John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
U
Uchunguzi wa Postmortem kwa kesi za Homicides unatoa matokeo mazuri zaidi ikiwa mwili wa marehemu bado haujazikwa. Mwili ukushazikwa na kupita muda mrefu kama kwenye kesi hii huwa inakuwa vigumu sana kupata ushahidi ambao ni "water-tight evidence."bado... muda mwingine makovu kwenye mifupa huchelewa kupotea... japo hapo ushahidi wa kumtia hatiani muuaji itachukua kazi kweli kweli kuthibitika...lakini kutokana na kuwa muuaji anaweza sio serial killer...anaweza akabainika...
nchi zilizo endelea watu wanaua na kufuta ushahidi kabisa...ila kwa bongo utaalam wa mauaji ya kupangwa bado haupo...!