Polisi Tanga: Askari Mwita alifariki kwa Kujinyonga, Uchunguzi unaendelea

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
FB_IMG_1788194496543.jpg

Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linapenda kutoa taarifa kuhusu kifo cha askari namba. H.1796 Koplo Mwita, aliyekuwa akishikiliwa kwa ajili ya uchunguzi katika kituo cha Polisi Wilaya ya Tanga.

Tarehe 27 Agosti 2026 majira ya saa moja na dakika tatu usiku, askari huyo alikutwa akiwa amefariki dunia ndani ya chumba cha mahabusu katika kituo hicho

Kabla ya kifo chake, marehemu, pamoja na Afisa mmoja na Askari watano wa Jeshi la Polisi wa vyeo mbalimbali, walikuwa wakishikiliwa kwa tuhuma za kijinai.

Kufuatia kifo cha askari huyo, uchunguzi wa kisayansi uliofanyika na ndugu zake kushuhudia ulibaini chanzo cha kifo chake ni kukosa hewa kutokana na kujinyonga.

Mwili wa marehemu umekabidhiwa kwa ndugu zake kwa ajili ya taratibu za mazishi kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linatoa rai kwa baadhi ya Wananchi,baadhi ya vyombo vya habari na watumiaji wa mitandao ya kijamii kuepuka kuandaa na kusambaza taarifa zisizothibitishwa au kutoa hitimisho lisilotokana na matokeo rasmi ya kiuchunguzi, kwani kwa kufanya hivyo ni upotoshaji ambao ni kinyume cha sheria.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linaendelea kusisitiza dhamira yake ya kuhakikisha kuwa uchunguzi wa tukio hili unaendelea kukamilishwa kwa kuzingatia taratibu zote za kiuchunguzi kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu.

Imetolewa na

Kamanda wa Polisi. Mkoa wa Tanga

MY TAKE

Polisi anawezaje kujinyonga Mahabusu huku kukiwa na watu wengine watano?

Wanadai uchunguzi umebaini alikosa hewa. Kwanini hakukosa hewa kabla ya kutuhumiwa hayo makosa ya Jinai?

Je, ni nani alimn'goa kucha na kumtoboa macho?

Ukweli utajulikana na sisi tutazidi piga kelele.

Kumbuka kifo kilitokea 27/08.2027 jioni wakauchuna kutoa taarifa wakijua litapita. Baada ya watu kupiga kelele ndo tarehe 31/08/2026 jioni wametoa taarifa huku wakikataza watu kujadili.

Kuna kitu si bure. Ndani ya jeshi la Polisi kuna kitu hakipo sawa

Halafu kwenye barua wametaja jina moja tu ili watu wasie nani ni nani. Mtaani anajulikana kama Afande Mecky kwani jina lake ni Mwita Mecky Milumbe. Kwanini wanamtaja kwa kuibia?
FB_IMG_1788201839959.jpg
 
View attachment 3660766
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linapenda kutoa taarifa kuhusu kifo cha askari namba. H.1796 Koplo Mwita, aliyekuwa akishikiliwa kwa ajili ya uchunguzi katika kituo cha Polisi Wilaya ya Tanga.

Tarehe 27 Agosti 2026 majira ya saa moja na dakika tatu usiku, askari huyo alikutwa akiwa amefariki dunia ndani ya chumba cha mahabusu katika kituo hicho

Kabla ya kifo chake, marehemu, pamoja na Afisa mmoja na Askari watano wa Jeshi la Polisi wa vyeo mbalimbali, walikuwa wakishikiliwa kwa tuhuma za kijinai.

Kufuatia kifo cha askari huyo, uchunguzi wa kisayansi uliofanyika na ndugu zake kushuhudia ulibaini chanzo cha kifo chake ni kukosa hewa kutokana na kujinyonga.

Mwili wa marehemu umekabidhiwa kwa ndugu zake kwa ajili ya taratibu za mazishi kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linatoa rai kwa baadhi ya Wananchi,baadhi ya vyombo vya habari na watumiaji wa mitandao ya kijamii kuepuka kuandaa na kusambaza taarifa zisizothibitishwa au kutoa hitimisho lisilotokana na matokeo rasmi ya kiuchunguzi, kwani kwa kufanya hivyo ni upotoshaji ambao ni kinyume cha sheria.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linaendelea kusisitiza dhamira yake ya kuhakikisha kuwa uchunguzi wa tukio hili unaendelea kukamilishwa kwa kuzingatia taratibu zote za kiuchunguzi kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu.

Imetolewa na

Kamanda wa Polisi. Mkoa wa Tanga

MY TAKE

Polisi anawezaje kujinyonga Mahabusu huku kukiwa na watu wengine watano?

Wanadai uchunguzi umebaini alikosa hewa. Kwanini hakukosa hewa kabla ya kutuhumiwa hayo makosa ya Jinai?

Je, ni nani alimn'goa kucha na kumtoboa macho?

Ukweli utajulikana na sisi tutazidi piga kelele.
Mnajimcontradict. Mnasemankajinyonga sasa kuna uchunguzi gani unaendelea. Nyie watu Mungu anawaona
 
Kabla ya kifo chake, marehemu, pamoja na Afisa mmoja na Askari watano wa Jeshi la Polisi wa vyeo mbalimbali, walikuwa wakishikiliwa kwa tuhuma za kijinai.
Tuanzie hapa, waTanzania wenzangu popote tulipo.

Ukombozi wa taifa hili unawezekana sana; kwa kila mmoja wetu kushiriki kwa njia yoyote anayoweza kushiriki.

Huu ni wajibu wetu sisi wenyewe; hakuna mwingine yeyote atakayekuja kutukomboa.
 
Hakuna haja ya wananchi kutoa hukumu kabla ya uchunguzi kukamilika. Lakini kwa upande mwingine, hakuna haja pia ya wananchi kunyamazishwa kwa kuambiwa kila swali ni upotoshaji. Tukio limetokea akiwa chini ya ulinzi wa mamlaka, hivyo ni halali kuuliza maswali kuhusu mazingira ya kifo. Kinachotakiwa ni uchunguzi wa wazi, wa kitaalamu na unaoweza kujenga imani kwa umma.
 
View attachment 3660766
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linapenda kutoa taarifa kuhusu kifo cha askari namba. H.1796 Koplo Mwita, aliyekuwa akishikiliwa kwa ajili ya uchunguzi katika kituo cha Polisi Wilaya ya Tanga.

Tarehe 27 Agosti 2026 majira ya saa moja na dakika tatu usiku, askari huyo alikutwa akiwa amefariki dunia ndani ya chumba cha mahabusu katika kituo hicho

Kabla ya kifo chake, marehemu, pamoja na Afisa mmoja na Askari watano wa Jeshi la Polisi wa vyeo mbalimbali, walikuwa wakishikiliwa kwa tuhuma za kijinai.

Kufuatia kifo cha askari huyo, uchunguzi wa kisayansi uliofanyika na ndugu zake kushuhudia ulibaini chanzo cha kifo chake ni kukosa hewa kutokana na kujinyonga.

Mwili wa marehemu umekabidhiwa kwa ndugu zake kwa ajili ya taratibu za mazishi kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linatoa rai kwa baadhi ya Wananchi,baadhi ya vyombo vya habari na watumiaji wa mitandao ya kijamii kuepuka kuandaa na kusambaza taarifa zisizothibitishwa au kutoa hitimisho lisilotokana na matokeo rasmi ya kiuchunguzi, kwani kwa kufanya hivyo ni upotoshaji ambao ni kinyume cha sheria.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linaendelea kusisitiza dhamira yake ya kuhakikisha kuwa uchunguzi wa tukio hili unaendelea kukamilishwa kwa kuzingatia taratibu zote za kiuchunguzi kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu.

Imetolewa na

Kamanda wa Polisi. Mkoa wa Tanga

MY TAKE

Polisi anawezaje kujinyonga Mahabusu huku kukiwa na watu wengine watano?

Wanadai uchunguzi umebaini alikosa hewa. Kwanini hakukosa hewa kabla ya kutuhumiwa hayo makosa ya Jinai?

Je, ni nani alimn'goa kucha na kumtoboa macho?

Ukweli utajulikana na sisi tutazidi piga kelele.
1788190214286.jpg
1788190218213.jpg
 
Screenshot 2026-08-31 at 20-05-56 Instagram.png

TAARIFA KWA UMMA

Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linapenda kutoa taarifa kuhusu kifo cha askari namba. H.1796 Koplo Mwita, aliyekuwa akishikiliwa kwa ajili ya uchunguzi katika kituo cha Polisi Wilaya ya Tanga.

Tarehe 27 Agosti 2026 majira ya saa moja na dakika tatu usiku, askari huyo alikutwa akiwa amefariki dunia ndani ya chumba cha mahabusu katika kituo hicho.

Kabla ya kifo chake, marehemu, pamoja na Afisa mmoja na Askari watano wa Jeshi la Polisi wa vyeo mbalimbali, walikuwa wakishikiliwa kwa tuhuma za kijinai.

Kufuatia kifo cha askari huyo, uchunguzi wa kisayansi uliofanyika na ndugu zake kushuhudia ulibaini chanzo cha kifo chake ni kukosa hewa kutokana na kujinyonga.

Mwili wa marehemu umekabidhiwa kwa ndugu zake kwa ajili ya taratibu za mazishi kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linatoa rai kwa baadhi ya Wananchi, baadhi ya vyombo vya habari na watumiaji wa mitandao ya kijamii kuepuka kuandaa na kusambaza taarifa zisizothibitishwa au kutoa hitimisho lisilotokana na matokeo rasmi ya kiuchunguzi, kwani kwa kufanya hivyo ni upotoshaji ambao ni kinyume cha sheria.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linaendelea kusisitiza dhamira yake ya kuhakikisha kuwa uchunguzi wa tukio hili unaendelea kukamilishwa kwa kuzingatia taratibu zote za kiuchunguzi kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu.

Imetolewa na,

Kamanda wa Polisi,

Mkoa wa Tanga.

Pia soma Askari Polisi Mwita Milumbe adaiwa kuteswa na kuuwawa, Ndugu waomba msaada
 
Tuanzie hapa, waTanzania wenzangu popote tulipo.

Ukombozi wa taifa hili unawezekana sana; kwa kila mmoja wetu kushiriki kwa njia yoyote anayoweza kushiriki.

Huu ni wajibu wetu sisi wenyewe; hakuna mwingine yeyote atakayekuja kutukomboa.
Unajua huyu inawezekana kuuawa kwake kuna uhusiano na mauaji ya 29/10? Inawezekana kabisa alikuwa shahidi muhimu au alitoa ushahidi kwa watu wa Nchimbi hasa kuhusu watu waliozikwa kwenye makaburi ya jumla.
 
Back
Top Bottom