Nilishawahi kwenda pale Kawe na watoto wangu kukanyaga mafuta mwee mwee yaani vurugu msukumano watoto wanaliaa mpaka nilijuta.
Namuombea hili suala liishe, siwezi muhukumu kwa lolote maana hata mimi nina madhambi yangu
Dahhhhhh Mwaka umeanza vibaya mno kwake
Ngoja tuone comments sasa za waja
Sent using Jamii Forums mobile app
Bulldozer
Mnadanganyika sana Kina Mama nyie sijui mna shida gani.Nilishawahi kwenda pale Kawe na watoto wangu kukanyaga mafuta mwee mwee yaani vurugu msukumano watoto wanaliaa mpaka nilijuta.
Namuombea hili suala liishe, siwezi muhukumu kwa lolote maana hata mimi nina madhambi yangu
Polisi wanapewa pesa biashara inafungwa na mahesabu makaliDahhhhhh Mwaka umeanza vibaya mno kwake
Ngoja tuone comments sasa za waja
Sent using Jamii Forums mobile app