figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
- Thread starter
- #21
Unashauri nifanyeje? Twende Banana kuzika au hata kuzika hutaki kusikia?Unachokifanya hapa ni kuendeleza mjadalaš¼

Huu mtego mbaka umnase mtoto wa mkubwa flani ndio watawekwa wazi wategaji
Unajua huyu inawezekana kuuawa kwake kuna uhusiano na mauaji ya 29/10? Inawezekana kabisa alikuwa shahidi muhimu au alitoa ushahidi kwa watu wa Nchimbi hasa kuhusu watu waliozikwa kwenye makaburi ya jumla.
Mi nadhani jungu linaanza kutogota hili.Unajua huyu inawezekana kuuawa kwake kuna uhusiano na mauaji ya 29/10? Inawezekana kabisa alikuwa shahidi muhimu au alitoa ushahidi kwa watu wa Nchimbi hasa kuhusu watu waliozikwa kwenye makaburi ya jumla.
Hawapangiwi. Wao ndio sheria!Wanapiga marufuku kama nani? Kwa sheria ipi
Kuna kitu hakipo sawa ndani ya jeshi la PolisiVery questionable
View attachment 3660766
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linapenda kutoa taarifa kuhusu kifo cha askari namba. H.1796 Koplo Mwita, aliyekuwa akishikiliwa kwa ajili ya uchunguzi katika kituo cha Polisi Wilaya ya Tanga.
Tarehe 27 Agosti 2026 majira ya saa moja na dakika tatu usiku, askari huyo alikutwa akiwa amefariki dunia ndani ya chumba cha mahabusu katika kituo hicho
Kabla ya kifo chake, marehemu, pamoja na Afisa mmoja na Askari watano wa Jeshi la Polisi wa vyeo mbalimbali, walikuwa wakishikiliwa kwa tuhuma za kijinai.
Kufuatia kifo cha askari huyo, uchunguzi wa kisayansi uliofanyika na ndugu zake kushuhudia ulibaini chanzo cha kifo chake ni kukosa hewa kutokana na kujinyonga.
Mwili wa marehemu umekabidhiwa kwa ndugu zake kwa ajili ya taratibu za mazishi kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linatoa rai kwa baadhi ya Wananchi,baadhi ya vyombo vya habari na watumiaji wa mitandao ya kijamii kuepuka kuandaa na kusambaza taarifa zisizothibitishwa au kutoa hitimisho lisilotokana na matokeo rasmi ya kiuchunguzi, kwani kwa kufanya hivyo ni upotoshaji ambao ni kinyume cha sheria.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linaendelea kusisitiza dhamira yake ya kuhakikisha kuwa uchunguzi wa tukio hili unaendelea kukamilishwa kwa kuzingatia taratibu zote za kiuchunguzi kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu.
Imetolewa na
Kamanda wa Polisi. Mkoa wa Tanga
MY TAKE
Polisi anawezaje kujinyonga Mahabusu huku kukiwa na watu wengine watano?
Wanadai uchunguzi umebaini alikosa hewa. Kwanini hakukosa hewa kabla ya kutuhumiwa hayo makosa ya Jinai?
Je, ni nani alimn'goa kucha na kumtoboa macho?
Ukweli utajulikana na sisi tutazidi piga kelele.
Kumbuka kifo kilitokea 27/08.2027 jioni wakauchuna kutoa taarifa wakijua litapita. Baada ya watu kupiga kelele ndo tarehe 31/08/2026 jioni wametoa taarifa huku wakikataza watu kujadili.
Kuna kitu si bure. Ndani ya jeshi la Polisi kuna kitu hakipo sawa
Haiwezekani mahabusu ajinyonge akiwa ndani ya selo ambayo ina mahabusu wengine, kufa kwa kukosa hewa si conclusion halisi kwani hata akikabwa au akinyongwa matokeo ni yaleyale sawa na ya kujinyonga. Ndugu zake wanadai ameng'olewa kucha na meno, ametobolewa macho na ameingizwa chupa kwenye tundu la haja kubwa(assuming the family is telling us the truth) je yote hayo amejifanyia mwenyewe?View attachment 3660766
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linapenda kutoa taarifa kuhusu kifo cha askari namba. H.1796 Koplo Mwita, aliyekuwa akishikiliwa kwa ajili ya uchunguzi katika kituo cha Polisi Wilaya ya Tanga.
Tarehe 27 Agosti 2026 majira ya saa moja na dakika tatu usiku, askari huyo alikutwa akiwa amefariki dunia ndani ya chumba cha mahabusu katika kituo hicho
Kabla ya kifo chake, marehemu, pamoja na Afisa mmoja na Askari watano wa Jeshi la Polisi wa vyeo mbalimbali, walikuwa wakishikiliwa kwa tuhuma za kijinai.
Kufuatia kifo cha askari huyo, uchunguzi wa kisayansi uliofanyika na ndugu zake kushuhudia ulibaini chanzo cha kifo chake ni kukosa hewa kutokana na kujinyonga.
Mwili wa marehemu umekabidhiwa kwa ndugu zake kwa ajili ya taratibu za mazishi kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linatoa rai kwa baadhi ya Wananchi,baadhi ya vyombo vya habari na watumiaji wa mitandao ya kijamii kuepuka kuandaa na kusambaza taarifa zisizothibitishwa au kutoa hitimisho lisilotokana na matokeo rasmi ya kiuchunguzi, kwani kwa kufanya hivyo ni upotoshaji ambao ni kinyume cha sheria.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linaendelea kusisitiza dhamira yake ya kuhakikisha kuwa uchunguzi wa tukio hili unaendelea kukamilishwa kwa kuzingatia taratibu zote za kiuchunguzi kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu.
Imetolewa na
Kamanda wa Polisi. Mkoa wa Tanga
MY TAKE
Polisi anawezaje kujinyonga Mahabusu huku kukiwa na watu wengine watano?
Wanadai uchunguzi umebaini alikosa hewa. Kwanini hakukosa hewa kabla ya kutuhumiwa hayo makosa ya Jinai?
Je, ni nani alimn'goa kucha na kumtoboa macho?
Ukweli utajulikana na sisi tutazidi piga kelele.
Kumbuka kifo kilitokea 27/08.2027 jioni wakauchuna kutoa taarifa wakijua litapita. Baada ya watu kupiga kelele ndo tarehe 31/08/2026 jioni wametoa taarifa huku wakikataza watu kujadili.
Kuna kitu si bure. Ndani ya jeshi la Polisi kuna kitu hakipo sawa
Sorry to say,View attachment 3660766

nimejifunza kitu hapaSorry to say,
Ila mi naonaga police majority watu fulani wasioweza kbs kufanya vitu kwa weredi, mission zao zimekaq kijinga jinga kama watu wasio watalaam katika eneo hilo.
Anyway nina maswali yangu kwa
RPC, IGP na Waziri wa Mambo ya ndani;
1. Alijinyonga kwa kutumia kitu gani, na kiko wapi kama ushahidi?
2. Kama mahabusu walikuwa watu sita, kwa nini hakuna aliyegundua mapema?
3. Kama kuna CCTV za kituo zinaonyesha nini kabla na wakati wa tukio?
4. Nani alikuwa na ufunguo na access ya chumba cha mahabusu?
5. Forensic imewezaje kuthibitisha kuwa ni kujinyonga na si kunyongwa?
6. Post-mortem imebaini majeraha gani mengine mwilini?
7. Je, mwili ulifanyiwa toxicology ili kujua kama alikuwa ametumia dawa/sumu au kitu kingine?
8. Kwa nini taarifa ya kifo imechelewa kutolewa, licha ya tukio kutokea tarehe 27 Agosti?
9. Kwa nini uchunguzi wa kifo unafanywa na mfumo huo huo uliokuwa unamshikilia marehemu na ambao ndani yake wapo watyhumiwa wengine?
10. Je, Serikali iko tayari kwa uvhunguzi huru ukihusisha kuchunguzwa kwa OCD, OC CID, RPC, IGP na Waziri wako tayari kwa uchunguzi huru wa forensic na kuweka matokeo wazi?
Assumptions 5 za Kuchunguzwa
Custody failure:
1. Je, taratibu za ulinzi wa mahabusu zilikiukwa kwa mujibu wa PGO?
2 Scene contamination: Nani aliingia eneo la tukio wa kwanza?
3. Cause of death: Je, ushahidi wote unaendana na kujinyonga?
4. Evidence integrity: CCTV, nguo, ligature na samples zilihifadhiwa vizuri, kama haukuhifadhiwa vzr kwa nn nani anawajibika?
5. Unexplained injuries: Kucha, macho au majeraha mengine ni kweli yapo, na yalisababishwa na nini?
Kesi hii haihitaji hitimisho la haraka; inahitaji ushahidi unaoweza kuthibitishwa.