Huwa wanaomba msamaha kwa CCM pekeeDa nchi hii kwa hiyo police hata kama sio kweli mkikosea hamuwezi omba msamaha
Anadhihirisha kuwa polisi hata siku moja hawawezi kuomba samahani kwa ChademaWakuu,
Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora limesema kwamba, halina Mkuu wa kituo cha polisi wa aina ya yule ambaye video yake ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii yenye kichwa cha habari kisemacho "Mkuu wa kituo cha polisi Tabora amuomba msamaha Heche baada ya vurugu", na kwamba tayari limemkamata mtu huyo.
Taarifa hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora Richard Abwao, na kuwataka wananchi waipuuze picha mjongeo hiyo kwani imetengenezwa kwa lengo la kuwahadaa na kuwapotosha.
Soma pia: Mkuu wa Kituo cha Polisi Tabora amuomba radhi John Heche kutokana na vurugu zilizotokea kwenye mkutano wa CHADEMA
"Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora halina Mkuu wa Kituo cha Polisi Igunga wa aina hiyo, na kutokana na kitendo hicho cha kihalifu cha kutengeneza na kusambaza taarifa ya uongo,Jeshi la Polisi limefanya msako na kufanikiwa kumkamata mtu aitwaye Daud Paul Delim (49), ambaye ni mkazi wa Mbagala A wilayani Igunga aliyejifanya ni Mkuu wa Kituo cha Polisi akiomba msamaha, amekamatwa na anaendelea kuhojiwa ili kujua alioshirikiana nao kuandaa picha mjongeo hiyo hasi na potofu na kuisambaza ili hatua stahiki za kisheria dhidi yao zichukuliwe," imeeleza taarifa ya RPC Tabora
Source: East Africa TV
Ndiyo Ukweli WenyeweHuwa wanaomba msamaha kwa CCM pekee
Polisi ya hovyo kabisaNdiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
NakaziaPolisi ya hovyo kabisa
Hii nchi bhana....Wakuu,
Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora limesema kwamba, halina Mkuu wa kituo cha polisi wa aina ya yule ambaye video yake ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii yenye kichwa cha habari kisemacho "Mkuu wa kituo cha polisi Tabora amuomba msamaha Heche baada ya vurugu", na kwamba tayari limemkamata mtu huyo.
Taarifa hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora Richard Abwao, na kuwataka wananchi waipuuze picha mjongeo hiyo kwani imetengenezwa kwa lengo la kuwahadaa na kuwapotosha.
Soma pia: Mkuu wa Kituo cha Polisi Tabora amuomba radhi John Heche kutokana na vurugu zilizotokea kwenye mkutano wa CHADEMA
"Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora halina Mkuu wa Kituo cha Polisi Igunga wa aina hiyo, na kutokana na kitendo hicho cha kihalifu cha kutengeneza na kusambaza taarifa ya uongo,Jeshi la Polisi limefanya msako na kufanikiwa kumkamata mtu aitwaye Daud Paul Delim (49), ambaye ni mkazi wa Mbagala A wilayani Igunga aliyejifanya ni Mkuu wa Kituo cha Polisi akiomba msamaha, amekamatwa na anaendelea kuhojiwa ili kujua alioshirikiana nao kuandaa picha mjongeo hiyo hasi na potofu na kuisambaza ili hatua stahiki za kisheria dhidi yao zichukuliwe," imeeleza taarifa ya RPC Tabora
Source: East Africa TV
Wanaweza kumuua pia kwa kuomba msamaha kwa niaba yao...Atakuwa amepigwa vya kutosha na hii polisi katili kupita kiasi
Hawezi kutoka mzimaWanaweza kumuua pia kwa kuomba msamaha kwa niaba yao...
Kwa tulipofikia kiongozi au mtendaji yoyote wa serikali hii kuomba msamaha au kuwajibuka au kujiudhuru ni msamiati mgumuKwani ni kosa kwa polisi kuomba msamaha?
Alipaswa aiombe CCM pekeeKwani ni kosa kwa polisi kuomba msamaha?