Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
Ilipaswa mtafute haki kabla ya maziko kwa kuomba kisheria ifanyike post mortem.
Kwa cheo cha huyo polisi ni kidogo mno kuweza kuwa na mabavu ya kuweza kuzuia chochote endapo mngeenda kisheria mapema. Kwa sasa bila ya ithibati ya mwili wa marehemu itakuwa ngumu sana kudhihirisha chochote.
Wazazi tunapaswa kuwafunza binti zetu kuwa ni sawa kurudi nyumbani pale ndoa inapokuwa na mateso. Nyumba nyingine inakuwa binti akishaolewa basi ndio hapaswi kurudi tena kama kafukuzwa.