Huyo ndo miongoni mwa wahuni walioanza kukamatwa raia mwema hawezi kujitambulisha ni polisi wakati siyo polisi, ni mbinu inayotumiwa pia na watekaji kujitambulisha ni polisi, je vipi alivyojitambulisha ni polisi alafu akaondoka na Heche na asionekane tena lawama zingeenda kwa nani? Si inesemwa ni mkuu wa polisi ndo kaondoka na Heche..Na wahuni waliofanya fujo hawafafutwi, badala yake anashughulikiwa raiamwema!!
Huyo ndo miongoni mwa wahuni walioanza kukamatwa raia mwema hawezi kujitambulisha ni polisi wakati siyo polisi, ni mbinu inayotumiwa pia na watekaji kujitambulisha ni polisi, je vipi alivyojitambulisha ni polisi alafu akaondoka na Heche na asionekane tena lawama zingeenda kwa nani? Si inesemwa ni mkuu wa polisi ndo kaondoka na Heche
Sheria ipi inaruhusu kujifanya askari polisi?..raia wema anaruhusiwa kujifanya polisi ili kutunza amani. Tunaangalia matokeo ya alichokifanya.
Sheria ipi inaruhusu kujifanya askari polisi?