwa hapa Tanzania kujua tofauti kati ya Polisi na majambazi hatari. Angalau majambazi hawakumbakii kesi na kuomba rushwa, kwa hiyo labda majambazi ni nafuu, lakini wote wanaiba na kuua!
Binti yangu akija kusema naolewa na mtu askari Polisi au mfanyakazi wa TRA, itaniwia vigumu sana kumkubalia, japo wengine wataona kama binti anaolewa kwenye pesa nje nje ya rushwa kaukata kupata mume ambae atakuwa haishiwi!
Ukiniambia una urafiki na askari POlisi kama tulikuwa marafiki hapo ndio mwisho wa urafiki wetu. Zamani nilimuona POlisi kama mtu shujaa wa kupambana na wahalifu, lakini sio siku hizi. Namumuona POlisi kama jambazi ambae atakuua bila hurua au kukubambikiza kesi ili afaidike na kitu fulani.Hivi polisi mlipata laana gani
Mtu ukiwa karibu au rafiki na polisi jamii lazima ikutenge tu..inajua unawasinich😂
Pwolisi badilikeni dunia tuliyo nayo sio kama enzi za mkoloni.
HUyu Makonda ndio usimsikilize kabisa!Kama mpaka Mstaafu wetu Paul Makonda naye ameanza kuwalalamikia Polisi, kweli siyo watu wazuri... View attachment 2148605
Hahahaha! Mkuu NIDA wao angalau hawabambikii watu kesi. Tatizo la NIDA ni uongozi mbovu tu na uzembe, na pia kwa kiasi fulani kutopewa fedha za kutosha na serikaliNIDA
Basi muoe wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni vigumu sana kwa hapa Tanzania kujua tofauti kati ya Polisi na majambazi hatari. Angalau majambazi hawakumbakii kesi na kuomba rushwa, kwa hiyo labda majambazi ni nafuu, lakini wote wanaiba na kuua!
Binti yangu akija kusema naolewa na mtu askari Polisi au mfanyakazi wa TRA, itaniwia vigumu sana kumkubalia, japo wengine wataona kama binti anaolewa kwenye pesa nje nje ya rushwa kaukata kupata mume ambae atakuwa haishiwi!
Hakika wewe umenenaHapa nchini kwetu Tanzania, kuna taasisi mbili za serikali ambazo nazichukia kwa moyo wangu wote. Yaani taasisi hizi zingekuwa ni wanadamu nikaona wanaelekea kutumbukia katika shimo hatari na nisipowatahadharisha watakufa, ningekaa kimya ili wapotelee mbali.
1. Jeshi la Polisi Tanzania
2. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
Hizi ni taasisi ambazo naona utendaj wake ni wa dhuruma, kukomoana, kuoneana, kubambikiziana, na kujiona wao ni miungu watu ambao wako juu sana ya Watanzania wengine, na ni haki yao kupewa rushwa.