DOKEZO Polisi tunaomba msaada. Tunahisi dada yetu ameuawa na mume wake ambaye ni Polisi, inasikitisha sana!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
U
Uchunguzi wa Postmortem kwa kesi za Homicides unatoa matokeo mazuri zaidi ikiwa mwili wa marehemu bado haujazikwa. Mwili ukushazikwa na kupita muda mrefu kama kwenye kesi hii huwa inakuwa vigumu sana kupata ushahidi ambao ni "water-tight evidence."
 
Tusimlaumu mleta mada. Hiki unachosema uko sahihi, lakini inategemeana na uelewa wa familia. Wengine hata hiyo postmortem hawaijui.
Bila kumuonesha kosa lake wengine hawawezi kujifunza, njia aliyotumia leo angeitumia wakati marehemu yuko monchwari hapa pangechimbika na hakuna mazishi yangefanyika mpaka postmortem ifanyike.

Kama huyo Polisi amefanya kweli hukumu yake hapa duniani inabaki kwenye Karma, Karma haijawahi kumuacha yeyote kuanzia machawa mpaka masters wao.
 
kwa vile familiya ya marehemu imechelewa kutoa taarifa pengine kwa kuogopa au kulinda nafsi zao. napendekeza kitu kimoja Tu . jambo ilo liacheni kwa sababu nyinyi wote hadi huyu polisi KARMA itawatafuta mpaka mkome na hapo ishaanza kwako
 
Hicho cheo cha polisi ni kidogo sana hata mtendaji wa kijiji anamzidi, ipo hivi umechelewa ndugu but if you are sure kwamba muhalifu ni yeye pambana kihalifu mumalizane vita ya kibabe
 
Awamu kama hii ya kifisadi zile tambo za unanijua mimi nani ndio wakati wake.

Wanyonge wanapata tabu kweli kweli.
 
Nyie wachaga gani mmepooza hivyo?

Naona ni kwa vile wachaga hamnaga mambo ya uchawi na ushirikina, ingekuwa mtu wa mwambao wa Pwani ya bahari ya Hindi sasa hivi mngeshashitaki kwenye mahakama ya wanyonge [emoji3][emoji28]

Dito alipompiga dereva wa daladala bunduki na kuua nini kulitokea baada ya muda mfupi?

Leo imekuwa historia mahakama ya wanyonge haina mchezo iwapo umeua kweli haichelewi [emoji38][emoji38]

Damu ya mtu ina Siri kubwa ya Mungu.
 
She is gone relax kula beer ebboo
 
Duuuh,umesoma maelezo ya mtoa mada mpaka mwisho????

Unainekana una makasiriko yasiyo na maana ya january .
 
Duuuh,umesoma maelezo ya mtoa mada mpaka mwisho????

Unainekana una makasiriko yasiyo na maana ya january .



Itakuwa ni matokeo ya ndaza za siku kuu !

Huenda bado imo kichwani inamnyung’unya. [emoji3][emoji28]
 
Hata hivyo walimchelewesha sana maana ilipita miaka kama miwili
 
Salute! Hii nchi aisee mimi nimeshindwa kujua sisi raia ni breed ya hawa hawa binadamu wa nchi nyingine au ni tofauti. Jambo serious kama hili kweli walikubalije huyo polisi afanye uhuni kama huo? Ndugu yao lakini wanalazimishwa kutouona mwili, kujua chanzo cha kifo na hata namna ya kuzika?
 
We nae unaemjibu huyu huna akili kabisaaaa,kakwambia mume wake alikuwa polisi,we kigumu kuelewa nini hapo,na nini na kwanini kulikuwa ma mzuieni nyingi nyinyingi hapo
 
Mtuhumiwa polisi
 
Hivi Tanzania hakuna sheria inayolazimisha kila kifo kipate cheti kutoka kwenye mamlaka kudhihirisha chanzo cha kufariki kabla ya maziko? Kama hali iko hivyo basi ni hatari sana.
 
Mtuhumiwa polisi
Polisi yuko juu ya sheria? Yaani ndugu yao afariki kwenye mazingira tata halafu walazimishwe kutojua chanzo cha kifo chake kwa sababu ni polisi. Koplo mbona ni mtu mdogo sana?
 
We nae unaemjibu huyu huna akili kabisaaaa,kakwambia mume wake alikuwa polisi,we kigumu kuelewa nini hapo,na nini na kwanini kulikuwa ma mzuieni nyingi nyinyingi hapo
Pumbavu wewe, kuwa Polisi ndio nini?

Jinga kabisa.

 
Polisi yuko juu ya sheria? Yaani ndugu yao afariki kwenye mazingira tata halafu walazimishwe kutojua chanzo cha kifo chake kwa sababu ni polisi. Koplo mbona ni mtu mdogo sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…