Ni wapi kumeandikwa Wakristo wale Nguruwe
Wakristo wanakula nguruwe, wameambiwa kimuingiacho mtu si haramu bali kimtokacho. Wamepeea agano jipya na kanuni ya upendo.
Pia, nimeongelea zaidi ya Wakristo hiki si suala la Wakristo na Waislamu tu, ninsuala la imaninza watu kuheshimiwa.
Sasa Waislamu wanavyolazimisha watu wasike kwa sababu ya imani zao, wakienda nchi ambazo watu wanakula mwezi wa Ramadhan, na wao Waislamu walazimishwe kuka kwa kuwa inawabidi waheshinu dini za wenzao?
Wakienda nchi ambazo imani zao zinaruhusu kula nguruwe, Waislamu walazinishwe kuka nguruwe kwa sababu ya kuheshimu imani za watu wa hizo nchi?
Nimetaja mpaka India ambako wako Wahindu.
Hujajibu swali hili.
Umeishia kuona false dichotomy ya Uislamu na Ukristo tu.
Unaweza kujadili hojanya kifalsafa bika kuishia kuona fakse dichotomy ya Uislamu na Ukristo tu?
Waislamu wakienda nchi zenye imani zinazopingana na imani za Kiislamu walazimishwe kufuata hizo imani kwa kuheshinu imani za watu wa nchi hizo?
Au hii habari ya kuheshimu imani za watu wa nchi unayokwenda ni special ukienda nchi za Waislamu tu?
Wakristo wa Italy wakianza kuwachapa bakora Waislamu walio Italy kwa sababu Waislamu wanafunga Ramadhan, Wa Italiano hawafungi, wanawataka Waislamu waheshimu imani za Waitaliano za kutofunga Ramadhani, utakubali Waislamu wapigwe bakora na kulazimishwa kula mchana mwezi wa Ramadhani kwa kuheshinu dini za wakazi wa Italy?
Hamuoni kwamba mnachowafanyia hao wasio Waislamu (au watu wasiotakankufuata mfungo wa Ramadhan) Zanzibar kinaweza kufanywa kwa Waislamu walio nchi zisizo za Kiislamu na Waislamu wenzenu wakaumia sana pia?
How stupid and selfish do you have to be to not see this?
Hao Wazanzibari Waislamu wamejaa dunia nzima, ukienda Canada wapo, Uingereza wapo, Marekani wapo, Japan wapo.
Hizi ni Muslim minority countries.
Tuanze kuwapiga bakora huku kwa sababu hawaheshimu dini za wenyeji na wanaamua kuishi kwa mujibu wa dini zao?