Pongo Pongo
JF-Expert Member
- Jan 15, 2021
- 473
- 586
🤣🤣🤣🤣Tunasubili match yenu nanyi ili tuwambie wamisri na wakongo kuwa nyinyi huku kwetu tz n underdog 🤣🤣🤣
Mtani wamisri na wakongo hawawezi kuamini maneno yako, kwani hao wote wamechezea kichapo cha mbwa koko. Bora hunyamaze tu mtani au unishangilie kimya kimya🤣🤣🤣🤣🤣