Polisi waanza kuonyesha zana za kupambana na wanaojipanga kufanya uhalifu wakati wa uchaguzi mkuu.

Polisi waanza kuonyesha zana za kupambana na wanaojipanga kufanya uhalifu wakati wa uchaguzi mkuu.

Nakumbuka mwaka 1994 Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani alienda kufanya shopping ya mabomu ya kisasa ya kutoa machozi huku akiwatukana wapinzani na kuwaita vichaa lakini mwaka 1995 akiwa mgombea wa Urais kupitia NCCR Mageuzi alikuwa wa kwannza kupigwa mabomu hayo kule Moshi na aliyekuwa RPC wa Kilimanjaro Omar Mahita karibu yampofue macho. Hawa hawa askari wanaowatumia kuteka na kuua wapinzani kuna siku watawageuzia hiyo mitutu.
Ni jambo la muda tu
 
Back
Top Bottom