Polisi wa Zanzibar kuwakamata watu kisa kuwakuta wakila mchana kipindi cha Ramadhan ni uvunjifu wa sheria za Nchi

Polisi wa Zanzibar kuwakamata watu kisa kuwakuta wakila mchana kipindi cha Ramadhan ni uvunjifu wa sheria za Nchi

Piganieni kusudi la Mungu ila sio kumpigania Mungu.
Kupigania kusudi laa na kumpigania vinafanana???
Nahisi unatakiwa ufundishwe misamiati na maana zake kiufasaha.
"I have been commanded to fight against people till they testify that there is no god but Allah, and that Muhammad is the messenger of Allah" (Muslim 1:33)
 
Mamwera waishia la saba hawajui katiba inasema nini.
 
Tafsiri fanya wewe, nini nachukua kilichosemwa na alaah nakupa kama ushahidi
Huchukui kama kilivyosemwa bali una fanya C&P ambazo haziendani na maana halisi ya Allah alichosema.
 
"I have been commanded to fight against people till they testify that there is no god but Allah, and that Muhammad is the messenger of Allah" (Muslim 1:33)
Unajua hikma ya hiyo hadith inakusudia nini???
Tuanze hapo.
 
Unajua sababu ya kushuka hiyo surah??
Kama tumefundishwa ukatili mbona waislam walivyokua wanateswa Makkah hawakuamrishwa wapigane bali waliamrishwa wahame kutoka Makkah kwenda Madinah??
Ila licha ya waislam kuhama Madinah makafiri wakawafata huko huko na kuwapiga vita.
Hapo ndio Suratul Taubah ikashuka kuwa waislam wanaruhusiwa sasa kupigana na kujitetea maana licha ya kuhama bado wamefatwa na kuchokozwa.
Fighting is obligatory for you, much as you dislike it. - 2:216
 
Huchukui kama kilivyosemwa bali una fanya C&P ambazo haziendani na maana halisi ya Allah alichosema.
Nimeweka sura hapo. Kwa nini usionyeshe nilipoedit kwa kuileta aya husika iliyo sahihi?
 
Kukamata mtu kisa amekula mchana siyo ukandamizaji wa haki za binadamu?
Tundu Lisu mbona haukemei?
Wako wanasheria nguli sana kuliko.hata Lusu huyu hapa wakili nguli kuliko Lisu kaeleza kuwa kilichofanywa na polisi kukamata wala chakula hadharani.mwezi huu wa Ramadhani wamekosea mno kisheria

Lisu anakuwa overrated msikilize wakili mahili huyu hapa Wakili mzanzibari akiongea bila woga akiwa Zanzibar tena kipindi hiki cha Ramadhani Zanzibar .Huyu ndie mwanaume Kiuwakili Zanzibar. Ukitaka wakili Zanzibar mtafute huyo

View: https://youtu.be/Eu0V9V2_Z2Y?si=QgANALLekispctOK
 
  • Thanks
Reactions: 511
Sio kazi yangu aisee. Mimi sio mfwasi wa mo.
Owned and traded slaves. (Sahih Muslim 3901)
KAma sio kazi yako na si mfuasi wa Mo haya mambo yanakushughulisha nini??
Nilishakueleza uislam hauruhusu biashara ya utumwa na ilinunua watumwa kuwakomboa.
Wacha niku block maana nimegundua sijadiliani bali nabishana na mtu.
END OF DISCUSSION WACHA NIKU IGNORE
 
🤣🤣🤣 Umeona muda wa kufakamia kama mchwa umefika unajifanya kuni ignore.
Viazi wengi tu kama wewe mwishoe hukimbia kama unavyofanya. Kwangu jipange sana.

Murdered those who insulted him. (Bukhari 56:369, 4:241)
 
Znz kula hadharani mchana wa Ramadhani ni kosa hizo sheria zipo muda mrefu tu na kabla ya Ramadhani Serikali ishatoa Angalizo
Lete ushahidi wa serikali kutoa hilo angalizo

Huyu mwanasheria wakili nguli wa sheria za zanzibar kaongea vizuri kitaalamu bila unafiki wala kupepesa macho akiitendea fani yake na usomi wake haki Wakili mbobezi ambaye yeyote anahitaji huduma za uwakili Zanzibar amtafute alisoma sheria na anaelewa alichosoma hakukariri msikie

View: https://youtu.be/Eu0V9V2_Z2Y?si=QgANALLekispctOK
 
Hao ni waroma.
Unajua maana ya mkristo?
Unafahamu kabla ya ronam catholic kuja ukristo ulikuwepo?
Unajua lengo la kuanzishwa roman Catholic?
Ulichokiandika nakifahamu vizuri, ila kanisa Catholic ndio limefanyia marekebisho makubwa taratibu za ukristo kama , misa( muundo wa ibada) , sakrament, maadili ,na utawala na uongozi.
 
Mkuu,

Unataka kumpangia mtu aliyekanyagwa vidole kwenye daladala asiseme kwamba kakanyagwa vidole, kwa kuwa kuna watu wameuawa na majambazi?

Kwani haiwezekani yote yakasemwa?

Kwa nini wewe unajiona unafaa kuwapangia watu majaribu gani wayaseme na yapi wasiyaseme?
Ni kama unataka kuanzisha mjadala mpya, sitahusika!.
 
Wacha porojo hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tena hilo kosa hukumu yake ni mwaka mmoja jela na viboko 12 sita ukiingia na sita ukitoka tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
Hiyo sheria haipo
 
Kwani ukimuona mtu anakula mchana mwezi wa ramadhan unajisikiaje/kinatokea nini mwilini mwako?
Kwangu mimi mkuu hakinitokei kitu,maana kufunga ni imani.
Ila hao wazanzibari sijajua kwanini wameweka hiyo sheria.
 
Kwangu mimi mkuu hakinitokei kitu,maana kufunga ni imani.
Ila hao wazanzibari sijajua kwanini wameweka hiyo sheria.
Nasikiliza redio hapa kuna mwanasheria Mzanzibari anatoa maelezo kuwa hakuna sheria hiyo. Clouds redio
 
Back
Top Bottom