PreGE2025 Polisi Tabora: Aliyemuomba msamaha Heche sio Polisi, tayari tumeshamkamata

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
..Na wahuni waliofanya fujo hawafafutwi, badala yake anashughulikiwa raiamwema!!
Huyo ndo miongoni mwa wahuni walioanza kukamatwa raia mwema hawezi kujitambulisha ni polisi wakati siyo polisi, ni mbinu inayotumiwa pia na watekaji kujitambulisha ni polisi, je vipi alivyojitambulisha ni polisi alafu akaondoka na Heche na asionekane tena lawama zingeenda kwa nani? Si inesemwa ni mkuu wa polisi ndo kaondoka na Heche
 
..raia wema anaruhusiwa kujifanya polisi ili kutunza amani. Tunaangalia matokeo ya alichokifanya.
 
Yan huyo dakika sifuri kakamatwa ila wale wengine zaidi ya miaka minne hawajulikani. Masikini tuepuke tu haya mambo maana hapa duniani Haki ni Kwa mbinde
 
Mbona watekaji huwa hawakamatwi?

Yule kibaka aliyemtishia Kitima mbona hawakutuonyesha kama hivi walivyomkamata?

Hatupo 1970 hapa.
 
Back
Top Bottom