Pongo Pongo
JF-Expert Member
- Jan 15, 2021
- 473
- 586
🤣🤣🤣🤣Tunasubili match yenu nanyi ili tuwambie wamisri na wakongo kuwa nyinyi huku kwetu tz n underdog 🤣🤣🤣
Kwa nini sasa anakosea?64' Nassor Maulid anajaribu shuti la mbali lakini mprira unatoka nje kidogo ya lango la Yanga
Mtani waki kujibu unitag basVipi huko bhandugu🤔🤔
Inatakiwa match yetu na nyie isogezwe ili tuwarahisishie wamisri kuwa nyie si lolote🤣🤣🤣🤣🤣
Mtani wamisri na wakongo hawawezi kuamini maneno yako, kwani hao wote wamechezea kichapo cha mbwa koko. Bora hunyamaze tu mtani au unishangilie kimya kimya🤣🤣🤣🤣🤣
Hapo sisi tutawapa timu ya wanawake mucheze nayo hatutaki kudhalilika kiasi hicho.Inatakiwa match yetu na nyie isogezwe ili tuwarahisishie wamisri kuwa nyie si lolote🤣
Sawa mtaniHapo sisi tutawapa timu ya wanawake mucheze nayo hatutaki kudhalilika kiasi hicho.
Ova
Mmeshaanza kuogopa mechi ipo palepaleInatakiwa match yetu na nyie isogezwe ili tuwarahisishie wamisri kuwa nyie si lolote🤣
CLEAR OFFSIDE ......CLEARLY OFFSIDE.Fiston kaotea,angalia wakati anapewa pasi tayari alikuwa offside!Ukitaka kujiridhisha subiri kipyenga cha mwisho utapata majibu!
KwambaMambo yamekuwa mambo
Moja mojaKwamba
Mtani goli ngapi ngapi huko?Vipi huko bhandugu🤔🤔
Nini uko?Moja moja ngoma sare