Polisi wa Zanzibar kuwakamata watu kisa kuwakuta wakila mchana kipindi cha Ramadhan ni uvunjifu wa sheria za Nchi

Hivi uislam unakufundisha ubaguzi kiasi hiki? Zama za ubaguzi zilishapitwa na wakati na hutofanikiwa.
Mungu anawapenda wote, iweje wewe binadamu tu?
By the way Zanzibar aiongozwi kidini.
Ubaguzi unaanzia pale nyinyi machogo kutwa kuchwa kubumbwa habari za uongo humu kuhusu Zanzibar na Uislamu
Sasa tukijibu, huwa hakuna rangi hamtoona, kaeni kimya au hapa ni jicho kwa jicho
By the way hatutaki Zanzibar iendeshwe kiislamu, lakini kwa kuwa utamaduni na mila zinaendana na uislamu, lazima ziheshimiwe.
Narudia tena hamjaitwa kuja huku, ni njaa zenu zimewaleta, mnaweza mkaondoka tu ikawa poa.
 
We control you.
Everything happening in znz is controlled by Tanganyika
so sad even UN doesn't recognise you
 
Utanipangiaje pa kulia chakula changu? Kwani ulinisaidia kukitafuta. Walafi tu nyie. Mtu mzima unashindwaje kujizuia na kuendelea na mfungo wako kisa umemuona mtu akila chakula chake? Nyie ni watoto wenye maumbo makubwa tu. Hivyoooo
Kawafate Zanzibar walioweka hiyo sheria.
Umeenda kwa watu fuata sheria za watu.
Walioweka hiyo sheria ni Zanzibar sio waislam wote.
Hivyo kapambane na Zanzibar usinibwatukie kama malaya aliyekopwa uchi.
 
Unataka tuanzishe mjadala wa nani zaidi kati ya Zanzibar na Bara? Au unamaanisha nini?

Muislam gani unatukana tukana tu ovyo. Rudi kwenye misingi ya Uislam na wala siyo kuwatendea vibaya wasio wa imani yako.
 
Visiwani siondoki hata kwa mtutu.
Yaani niondoke niziache hela zimejaa nje nje? No way
Napiga hela huku najenga bara
 
Acha ujinga. Unapata wapi haki ya kunipangia mahali pa kulia chakula changu? Kuna ubaya gani wewe unayefunga ukipita pembeni ukaniacha mie nisiyefunga nakula chakula changu kwa uhuru?!!
Hao jamaa huwa hawafungi wanabadilisha milo ya chakula.
  • Chakula cha asubuhi atakula saa 1 usiku
  • Chakula cha mchana atakula saa 5 usiku
  • Chakula cha usiku atakula saa saa 10 alfajiri
Mchana kutwa amevimbiwa, hana njaa.
 
Umeandika kwa kutumia elimu ya madrasa. Hongera sana
 
Umeandika kwa kutumia elimu ya madrasa. Hongera sana
Hii ndio ligi naitaka sasa
Mimi nimesoma madrasa na nimesoma shule tena mpaka nje ya nchi na kukuzidi wewe na sio ya necta
Sasa tuweke hapa viwango vya elimu yangu na yako taungalie pia mchepuo umesoma kulinganisha na mimi wa sayansi na uhandisi, mbuzi wewe, tuweke ligi hapa
 
Ni wapi kumeandikwa Wakristo wale Nguruwe
Wakristo wanakula nguruwe, wameambiwa kimuingiacho mtu si haramu bali kimtokacho. Wamepeea agano jipya na kanuni ya upendo.

Pia, nimeongelea zaidi ya Wakristo hiki si suala la Wakristo na Waislamu tu, ninsuala la imaninza watu kuheshimiwa.

Sasa Waislamu wanavyolazimisha watu wasike kwa sababu ya imani zao, wakienda nchi ambazo watu wanakula mwezi wa Ramadhan, na wao Waislamu walazimishwe kuka kwa kuwa inawabidi waheshinu dini za wenzao?

Wakienda nchi ambazo imani zao zinaruhusu kula nguruwe, Waislamu walazinishwe kuka nguruwe kwa sababu ya kuheshimu imani za watu wa hizo nchi?

Nimetaja mpaka India ambako wako Wahindu.

Hujajibu swali hili.

Umeishia kuona false dichotomy ya Uislamu na Ukristo tu.

Unaweza kujadili hojanya kifalsafa bika kuishia kuona fakse dichotomy ya Uislamu na Ukristo tu?

Waislamu wakienda nchi zenye imani zinazopingana na imani za Kiislamu walazimishwe kufuata hizo imani kwa kuheshinu imani za watu wa nchi hizo?

Au hii habari ya kuheshimu imani za watu wa nchi unayokwenda ni special ukienda nchi za Waislamu tu?

Wakristo wa Italy wakianza kuwachapa bakora Waislamu walio Italy kwa sababu Waislamu wanafunga Ramadhan, Wa Italiano hawafungi, wanawataka Waislamu waheshimu imani za Waitaliano za kutofunga Ramadhani, utakubali Waislamu wapigwe bakora na kulazimishwa kula mchana mwezi wa Ramadhani kwa kuheshinu dini za wakazi wa Italy?

Hamuoni kwamba mnachowafanyia hao wasio Waislamu (au watu wasiotakankufuata mfungo wa Ramadhan) Zanzibar kinaweza kufanywa kwa Waislamu walio nchi zisizo za Kiislamu na Waislamu wenzenu wakaumia sana pia?

How stupid and selfish do you have to be to not see this?

Hao Wazanzibari Waislamu wamejaa dunia nzima, ukienda Canada wapo, Uingereza wapo, Marekani wapo, Japan wapo.

Hizi ni Muslim minority countries.

Tuanze kuwapiga bakora huku kwa sababu hawaheshimu dini za wenyeji na wanaamua kuishi kwa mujibu wa dini zao?
 
kwa muislamu hata kama hajafunga ataona haya kula hadharani lakini kwa asiye muislam aachwe ale hadharani popote pale kama anavyokula siku zingine. kuna visheria vingine ni vya kijinga kama si vya kuleta utengano. zaidi inachoshangaza ni kuwakamata na kuwaadhibu.
karume alileta hiyo sheria zamani lakini pengine shule yake kua ndogo na kukosa exposure plus na kupokea dini kwa mihemko. kuna mambo hayawezi kua applicable kwa zama tuko nazo sasa. mabadiliko ni lazima. ndio maana hata Arabuni kuna amendments kibao kila uchwao. mfano mzuri saudia waliona ni sheria ya kipumbavu kuzuia wanawake kuendesha magari wakafuta. lakini usishangae hata ktk hilo kuna waitikadi kali waliona kama ni makosa.
 
We control you.
Everything happening in znz is controlled by Tanganyika
so sad even UN doesn't recognise you
Sasa si mkawaombe UN waje kuwasaidia
Huku mtakula mboko tu, ukikutwa unakula barabarani ni voboko na hakuna mtakachofanya zaidi ya kufungua uzi mwingine humu jf.
 
aloo shule muhimu. hebu cheki pwenti hii umeandika mukuu wa kazi
 
Waislamu wengi kama hao wanaofanya fujo Zanzibar ni wajinga hawajui minority rights, wanajifanya Uislamu wao ndio dini ya maana ya kutawala dunia, wakati hawajui kuwa wao wanavyowaonea watu wasio Waislamu kwenye nchi za Kiislamu, ndivyo hivyo hivyo Waislamu walio katika nchi zisizo za Kiislamu wanaweza kuonewa.

Ni tabia fulani za kijinga, kishamba na kibinafsi sana.

Halafu hata dini yao hawaijui au wanaidharau pale Quran iliposema kwenye dini hakuna kulazimishana.

Haya ni mambo ya kutaka kulazimishana maisha tu.

But then again, that is the whole point of religion.
 
Hap wajinga wajinga wengi hata shule hawajaenda hawawezi kuelewa somo la minority rights na umuhimu wake.

Wanachoelewa wao ni wengi wape na mwenye nguvu mpishe.

Hawajui kwamba kuna Waislamu wengi sana wako minority nchi zisizo za Kiislamu na watu wakianza kuwabagua kwa sababu wao ni minorities, Waislamu wenzao watapata shida sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…