Polisi Tanzania wamtaka Mwamposa kujisalimisha

Inteligencia ya polisi huwa inagundua majanga kwenye mikutano ya upinzani tu huko kwingine wala hawajishugulishi napo

Watu ishirini ni wengi sana huyo tapeli achukuliwe hatua za kisheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni mchezo wa kutupoteza kuhusu Mada ya Makonda watuonyeshe hizo Maiti.tusikubali.
kwa hili uweke siasa pembeni! hali si hali! ungekuwa umepoteza mama yako mzazi katika hao sjui kama ungeandika hivi
 
Mbeya ni karibu sehemu zote, ukianzia tu Mbalizi penyewe, Iwambi, Iyunga, Nzovwe yaani makanisa ni uncountable sema kule injili za dizaini ya Mwamposa wakristo hawazi entertain. Hata wakija hawapati kibali sana kwa watu.
Hawa jamaa wamewekeza kwenye ujasiriadini kule mbeya kuna kata fulani yaani kila baada ya nyumba tatu kuna kanisa hyo kata ipo baada ya mbalizi ukiwa unakuja mjini jina limenitoka

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja tuone hili picha litaishaje
 
Mpaka sasa hawajampata huu sasa uzembe.

Sasa huyo mchawi nae anajisikiaje hapo alipo kusababisha msiba mkubwa hivyo halafu anajificha.
 
Mikutano inayojumuisha Idadi kubwa hivi ya watu hivi polisi huwa hawashirikikuangalia Usalama? Pamoja na Yaliyotokea Polisi nao hawakutekeleza Wajibu wao

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
 
Hata Mungu mwenyewe anatuona mazuzu.

Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.

Wakina mwa mwa wanyakyusa mna shida gani (joking).

Sent using Jamii Forums mobile app
Waliouawa ni wanyakyusa?. Kilimanjaro waliokuwa wanagombea upako ni wanyakyusa? Una-fail wapi wewe?. Mnyakyusa Mwamposa yeye ana shida na hela za hao wenzio waliokuwa wanagombea upako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani na bado mnambarikisha eti mtume ana utume gani huyo tapeli
 
Watu hao walifariki usiku wakati waliposhiriki kongamano la kidini uwanja wa Majengo, wakigombea kukanyaga mafuta ya upako yaliyomwagwa milango ya kutokea uwanjani Kamanda Hamduni alifafanua kuwa idadi ya waliokufa ni 20 hadi sasa, ambapo kati yao watoto wadogo ni wanne, wawili wakiwa ni wa kike na watu wazima 16 wakiwamo wanawake 15.

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…