PreGE2025 Polisi Tabora: Aliyemuomba msamaha Heche sio Polisi, tayari tumeshamkamata

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakuu,

Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora limesema kwamba, halina Mkuu wa kituo cha polisi wa aina ya yule ambaye video yake ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii yenye kichwa cha habari kisemacho "Mkuu wa kituo cha polisi Tabora amuomba msamaha Heche baada ya vurugu", na kwamba tayari limemkamata mtu huyo.

Taarifa hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora Richard Abwao, na kuwataka wananchi waipuuze picha mjongeo hiyo kwani imetengenezwa kwa lengo la kuwahadaa na kuwapotosha.

Soma Pia: Mkuu wa Kituo cha Polisi Tabora amuomba radhi John Heche kutokana na vurugu zilizotokea kwenye mkutano wa CHADEMA

"Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora halina Mkuu wa Kituo cha Polisi Igunga wa aina hiyo, na kutokana na kitendo hicho cha kihalifu cha kutengeneza na kusambaza taarifa ya uongo,Jeshi la Polisi limefanya msako na kufanikiwa kumkamata mtu aitwaye Daud Paul Delim (49), ambaye ni mkazi wa Mbagala A wilayani Igunga aliyejifanya ni Mkuu wa Kituo cha Polisi akiomba msamaha, amekamatwa na anaendelea kuhojiwa ili kujua alioshirikiana nao kuandaa picha mjongeo hiyo hasi na potofu na kuisambaza ili hatua stahiki za kisheria dhidi yao zichukuliwe," imeeleza taarifa ya RPC Tabora

Source: East Africa TV
Jeshi la Polisi liache mihemko .

Ni wapi yule jamaa alijifanya Mkuu wa Kituo Cha Polisi???.

YAan badala Jeshi la Polisi lideal na alochapisha Habari , linamkamata Mwanachama wa CHADEMA anayekiunga chama chake mkono??.

Hili Jeshi mbona la kipuuzi sana, hawana akili??.
 
Sio kosa, kosa ni kujifanya ww ni polisi alaf ukaomba msamah kwa niaba yao.
Kwani hili linaitaji tuisheni jamani ah ?
Hivi Kwa mfano alikua ni polisi kweli unafikiri anaweza kuita press akadhibitisha dhidi ya tamko ambalo limeshatolewa na jeshi la polisi? Lakini pia alikua ana ulazima Gani kusimama kuomba radhi Kwa niaba ya jeshi la polisi na wakati yeye sio polisi? tuwe na chujio japo kidogo katika ubongo wetu sio Kila Neno tunalosikia tunalimeza kama lilivyo Naomba urudie haya maneno hapo chini katika barua waliotoa jeshi la polisi ukiwa umetulia nafkiri utapata picha flani.

"JESHI LA POLISI HALINA MKUU WA POLISI IGUNGA WA AINA HIYO"
 
Huyo Abwao ni msengerema sana sasa atuambie wahalifu wa Tabora wako wapi au ni yeye ndio alikuwa anawaleta wale JKT mkutanoni!? Wamedundwa kama Ngoma mbwa wewe. The Hague inawasubiri mwaka huu.
 
Wakuu,

Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora limesema kwamba, halina Mkuu wa kituo cha polisi wa aina ya yule ambaye video yake ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii yenye kichwa cha habari kisemacho "Mkuu wa kituo cha polisi Tabora amuomba msamaha Heche baada ya vurugu", na kwamba tayari limemkamata mtu huyo.

Taarifa hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora Richard Abwao, na kuwataka wananchi waipuuze picha mjongeo hiyo kwani imetengenezwa kwa lengo la kuwahadaa na kuwapotosha.

Soma Pia: Mkuu wa Kituo cha Polisi Tabora amuomba radhi John Heche kutokana na vurugu zilizotokea kwenye mkutano wa CHADEMA

"Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora halina Mkuu wa Kituo cha Polisi Igunga wa aina hiyo, na kutokana na kitendo hicho cha kihalifu cha kutengeneza na kusambaza taarifa ya uongo,Jeshi la Polisi limefanya msako na kufanikiwa kumkamata mtu aitwaye Daud Paul Delim (49), ambaye ni mkazi wa Mbagala A wilayani Igunga aliyejifanya ni Mkuu wa Kituo cha Polisi akiomba msamaha, amekamatwa na anaendelea kuhojiwa ili kujua alioshirikiana nao kuandaa picha mjongeo hiyo hasi na potofu na kuisambaza ili hatua stahiki za kisheria dhidi yao zichukuliwe," imeeleza taarifa ya RPC Tabora

Source: East Africa TV
Hapo sawa!
 
Wakiteka wanasema jeshi la polisi halijafanya hivyo,wakiuua wanakana na hata kuomba msamaha nako imekuwa stori.Jeshi lolote linapojihusisha na siasa siyo jeshi tena inakuwa ni kikundi cha kufanya maasi.
 
Wakuu,

Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora limesema kwamba, halina Mkuu wa kituo cha polisi wa aina ya yule ambaye video yake ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii yenye kichwa cha habari kisemacho "Mkuu wa kituo cha polisi Tabora amuomba msamaha Heche baada ya vurugu", na kwamba tayari limemkamata mtu huyo.

Taarifa hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora Richard Abwao, na kuwataka wananchi waipuuze picha mjongeo hiyo kwani imetengenezwa kwa lengo la kuwahadaa na kuwapotosha.

Soma Pia: Mkuu wa Kituo cha Polisi Tabora amuomba radhi John Heche kutokana na vurugu zilizotokea kwenye mkutano wa CHADEMA

"Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora halina Mkuu wa Kituo cha Polisi Igunga wa aina hiyo, na kutokana na kitendo hicho cha kihalifu cha kutengeneza na kusambaza taarifa ya uongo,Jeshi la Polisi limefanya msako na kufanikiwa kumkamata mtu aitwaye Daud Paul Delim (49), ambaye ni mkazi wa Mbagala A wilayani Igunga aliyejifanya ni Mkuu wa Kituo cha Polisi akiomba msamaha, amekamatwa na anaendelea kuhojiwa ili kujua alioshirikiana nao kuandaa picha mjongeo hiyo hasi na potofu na kuisambaza ili hatua stahiki za kisheria dhidi yao zichukuliwe," imeeleza taarifa ya RPC Tabora

Source: East Africa TV
Nime amini jeshi letu la polisi hufuata mkumbo, na kupokea maelekezo tika juu. Hivi kwenye ile clip kuna mahali yule jamaa alijitambulisha kama mkuu wa kituo?? Hivi mkuu wa kituo ange weza mwambia Heche kwama ana fuatilia mikutano yao na hata tone tone ana changa? Hebu Tumieni akiki zenu kidogo tuu. Sio kwa vile mne soma kwa vyeti vya watu basi hata ajiki ziwe za watu. Mna tia aibu..
 
Wakuu,

Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora limesema kwamba, halina Mkuu wa kituo cha polisi wa aina ya yule ambaye video yake ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii yenye kichwa cha habari kisemacho "Mkuu wa kituo cha polisi Tabora amuomba msamaha Heche baada ya vurugu", na kwamba tayari limemkamata mtu huyo.

Taarifa hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora Richard Abwao, na kuwataka wananchi waipuuze picha mjongeo hiyo kwani imetengenezwa kwa lengo la kuwahadaa na kuwapotosha.

Soma Pia: Mkuu wa Kituo cha Polisi Tabora amuomba radhi John Heche kutokana na vurugu zilizotokea kwenye mkutano wa CHADEMA

"Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora halina Mkuu wa Kituo cha Polisi Igunga wa aina hiyo, na kutokana na kitendo hicho cha kihalifu cha kutengeneza na kusambaza taarifa ya uongo,Jeshi la Polisi limefanya msako na kufanikiwa kumkamata mtu aitwaye Daud Paul Delim (49), ambaye ni mkazi wa Mbagala A wilayani Igunga aliyejifanya ni Mkuu wa Kituo cha Polisi akiomba msamaha, amekamatwa na anaendelea kuhojiwa ili kujua alioshirikiana nao kuandaa picha mjongeo hiyo hasi na potofu na kuisambaza ili hatua stahiki za kisheria dhidi yao zichukuliwe," imeeleza taarifa ya RPC Tabora

Source: East Africa TV
Kupotosha umma kivipi!!?? acheeni ufara nyie mapolisi!! kwani nyie sio binadamu hamkosei!! Jinga kabisa polisi.
 
Wazo tu

Kama ni kweli walifanyiwa vurugu kwenye mkutano wao basi ni vyema kuwatafuta waliofanya vurugu na pia huyo kama kweli alisema yeye ni mkuu wa polisi anastahili kuwa chini ya ulinzi.

Angalizo ni kwamba je huyo alisema yeye ni mkuu wa polisi au waandishi walioripoti ndio walisema hivyo!!???? Hapo ndio askari hujulikana kwenye ufahamu wake juu ya kuwekwa mtu matatizoni bila kujua au alikusudia mwenyewe.
 
Wakuu,

Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora limesema kwamba, halina Mkuu wa kituo cha polisi wa aina ya yule ambaye video yake ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii yenye kichwa cha habari kisemacho "Mkuu wa kituo cha polisi Tabora amuomba msamaha Heche baada ya vurugu", na kwamba tayari limemkamata mtu huyo.

Taarifa hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora Richard Abwao, na kuwataka wananchi waipuuze picha mjongeo hiyo kwani imetengenezwa kwa lengo la kuwahadaa na kuwapotosha.

Soma Pia: Mkuu wa Kituo cha Polisi Tabora amuomba radhi John Heche kutokana na vurugu zilizotokea kwenye mkutano wa CHADEMA

"Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora halina Mkuu wa Kituo cha Polisi Igunga wa aina hiyo, na kutokana na kitendo hicho cha kihalifu cha kutengeneza na kusambaza taarifa ya uongo,Jeshi la Polisi limefanya msako na kufanikiwa kumkamata mtu aitwaye Daud Paul Delim (49), ambaye ni mkazi wa Mbagala A wilayani Igunga aliyejifanya ni Mkuu wa Kituo cha Polisi akiomba msamaha, amekamatwa na anaendelea kuhojiwa ili kujua alioshirikiana nao kuandaa picha mjongeo hiyo hasi na potofu na kuisambaza ili hatua stahiki za kisheria dhidi yao zichukuliwe," imeeleza taarifa ya RPC Tabora

Source: East Africa TV
Kufa kwa nyani miti yote huteleza. Sikuona sababu, maana hii act ilileta amani kweli kweli na umoja ila kwa kauli ya huyu kamanda tayari ni viashiria kuwa polisi ndiyo watekaji na wauji na wanaandaa mazingira ya kuuana wenyewe kwa wenyewe. Haya ndiyo alisema Gwajima, yaani kuna shida gani huko?
 
Tulitegemea RPC wa Tabora aeleze sababu za Jeshi la Polisi kuchelewa kufika kwenye Eneo la Mkutano wa Chadema ambao alikuwa na Taarifa nao, Hadi Mamluki wa ccm wakaleta vurugu, lakini cha Ajabu analeta Porojo za kiwango cha chini sana

Screenshot_2025-06-11-18-36-24-1.png

Huyu angekuwa kwenye Nchi Makini kama Kenya angevuliwa Cheo na kukamatwa

Na kwa kauli hii ya RPC ni dhahiri Polisi walipanga shambulio hilo ama walijua kwamba litafanyika.

Hii ni Aibu Kuu kwa Jeshi la Polisi Tabora na ni Fedheha kwa Nchi
 
Kujidai afisa wa polisi ni kosa kamili linalojitegemea na ni kinyume na sheria, hapo kosa siyo kuomba msamaha kosa ni kujifanya afisa wa polisi.

..alifanya kwa nia njema.

..imesaidia kurudisha utulivu.
 
..alifanya kwa nia njema.

..imesaidia kurudisha utulivu.
Hakuna nia njema kwenye kuvunja sheria kitendo cha kujitambulisha ni polisi na akaaminiwa anaweza kutumia hiyo status akamchukua mtu akaondoka nae ikaonekana kaondoka na polisi
 
..Na wahuni waliofanya fujo hawafafutwi, badala yake anashughulikiwa raiamwema!!
 
Kuna raia unweza kuwaza wanakomenti kwa kutumia ubongo upi dah tuna safari ndefu sana hii nchi ID zenywe za uongo lakini bado hamkubari kusimamia wema hata kidogo ni kama mnalipwa sana sijui au ndo ile lolote pinga bisha,sina chama lkn kuwa upande wa ccm hapana kwakweli.
 
Ulisikiliza alichosema au umesikiliza maneno ya RPC. Nenda Youtube ukasikilize tena alichomwambia Heche
 
Back
Top Bottom