Kwa hiyo hakuna shoga mwislam?Sheria ya uislam iko wazi.
Ukileta matakwa mbele ya sheria basi wewe umekufuru laa sivyo uombe msamaha na utamke shahada tena.
Au hujui hilo!?
Sheria ya uislam haipo hivyo kama usemavyo au utakavyo,ukiikiuka tu umeshatoka kundini ili urudi tubu na tamka shahada upya.