"I have been commanded to fight against people till they testify that there is no god but Allah, and that Muhammad is the messenger of Allah" (Muslim 1:33)Piganieni kusudi la Mungu ila sio kumpigania Mungu.
Kupigania kusudi laa na kumpigania vinafanana???
Nahisi unatakiwa ufundishwe misamiati na maana zake kiufasaha.
Huchukui kama kilivyosemwa bali una fanya C&P ambazo haziendani na maana halisi ya Allah alichosema.Tafsiri fanya wewe, nini nachukua kilichosemwa na alaah nakupa kama ushahidi
Unajua hikma ya hiyo hadith inakusudia nini???"I have been commanded to fight against people till they testify that there is no god but Allah, and that Muhammad is the messenger of Allah" (Muslim 1:33)
Fighting is obligatory for you, much as you dislike it. - 2:216Unajua sababu ya kushuka hiyo surah??
Kama tumefundishwa ukatili mbona waislam walivyokua wanateswa Makkah hawakuamrishwa wapigane bali waliamrishwa wahame kutoka Makkah kwenda Madinah??
Ila licha ya waislam kuhama Madinah makafiri wakawafata huko huko na kuwapiga vita.
Hapo ndio Suratul Taubah ikashuka kuwa waislam wanaruhusiwa sasa kupigana na kujitetea maana licha ya kuhama bado wamefatwa na kuchokozwa.
Nimeweka sura hapo. Kwa nini usionyeshe nilipoedit kwa kuileta aya husika iliyo sahihi?Huchukui kama kilivyosemwa bali una fanya C&P ambazo haziendani na maana halisi ya Allah alichosema.
Sio kazi yangu aisee. Mimi sio mfwasi wa mo.Unajua hikma ya hiyo hadith inakusudia nini???
Tuanze hapo.
Wako wanasheria nguli sana kuliko.hata Lusu huyu hapa wakili nguli kuliko Lisu kaeleza kuwa kilichofanywa na polisi kukamata wala chakula hadharani.mwezi huu wa Ramadhani wamekosea mno kisheriaKukamata mtu kisa amekula mchana siyo ukandamizaji wa haki za binadamu?
Tundu Lisu mbona haukemei?
KAma sio kazi yako na si mfuasi wa Mo haya mambo yanakushughulisha nini??Sio kazi yangu aisee. Mimi sio mfwasi wa mo.
Owned and traded slaves. (Sahih Muslim 3901)
🤣🤣🤣 Umeona muda wa kufakamia kama mchwa umefika unajifanya kuni ignore.KAma sio kazi yako na si mfuasi wa Mo haya mambo yanakushughulisha nini??
Nilishakueleza uislam hauruhusu biashara ya utumwa na ilinunua watumwa kuwakomboa.
Wacha niku block maana nimegundua sijadiliani bali nabishana na mtu.
END OF DISCUSSION WACHA NIKU IGNORE
Onyesha ushahidi wa serikali kutoa angalizoZnz kula hadharani mchana wa Ramadhani ni kosa hizo sheria zipo muda mrefu tu na kabla ya Ramadhani Serikali ishatoa Angalizo
Lete ushahidi wa serikali kutoa hilo angalizoZnz kula hadharani mchana wa Ramadhani ni kosa hizo sheria zipo muda mrefu tu na kabla ya Ramadhani Serikali ishatoa Angalizo
Ulichokiandika nakifahamu vizuri, ila kanisa Catholic ndio limefanyia marekebisho makubwa taratibu za ukristo kama , misa( muundo wa ibada) , sakrament, maadili ,na utawala na uongozi.Hao ni waroma.
Unajua maana ya mkristo?
Unafahamu kabla ya ronam catholic kuja ukristo ulikuwepo?
Unajua lengo la kuanzishwa roman Catholic?
Ni kama unataka kuanzisha mjadala mpya, sitahusika!.Mkuu,
Unataka kumpangia mtu aliyekanyagwa vidole kwenye daladala asiseme kwamba kakanyagwa vidole, kwa kuwa kuna watu wameuawa na majambazi?
Kwani haiwezekani yote yakasemwa?
Kwa nini wewe unajiona unafaa kuwapangia watu majaribu gani wayaseme na yapi wasiyaseme?
Mjadala ule ule. Huna haki uliyojipa ya kumpangia mtu cha kusema.Ni kama unataka kuanzisha mjadala mpya, sitahusika!.
Hiyo sheria haipoWacha porojo hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tena hilo kosa hukumu yake ni mwaka mmoja jela na viboko 12 sita ukiingia na sita ukitoka tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
Kwani ukimuona mtu anakula mchana mwezi wa ramadhan unajisikiaje/kinatokea nini mwilini mwako?Kuna ubaya gani ukienda kulia ndani??
Hata ukila ndani ya kibanda sawa ila sio hadharani.
Kwangu mimi mkuu hakinitokei kitu,maana kufunga ni imani.Kwani ukimuona mtu anakula mchana mwezi wa ramadhan unajisikiaje/kinatokea nini mwilini mwako?
Nasikiliza redio hapa kuna mwanasheria Mzanzibari anatoa maelezo kuwa hakuna sheria hiyo. Clouds redioKwangu mimi mkuu hakinitokei kitu,maana kufunga ni imani.
Ila hao wazanzibari sijajua kwanini wameweka hiyo sheria.