Wakuu,
Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora limesema kwamba, halina Mkuu wa kituo cha polisi wa aina ya yule ambaye video yake ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii yenye kichwa cha habari kisemacho "Mkuu wa kituo cha polisi Tabora amuomba msamaha Heche baada ya vurugu", na kwamba tayari limemkamata mtu huyo.
Taarifa hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora Richard Abwao, na kuwataka wananchi waipuuze picha mjongeo hiyo kwani imetengenezwa kwa lengo la kuwahadaa na kuwapotosha.
Soma pia: Mkuu wa Kituo cha Polisi Tabora amuomba radhi John Heche kutokana na vurugu zilizotokea kwenye mkutano wa CHADEMA
"Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora halina Mkuu wa Kituo cha Polisi Igunga wa aina hiyo, na kutokana na kitendo hicho cha kihalifu cha kutengeneza na kusambaza taarifa ya uongo,Jeshi la Polisi limefanya msako na kufanikiwa kumkamata mtu aitwaye Daud Paul Delim (49), ambaye ni mkazi wa Mbagala A wilayani Igunga aliyejifanya ni Mkuu wa Kituo cha Polisi akiomba msamaha, amekamatwa na anaendelea kuhojiwa ili kujua alioshirikiana nao kuandaa picha mjongeo hiyo hasi na potofu na kuisambaza ili hatua stahiki za kisheria dhidi yao zichukuliwe," imeeleza taarifa ya RPC Tabora
Source: East Africa TV
Kwani kuomba msamaha ni kosa la kukamatwa? Jeshi letu la polisi lina watu viazi sana jeshi linajipendekeza sana kwa serikali hadi linatia aibu kabisaWakuu,
Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora limesema kwamba, halina Mkuu wa kituo cha polisi wa aina ya yule ambaye video yake ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii yenye kichwa cha habari kisemacho "Mkuu wa kituo cha polisi Tabora amuomba msamaha Heche baada ya vurugu", na kwamba tayari limemkamata mtu huyo.
Taarifa hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora Richard Abwao, na kuwataka wananchi waipuuze picha mjongeo hiyo kwani imetengenezwa kwa lengo la kuwahadaa na kuwapotosha.
Soma pia: Mkuu wa Kituo cha Polisi Tabora amuomba radhi John Heche kutokana na vurugu zilizotokea kwenye mkutano wa CHADEMA
"Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora halina Mkuu wa Kituo cha Polisi Igunga wa aina hiyo, na kutokana na kitendo hicho cha kihalifu cha kutengeneza na kusambaza taarifa ya uongo,Jeshi la Polisi limefanya msako na kufanikiwa kumkamata mtu aitwaye Daud Paul Delim (49), ambaye ni mkazi wa Mbagala A wilayani Igunga aliyejifanya ni Mkuu wa Kituo cha Polisi akiomba msamaha, amekamatwa na anaendelea kuhojiwa ili kujua alioshirikiana nao kuandaa picha mjongeo hiyo hasi na potofu na kuisambaza ili hatua stahiki za kisheria dhidi yao zichukuliwe," imeeleza taarifa ya RPC Tabora
Source: East Africa TV
Ashikishwe adabu mbwa huyo kwa kulidhalilisha jeshi la polisiWakuu,

Soma Pia: Mkuu wa Kituo cha Polisi Tabora amuomba radhi John Heche kutokana na vurugu zilizotokea kwenye mkutano wa CHADEMA

Hapo sasaKwani ni kosa kwa polisi kuomba msamaha?
..mtuhumiwa hakuwa amevaa uniform za polisi.
..mtuhumiwa hakujipatia chochote kwa kudai kuwa ni afisa wa polisi.
..mtuhumiwa aliepusha shari na kulinda amani kwa kudai kuwa ni afisa wa polisi.
Kujidai afisa wa polisi ni kosa kamili linalojitegemea na ni kinyume na sheria, hapo kosa siyo kuomba msamaha kosa ni kujifanya afisa wa polisi.Kwani kuomba msamaha ni kosa la kukamatwa? Jeshi letu la polisi lina watu viazi sana jeshi linajipendekeza sana kwa serikali hadi linatia aibu kabisa
Wanamgambo wanakamata wenyewe 🤣Wakuu,
Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora limesema kwamba, halina Mkuu wa kituo cha polisi wa aina ya yule ambaye video yake ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii yenye kichwa cha habari kisemacho "Mkuu wa kituo cha polisi Tabora amuomba msamaha Heche baada ya vurugu", na kwamba tayari limemkamata mtu huyo.
Taarifa hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora Richard Abwao, na kuwataka wananchi waipuuze picha mjongeo hiyo kwani imetengenezwa kwa lengo la kuwahadaa na kuwapotosha.
Soma Pia: Mkuu wa Kituo cha Polisi Tabora amuomba radhi John Heche kutokana na vurugu zilizotokea kwenye mkutano wa CHADEMA
"Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora halina Mkuu wa Kituo cha Polisi Igunga wa aina hiyo, na kutokana na kitendo hicho cha kihalifu cha kutengeneza na kusambaza taarifa ya uongo,Jeshi la Polisi limefanya msako na kufanikiwa kumkamata mtu aitwaye Daud Paul Delim (49), ambaye ni mkazi wa Mbagala A wilayani Igunga aliyejifanya ni Mkuu wa Kituo cha Polisi akiomba msamaha, amekamatwa na anaendelea kuhojiwa ili kujua alioshirikiana nao kuandaa picha mjongeo hiyo hasi na potofu na kuisambaza ili hatua stahiki za kisheria dhidi yao zichukuliwe," imeeleza taarifa ya RPC Tabora
Source: East Africa TV
Kwani nyuma si alikuwepo mlinzi wake au mie sikuona vzrNi Police wenu huyo acheni kuzuga. Anajitambua sana huyo askari.
Sio kosa, kosa ni kujifanya ww ni polisi alaf ukaomba msamah kwa niaba yao.Kwani ni kosa kwa polisi kuomba msamaha?