Polisi Tanzania wamtaka Mwamposa kujisalimisha

Mikutano inayojumuisha Idadi kubwa hivi ya watu hivi polisi huwa hawashirikikuangalia Usalama? Pamoja na Yaliyotokea Polisi nao hawakutekeleza Wajibu wao

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
 
Kuna jamaa anasema eti tafiti zake zinaonesha wengi walikufa ni wakina mama sasa sijui ana maana gani?
Huyu mlevi pembeni hapa eti anasema ni kafara kuongeza nguvu kwenye shughuli zake,hizi pombe jamani.
 

Atakua nje ya nchi tayari
 
Police kilimanjaro cjaielewa! Inamaana hakuwa na ulinzi wwte mpaka mtu anatoweka yani katowekaje, nanimoshi mjini. Ocd ocs na occid na cid wte wameachwaje???

Hili ndo jaribu lakwanza la mh. SIMBACHAWENE.
 
Nilishawahi kwenda pale Kawe na watoto wangu kukanyaga mafuta mwee mwee yaani vurugu msukumano watoto wanaliaa mpaka nilijuta.

Namuombea hili suala liishe, siwezi muhukumu kwa lolote maana hata mimi nina madhambi yangu
Daah nimeandika nimefuta [emoji856]
 
Nilishawahi kwenda pale Kawe na watoto wangu kukanyaga mafuta mwee mwee yaani vurugu msukumano watoto wanaliaa mpaka nilijuta.

Namuombea hili suala liishe, siwezi muhukumu kwa lolote maana hata mimi nina madhambi yangu
Kweli kabisa na najitahidi mnoo kuweka ulinzi wa watu kupunguza vurugu ila sisi binadamu tu akili zetu utadhani yanaisha kumbe walaaaa hayaishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waliouawa ni wanyakyusa?. Kilimanjaro waliokuwa wanagombea upako ni wanyakyusa? Una-fail wapi wewe?. Mnyakyusa Mwamposa yeye ana shida na hela za hao wenzio waliokuwa wanagombea upako

Sent using Jamii Forums mobile app
Usichukulie serious kila kitu mkuu.

Na uzuri nimeandika kabisa kwamba hiyo ni joke.

Hujui kiingereza au huwa unachukia mpaka utani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…