Polisi na wanajeshi siku hizi hata kuvaa nguo zao wanaona kama wanazaraulika.

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
6,007
Reaction score
15,216
Miaka ya nyuma ukiwakuta kwenye uniform zao unapata msisimuko sana.

Ila wao wamekuwa na aibu tokea October 29.

Wengine mpaka wamefikia kuto jionesha kazi zao.

 

Attachments

  • 6405238-eae1ceee959bf6fd97d9fb2eab102cc4.mp4
    9.2 MB
Polisi, shetani wanayemtumikia amewaondolea akili ya kawaida kiasi cha wao kuamini kuwa kazi yao ni kuua, na kwamba wao hawawezi kufa wakiwa bado wanamtumikia shetani. Taratibu Mungu anazidi kuwaonesha kuwa wao ni wanadamu.
 
πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜€Nguo Nzito
 
Police wa TANZANIA wakistaafu Tu wanaugua stroke sijui Wana kitu gani na huu ugonjwa
 
Hata kama ni wewe mkuu, umeua binadam mwenzio bila kosa utakuwa na ujasili au Amani kabisa?

Hicho kitu kinawatesa sana kujumuika na watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…