PostGE2025 Polisi: Video ya utekaji Arusha ni uzushi, tumewakamata kwa tuhuma za kuhamasisha maandamo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Basi kwa hapo kosa ni uhaini. Wameshapata kosa la kuwapa watu siku hizi. Tuko kwenye wakati mgumu sana sana. Sijui tunatokaje hapa. Sheria hazifuatwi. Kuandamana na kuhamasisha maandamano ni kosa kikatiba.
Siyo tu kosa, hukumu yake ni kumiminiwa risasi zisizohesabika, na kufukiwa juu chini, hivi ni kweli ndipo tulipofikia? Au naota tu?
 
Hii midivision IV mijinga kweli.

Hivi tangu lini kuhamasisha maandamano ikawa kosa?
 
Kwani maandamano tangu lini ni makosa ya jinai? Ninyi polisi mnatushangaza sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…