PreGE2025 Polisi Tabora: Aliyemuomba msamaha Heche sio Polisi, tayari tumeshamkamata

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

..mtuhumiwa hakuwa amevaa uniform za polisi.

..mtuhumiwa hakujipatia chochote kwa kudai kuwa ni afisa wa polisi.

..mtuhumiwa aliepusha shari na kulinda amani kwa kudai kuwa ni afisa wa polisi.
 
Kwani kuomba msamaha ni kosa la kukamatwa? Jeshi letu la polisi lina watu viazi sana jeshi linajipendekeza sana kwa serikali hadi linatia aibu kabisa
 
Ashikishwe adabu mbwa huyo kwa kulidhalilisha jeshi la polisi
 

Utawala huu una watu wengi wasiojulikana wanaojichukulia maamuzi kwa niaba ya vyombo vya dola (State apparatus).


Telecom engineer Tps tanzania ?


View: https://m.youtube.com/watch?v=Q5J8s_rL1l0
 
Kwakweli Chadema wanaweza kukiokoa kiwanda cha filamu wako vizuri sana kwenye maigizo
 
..mtuhumiwa hakuwa amevaa uniform za polisi.

..mtuhumiwa hakujipatia chochote kwa kudai kuwa ni afisa wa polisi.

..mtuhumiwa aliepusha shari na kulinda amani kwa kudai kuwa ni afisa wa polisi.

Kwani kuomba msamaha ni kosa la kukamatwa? Jeshi letu la polisi lina watu viazi sana jeshi linajipendekeza sana kwa serikali hadi linatia aibu kabisa
Kujidai afisa wa polisi ni kosa kamili linalojitegemea na ni kinyume na sheria, hapo kosa siyo kuomba msamaha kosa ni kujifanya afisa wa polisi.
 
Wanamgambo wanakamata wenyewe 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…