Polisi wa Zanzibar kuwakamata watu kisa kuwakuta wakila mchana kipindi cha Ramadhan ni uvunjifu wa sheria za Nchi

Baada ya kusemwaa Sana jamaa wamebadilishiwa kesi imekuwa walikutwa wakivuta bangi.
 
Nasikiliza redio hapa kuna mwanasheria Mzanzibari anatoa maelezo kuwa hakuna sheria hiyo. Clouds redio
Na hata mimi ndivyo nijuavyo.
Ila watu wana draw general implication kwa waislam wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…