DOKEZO Polisi tunaomba msaada. Tunahisi dada yetu ameuawa na mume wake ambaye ni Polisi, inasikitisha sana!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kwa mazingira unayoyasema , kama unasema ukweli, basi kuna jambo zito limejificha. Huu uzi ilioaswa uulete siku mnazuiliwa kumuona, kwa sasa ushahidi umeshapotea..
 
Mtoa mada na familia yako kwa ujumla mnaonekana ni wanyonge na wazembe kupitiliza.
Walitakiwa wampe kazi Ananilea Nkya waone kama igp hasingeng'oka, au Chama cha Kisheria cha kutetea wasio na maarifa ya sheria. Usirogwe kuomba msaada wa Tume ya Haki za Binadamu (ambayo haiko huru na haina meno), tume hiyo ni serikali 100% na polisi pia ni serikali 100%, serikali haiwezi kujifunga yenyewe.
 
kesi yako ni ngumu sana...kwa nchi kama yetu...japo unaweza kutoa malalamiko yako na uchunguzi ukafanyika...je upo teyari kutoa ushirikiano ikihitajika...?

na ilikuwaje mkashindwa kumdhibiti huyo shemeji yenu...je aliwashikia silaha pengine...? uaskari wake kwenye maziko ulikuwa una husikaje husikaje...?

au nyie kwenu mtu akiwa askari mna muogopa...?​
 
M
"Meno ya Mbwa Hayaumani."
 
Haki bado inaweza kupatikana, kesi bado mbichi hii lakini kwa unyonge huu inaonesha mtoa mada na familia hamuwezi kuendesha kesi yaani financially hampo vizuri na ndicho kilichowashinda toka mwanzo
Kabisa inaonekana koplo anakibunda kuzid wao.
 
Hao ni wazembe waliokubuhu
 
Tusimlaumu mleta mada. Hiki unachosema uko sahihi, lakini inategemeana na uelewa wa familia. Wengine hata hiyo postmortem hawaijui.
 
Inashangaza sana.
Mpaka sasa ushahidi wote wa muhimu tayari umeshapotea.
bado... muda mwingine makovu kwenye mifupa huchelewa kupotea... japo hapo ushahidi wa kumtia hatiani muuaji itachukua kazi kweli kweli kuthibitika...lakini kutokana na kuwa muuaji anaweza sio serial killer...anaweza akabainika...

nchi zilizo endelea watu wanaua na kufuta ushahidi kabisa...ila kwa bongo utaalam wa mauaji ya kupangwa bado haupo...!​
 
ukiona manyoya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…