GE2025 Polisi: Padre aliyedai ametekwa, hakutekwa. Alisafiri mwenyewe kwa basi na kwenda Mbeya

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Jeshi la Polisi mkoani Iringa linamshikilia padre Jordan Kibiki wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mafinga, kwatuhuma za kutoa taarifa za uongo kuwa ametekwa na watu wasiojulikana. Kamanda wa Polisi mkoa wa Iringa, SACP Allan Bukumbi, amethibitisha kukamatwa kwa padre huyo na kueleza kuwa uchunguzi wa awali umebaini kuwa hakutekwa bali ametoa taarifa hizo za uongo kupitia mtandao wa WhatsApp, akidai alitekwa na kupelekwa jijini Mbeya kwa kutumia gari aina ya Toyota Alphard, na kwamba mmoja wa watekaji alikuwa na bastola.​

Kamanda Bukumbi amesema kwamba baada ya taarifa hiyo kuchapishwa, baadhi ya mapadre wenzake walienda kutoa taarifa za kutekwa kwa Padre huyo katika Kituo cha Polisi Mafinga tarehe 18 mwezi wa tisa. Aidha, uchunguzi umebaini kuwa Padre huyo alikuwa anakabiliwa na madeni makubwa baada ya kukopa fedha kutoka kwa watu mbalimbali na kushindwa kurejesha. Katika hatua nyingine, jeshi hilo pia linawashikilia watu watano kwa tuhuma za utakatishaji fedha na udanganyifu kupitia mwamvuli wa dini.
===============
Hii taarifa hadi watumishi wa bwana wamegeukwa au ni kutokana na taarifa ya Mange ya hivi karibuni kuhusu barua iliyovuja ya Serikali kutoa maagizo ya kuwatambua Viongozi wa Dini wasiomuunga mkono Rais Samia. Au jamaa alikuwa kwenye orodha nini?​

​

#HABARI Jeshi la Polisi mkoani Iringa linamshikilia padre Jordan Kibiki wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mafinga, kwatuhuma za kutoa taarifa za uongo kuwa ametekwa na watu wasiojulikana.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Iringa, SACP Allan Bukumbi, amethibitisha kukamatwa kwa padre huyo na kueleza kuwa uchunguzi wa awali umebaini kuwa hakutekwa bali ametoa taarifa hizo za uongo kupitia mtandao wa WhatsApp, akidai alitekwa na kupelekwa jijini Mbeya kwa kutumia gari aina ya Toyota Alphard, na kwamba mmoja wa watekaji alikuwa na bastola.

Kamanda Bukumbi amesema kwamba baada ya taarifa hiyo kuchapishwa, baadhi ya mapadre wenzake walienda kutoa taarifa za kutekwa kwa Padre huyo katika Kituo cha Polisi Mafinga tarehe 18 mwezi wa tisa.

Aidha, uchunguzi umebaini kuwa Padre huyo alikuwa anakabiliwa na madeni makubwa baada ya kukopa fedha kutoka kwa watu mbalimbali na kushindwa kurejesha.

Katika hatua nyingine, jeshi hilo pia linawashikilia watu watano kwa tuhuma za utakatishaji fedha na udanganyifu kupitia mwamvuli wa dini. #EastAf
Screenshot_20250924_162136_Facebook.jpg
ricaTV
 
Jeshi la Polisi mkoani Iringa linamshikilia padre Jordan Kibiki wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mafinga, kwatuhuma za kutoa taarifa za uongo kuwa ametekwa na watu wasiojulikana. Kamanda wa Polisi mkoa wa Iringa, SACP Allan Bukumbi, amethibitisha kukamatwa kwa padre huyo na kueleza kuwa uchunguzi wa awali umebaini kuwa hakutekwa bali ametoa taarifa hizo za uongo kupitia mtandao wa WhatsApp, akidai alitekwa na kupelekwa jijini Mbeya kwa kutumia gari aina ya Toyota Alphard, na kwamba mmoja wa watekaji alikuwa na bastola.​

Kamanda Bukumbi amesema kwamba baada ya taarifa hiyo kuchapishwa, baadhi ya mapadre wenzake walienda kutoa taarifa za kutekwa kwa Padre huyo katika Kituo cha Polisi Mafinga tarehe 18 mwezi wa tisa. Aidha, uchunguzi umebaini kuwa Padre huyo alikuwa anakabiliwa na madeni makubwa baada ya kukopa fedha kutoka kwa watu mbalimbali na kushindwa kurejesha. Katika hatua nyingine, jeshi hilo pia linawashikilia watu watano kwa tuhuma za utakatishaji fedha na udanganyifu kupitia mwamvuli wa dini.

Tupeni namna bora ya kuwaamini
 
Sasa kama mtumishi wa Mungu anadaiwa na kusema uongo kuwa ametekwa ni mangapi anawaongopea waumini wake?
Kujichafulia picha yake mwenyewe.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Jeshi la Polisi mkoani Iringa linamshikilia padre Jordan Kibiki wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mafinga, kwatuhuma za kutoa taarifa za uongo kuwa ametekwa na watu wasiojulikana. Kamanda wa Polisi mkoa wa Iringa, SACP Allan Bukumbi, amethibitisha kukamatwa kwa padre huyo na kueleza kuwa uchunguzi wa awali umebaini kuwa hakutekwa bali ametoa taarifa hizo za uongo kupitia mtandao wa WhatsApp, akidai alitekwa na kupelekwa jijini Mbeya kwa kutumia gari aina ya Toyota Alphard, na kwamba mmoja wa watekaji alikuwa na bastola.​

Kamanda Bukumbi amesema kwamba baada ya taarifa hiyo kuchapishwa, baadhi ya mapadre wenzake walienda kutoa taarifa za kutekwa kwa Padre huyo katika Kituo cha Polisi Mafinga tarehe 18 mwezi wa tisa. Aidha, uchunguzi umebaini kuwa Padre huyo alikuwa anakabiliwa na madeni makubwa baada ya kukopa fedha kutoka kwa watu mbalimbali na kushindwa kurejesha. Katika hatua nyingine, jeshi hilo pia linawashikilia watu watano kwa tuhuma za utakatishaji fedha na udanganyifu kupitia mwamvuli wa dini.

Hii taarifa hadi watumishi wa bwana wamegeukwa au ni kutokana na taarifa ya Mange ya hivi karibuni kuhusu barua iliyovuja ya Serikali kutoa maagizo ya kuwatambua Viongozi wa Dini wasiomuunga mkono Rais Samia. Jamaa alikuwa kwenye orodha nini?​

​

Shida ushaingizia maoni ya kisiasa.
Ngoja nikaibe na Mimi halafu nianze kutembea na bendera ya CHADEMA nikikamatwa najua itaonekana nanyanyaswa kisa nipo chadema
 
Hii dini inaonekana kusema uongo siyo dhambi yule mwingine alikunywa mapombe akaanguka chooni akasingizia kapigwa na watu wasiojulikana
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Chanzo . ITV
‎HABARI:
Jeshi la Polisi mkoani Iringa
linamshikilia Padri Jodan Kibiki, wa Kanisa
Katoliki Jimbo la Mafinga, kwa madai ya
kusambaza taarifa za uwongo kwenye makundi
ya Whatsapp akidai kutekwa na watu wenye
Silaha.

Akizungumza na Waandishi wa habari mjini
Iringa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa SACP
Alan Bukumbi, amesema Padri Kibiki anadaiwa
kusambaza taarifa hizo akiwataarifu Mapadri
wenzake, kuwa ametekwa na watu
wasiojulikana na kusababisha taharuki.

Kamanda Bukumbi amesema kuwa uchunguzi
wa awali umebaini Padri Kibiki alikuwa
anakimbia madeni.
 
Duh! Waarabu wa Saudia kwa Mufti Bin Salman Bin Maktoom wakiuona huu uzi, Wakatoliki tumekwisha. 🙆
Tuko hapa na Uzi tumeishauona kitambo sana yaani!
Mbona kule Kamachumu mkoani Kagera kuna kesi ya padri wa kanisa katoliki anakabiliwa na kesi ya kushiriki mauaji ya mtoto albino na sisi waislamu hatukushangaa kwa sababu tunajua watu ambao akili zao zimeathiriwa na ulaji wa nyama za nguruwe kufanya vitendo vibaya kama hivi ni jambo la kawaida tu?!
 
Dah! Sheikh umeamua kutema nyongo.
 
Back
Top Bottom