Polisi na TRA ni Taasisi mbili za Serikali ya Tanzania ambazo nazichukia kwa moyo wangu wote

Hawa watu sijui wanapataje usingizi.
 
KUNA WATU WAMEKOSA SHUKURANI KABISA UNALALA USIKU KUCHA KWA AMANI, UNAFANYA SHUGHULI ZAKO KWA AMANI UKIIBIWA KUNAKWENDA POLISH KURIPOTI SHIDA YAKO INATATULIWA,
>una moyo wa chadema Wewe sibure /huna shukrani
 
KUNA WATU WAMEKOSA SHUKURANI KABISA UNALALA USIKU KUCHA KWA AMANI, UNAFANYA SHUGHULI ZAKO KWA AMANI UKIIBIWA KUNAKWENDA POLISH KURIPOTI SHIDA YAKO INATATULIWA,
Eboo, wewe vipi? Ni sawa na dereva wa KIlimanjaro kusema abiria wake wamekosa shukurani wanamlaumu wakati alitaka kuwawahisha Dar!
 
Kuchukia Polisi na TRA ni kudhihirisha kuwa uwezo wako wa kufikiri una wakakini. Wachukie waliotunga sheria za namna ya kuendesha hizo taasisi.
 
Kuchukia Polisi na TRA ni kudhihirisha kuwa uwezo wako wa kufikiri una wakakini. Wachukie waliotunga sheria za namna ya kuendesha hizo taasisi.
CCM ni laana ya hili Taifa yaani Sheria zinatungwa na kina Msukuma,Jah People,kibajaji & co Ambao ni std seven
Halafu zinakuja kutafsiriwa na kina kibatalah,Tundu Lissu,Fatma Karume na majaji wenye CV zilizoshiba
What a joke
Only Tanzania you will see the Miracles!
😁😁😁😁😁πŸ”₯πŸ”₯
 
Marehemu Masaburi alikuwa sahihi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…