chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Hakika jeshi limekuja kivingine, ukiweka ugoko wanaweka jiwe.
Hii ni moja ya zana ya kisasa ya kudhibiti wahuni kipindi cha uchaguzi, nyingine bado hazijaonyeshwa. Nasubiri nione dizaini ya rungu, nashauri kule Mbele ziwekewe kama miba miba hivi, ili zikigonga ugoko mtu asikilizie mpaka kwenye ubongo.
Pia gari za maji ya kuwasha yaongezwe ukali ili mtu ajikune kama Ndala Kasheba anapiga nyuzi za gitaa lake