Polisi wa Zanzibar kuwakamata watu kisa kuwakuta wakila mchana kipindi cha Ramadhan ni uvunjifu wa sheria za Nchi

Zanzibar ni nchi huru yenye, tamaduni, mila na desturi zake. Pia sheria kanuni na katiba yake, wewe kama nani uwaingilie?
 
Kwa hiyo mimi ndie nilitunga hizo hadith 🀣🀣🀣
Mtume wako alimnyonya uume Hassan kumbuka🀣🀣
 
Ndiovyo unavyoamini wewe sio mimi.
Hadith zilizoandikwa na maswahaba wa mtume ziko valid tu kama nyie mnavyojumuisha wakristo wote na ushetani wa papa. Mkitaka tusizitanbue hizo hadith inabidi na nyinyi mtambue papa sio kiondozi wa wakristo bali ni kiongozi wa waroma.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Kumbuka tu hilo kosa hukumu yake ni mwaka mmoja jela na viboko 12 sita ukiingia jela na sita ukitoka tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
Kabla hujafika mbali na uwongo wako, soma post #289
 
Usihusishe tukio hilo na waislam wote.
Kuweni na adabu na akili.
Waislam wengi tupo vizuri na tuna establish sheria nzuri.
La Zanzibar sio la waislam.
Mmesikia ninyi wagalatia?
Mtego wa samaki hauchagui. Mbona nyie hamtofautishi wakristo
Bro MSIHUSISHE SHERIA YA ZANZIBAR NA SHERIA YA UISLAM.
ZANZIBAR SHERIA HIYO WAMEJITUNGIA WAO KWA MATAKWA YAO ILA UISLAM HAUSEMI HIVYO.
 
Kuna majaribu lukuki ktk huu ulimwengu, hili tu ndio mmeamua kulivalia njuga? Hopeless..
 
Unajuwa kabisa unapotosha Watu. Sheria inakataza kula hadharani kipindi Cha mfungo. Hulazimishwi kufunga Sababu Kuna Imani tofauti na Uislam pia Kuna wenye Udhuru Mbalimbali wanakuwa hawajafunga.
 
Kuna sheria za uislam na matakwa ya kibinadamu.
Afande Rama kafanya matakwa yake ila dini haijaruhusu kwahiyo shauri yake.
Kuwa matakwa yake haimuondoi kuwa mwislam.
 
Waroma ndio wakristo wenyewe wao ndio wametunga story zote mpka za utatu mtakatifu wao ndio wamezipanga tena kwa kura, siku ya jpili. Na utunzaji wa biblia na kufanya edit ni wao ,wewe sijui unazungumzia wakristo wepi.
Hao ni waroma.
Unajua maana ya mkristo?
Unafahamu kabla ya ronam catholic kuja ukristo ulikuwepo?
Unajua lengo la kuanzishwa roman Catholic?
 
Tanganyika hatuna katiba hatuna Bendera, Hatuna Rais. Wenzetu Zanzibar Wana Katiba,Wana Bendera, Wana Rais, Wana Wimbo wa Taifa. Hii Sababu ya Ujinga wetu
 
Kuna majaribu lukuki ktk huu ulimwengu, hili tu ndio mmeamua kulivalia njuga? Hopeless..
Mkuu,

Unataka kumpangia mtu aliyekanyagwa vidole kwenye daladala asiseme kwamba kakanyagwa vidole, kwa kuwa kuna watu wameuawa na majambazi?

Kwani haiwezekani yote yakasemwa?

Kwa nini wewe unajiona unafaa kuwapangia watu majaribu gani wayaseme na yapi wasiyaseme?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kumbe unalazimisha hoja!?
Kisa sie waroma twawajumuisha na wakristo wote??
Aisee sie mambo yetu yako wazi.
Ukileta hadithi haina ithbati na Qur'an hiyo na wasifu wa mtume ni feki.
Kwani unadhani kina nani wameweka hiyo taratibu ya mchujo kama sio wanazuoni waliokuwepo baada mtume kufa??
 
Kuwa matakwa yake haimuondoi kuwa mwislam.
Sheria ya uislam iko wazi.
Ukileta matakwa mbele ya sheria basi wewe umekufuru laa sivyo uombe msamaha na utamke shahada tena.
Au hujui hilo!?
Sheria ya uislam haipo hivyo kama usemavyo au utakavyo,ukiikiuka tu umeshatoka kundini ili urudi tubu na tamka shahada upya.
 
As long as imeandikwa na makafiri maswahaba wa mud .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…