PostGE2025 Polisi: Video ya utekaji Arusha ni uzushi, tumewakamata kwa tuhuma za kuhamasisha maandamo

PostGE2025 Polisi: Video ya utekaji Arusha ni uzushi, tumewakamata kwa tuhuma za kuhamasisha maandamo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linapenda kutoa ufafanuzi juu ya picha mjengoe zinazoonekana katika baadhi ya mitandao ya kijamii zikieleza kuwa, kuna vijana wawili wametekwa Jijini Arusha.

Taarifa sahihi ni kwamba, kwa nyakati tofauti tuliwakamata na tunaendelea kuwahoji vijana hao ambao ni Edwin Richard Mboro (29) mkazi wa Sanawari Jijini Arusha na Victor Bonaventure Ndibalema (35) mkazi wa Kijenge kutokana na tuhuma za kupanga na kuhamasisha Maandamano kinyume cha Sheria.
Uchunguzi wa tukio hili unakamilishwa ili hatua nyingine za kisheria zifuatwe.

Pia Soma: Video: Kijana akitekwa na watu wenye silaha nzito Arusha
1763713760345.png
 
Sijui ni nchi gani inafundisha course ya uchawi maana huu ni usenge aisee
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linapenda kutoa ufafanuzi juu ya picha mjongeo zinazoonekana katika baadhi ya mitandao ya kijamii zikieleza kuwa, kuna vijana wawili wametekwa Jijini Arusha.

Taarifa sahihi ni kwamba, kwa nyakati tofauti tuliwakamata na tunaendelea kuwahoji vijana hao ambao ni Edwin Richard Mboro mkazi wa Sanawari Jijini Arusha na Victor Bonaventure Ndibalema mkazi wa Kijenge kwa tuhuma za kuongoza kundi sogozi la kueneza chuki kwa jamii na kuhamasisha vurugu Nchini wakishirikiana na wahalifu wengine.

Uchunguzi wa tukio hili unakamilishwa ili hatua nyingine za kisheria zifuatwe.
 
Hawa mbwa mkisikia wamekufa kwa kifo cha aina yoyote, wanangu fanyeni tu sherehe.

NB: namaanisha wale mbwa koko 🦮🐕‍🦺🐕‍🦺 wanaosumbua watu mtaani.
 
Kweli akili ni nywele kabisa.

Unatoa kabisa press iliyo kinyume na Sheria? Tangu lini kuhamasisha maandamano iliyo haki kikatiba likawa kosa lz jinai?

Keeli siku ya kufa nyani miti yote uteleleza.
 
Artificial intelligence imekuwa ya kusingiziwa kila kitu Sasa.Eti polisi wamedai Ile gari na watu wanaoonekana na silaha nzito ni AI.polisi acheni uongo
 
Basi kwa hapo kosa ni uhaini. Wameshapata kosa la kuwapa watu siku hizi. Tuko kwenye wakati mgumu sana sana. Sijui tunatokaje hapa. Sheria hazifuatwi. Kuandamana na kuhamasisha maandamano ni kosa kikatiba.
 
Sasa kama ni kuhamasisha maandamano ndiyo Mboro afutawe kwa kuvamiwa na silaha nzito nzito namna ile kweli, au ndiyo sheria mpya za ukamataji zilivyo kwa sasa?
 
Kweli akili ni nywele kabisa.

Unatoa kabisa press iliyo kinyume na Sheria? Tangu lini kuhamasisha maandamano iliyo haki kikatiba likawa kosa lz jinai?

Keeli siku ya kufa nyani miti yote uteleleza.
Div 4 za 30 na 31 hizoo. Hazina hata akili ya kuchanganua mambo. Lol
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linapenda kutoa ufafanuzi juu ya picha mjengoe zinazoonekana katika baadhi ya mitandao ya kijamii zikieleza kuwa, kuna vijana wawili wametekwa Jijini Arusha.

Taarifa sahihi ni kwamba, kwa nyakati tofauti tuliwakamata na tunaendelea kuwahoji vijana hao ambao ni Edwin Richard Mboro (29) mkazi wa Sanawari Jijini Arusha na Victor Bonaventure Ndibalema (35) mkazi wa Kijenge kutokana na tuhuma za kupanga na kuhamasisha Maandamano kinyume cha Sheria.
Uchunguzi wa tukio hili unakamilishwa ili hatua nyingine za kisheria zifuatwe.

Pia Soma: Video: Kijana akitekwa na watu wenye silaha nzito Arusha
Watakuna na kila aina ya kiki....
 
Back
Top Bottom