figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
sio Eti....Rehema ndie mtuhumiwa namba moja.....na wewe tukuingize kwenye idadi ya watuhumiwa ? file bado lipo wazi mkuu...Polisi Tanzania imezungumzia mauaji ya hivi karibuni, Polisi Dar es Salaam ilianza uchunguzi wa mauaji ya mtu aliyejulikana kwa jina la Athumani Nyanza ambaye mwili wake ulikutwa umefukiwa kwenye shimo karibu na nyumba yake huko maeneo ya Mtaa wa Kimyakimya Zingiziwa llala. Polisi wamemkamata, kumshikilia na kumuhoji kwa kina Rehema Maulidi miaka 42 mkazi wa Kigamboni Dar es Salaam na mwenzake mmoja jina limehifadhiwa kwa tuhuma za mauaji. Taratibu za kisheria zinakamilishwa ili mamlaka zingine za kisheria zichukue
MY TAKE
Rehema sabababu alijua sababu yupo mtaa wa kimya kimya, mambo yataisha kimya kimya..
Wanawake wa Tanzania watatumaliza. Wamezidi ukatili 😭
Fununu zinadai alifanyiwa hivyo kwanini mkuu?Kwani mke wa Nyanza anaitwa Rehema?
Mimi nilikataa kabisa fact ya kwamba Nyanza aliuwawa na mtu mmoja halafu tena mtu huyo awe mwanamke hapana hilo nitabisha mpaka kesho.
Hoja pekee ambayo naweza kuwa convinced ya kwamba mwanamke peke yake alitekeleza hayo mauaji ni kama huyo mwanamke alimuwekea sumu kwenye chakula Nyanza.
Lakini kutokana na mwili kuonyesha majeraha tena kwenye eneo la kichwa basi ni wazi hilo lilikuwa ni shambulizi lililofanyika akiwa concious.
Labda kama iwe ni shambulizi la surprise ambapo hoja hii itakuwa na mashiko ikiwa majeraha yataonesha upande wa nyuma wa kichwa kwamba jamaa hakujiandaa kwa chochote na hakuona shambulio likija.
Vinginevyo naona kuna wahusika wengine katika mauaji.
Mkuu, labla hujawahi kukamatika Ndo mana Unaongea hivyo ety mwanamke mmoja hawezi kumuua mwanaume.Kwani mke wa Nyanza anaitwa Rehema?
Mimi nilikataa kabisa fact ya kwamba Nyanza aliuwawa na mtu mmoja halafu tena mtu huyo awe mwanamke hapana hilo nitabisha mpaka kesho.
Hoja pekee ambayo naweza kuwa convinced ya kwamba mwanamke peke yake alitekeleza hayo mauaji ni kama huyo mwanamke alimuwekea sumu kwenye chakula Nyanza.
Lakini kutokana na mwili kuonyesha majeraha tena kwenye eneo la kichwa basi ni wazi hilo lilikuwa ni shambulizi lililofanyika akiwa concious.
Labda kama iwe ni shambulizi la surprise ambapo hoja hii itakuwa na mashiko ikiwa majeraha yataonesha upande wa nyuma wa kichwa kwamba jamaa hakujiandaa kwa chochote na hakuona shambulio likija.
Vinginevyo naona kuna wahusika wengine katika mauaji.
Tamaa ya mali. Demu alitaka kum over step jamaa ajimilikishe nyumbaFununu zinadai alifanyiwa hivyo kwanini mkuu?
Mkumbushe pia kua wanawake wengine wapo fit 💪Mkuu, labla hujawahi kukamatika Ndo mana Unaongea hivyo ety mwanamke mmoja hawezi kumuua mwanaume.
Sasa ww unadhani mwanamke akitaka kukuua atakuja kwa Shari?
Tena kama n mwanamke wako anakuua fresh kabisa.
Nimetoa possibility za mwanamke kumuua mwanaume labda kama hujazisoma.Mkuu, labla hujawahi kukamatika Ndo mana Unaongea hivyo ety mwanamke mmoja hawezi kumuua mwanaume.
Sasa ww unadhani mwanamke akitaka kukuua atakuja kwa Shari?
Tena kama n mwanamke wako anakuua fresh kabisa.
Demu mganga Tena !? 😁😁Tamaa ya mali. Demu alitaka kum over step jamaa ajimilikishe nyumba
Lakini huyo demu ni mganga mganga
MnoHatari sana
Ma-serial killer wa kibongo jau sana,unaua mtu unamzika nyuma ya nyumba yake shimo ½foot unarudi kwako Kigamboni kujifunika shuka kwamba kazi umeimaliza?
Ulaya mtu anazikwa sebuleni na ndugu mnakaa humo humo ndani mkipiga story hadi siku muuaji awaambie hapa nilimzika fulani.hata hivyo wanawake wa Tanzania 50/50 wanaifanya kwa vitendo,mwanamke kuua mtu kumburuza hadi nyuma ya nyumba kisha kumfukia siyo kazi rahisi wapewe mauwa yao.
Mimi sipingi kuwa mwanamke hawezi kumuua mwanaume.Mkumbushe pia kua wanawake wengine wapo fit 💪
Nb siungi mkono mauwaji
Ni kweli mkuu kuna namna hapa huyo mwanamke atatoa majibuMimi sipingi kuwa mwanamke hawezi kumuua mwanaume.
Aina ya kifo cha Nyanza kilivyotokea kunaonyesha kuna pattern ya matukio mengi ambayo ukiunga dots ni ngumu kusema haya mauaji yamefanywa na mtu mmoja pasipo ushiriki wa mtu mwingine.
Mwanamke anaweza kukuua kwa sumu, kukuua hata kwa panga kama umelala nk. Hayo yote nakubali.
Nimeweka benefit of doubt kwa kuonyesha uwezekano wa mwanamke kuweza kutekeleza hayo mauaji peke yake, lakini pattern ya matukio yanaongeza maswali ambayo yanafanya iwe ngumu kuamini kuwa haya mauaji yamefanywa na mtu mmoja tena mwanamke.
Mwili umepatikana ukiwa unaonyesha majeraha makubwa eneo la kichwa, concept ya kwanza ni kwamba alishambuliwa kichwani.
Anza kui analyze hiyo concept kwa kuitengenezea picha ndio hapo utaona hoja yangu. Kwamba wakati Nyanza anashambuliwa alikuwa katika hali gani?
1. Je wakati anashambuliwa alikuwa hajitambui (unconcious) chochote eidha alilala?
2. Au alikuwa anaona shambulio linavyokuja ila hakuji defense?
3. Au shambulio aliliona likija ila alikuwa amefungwa kamba hakuweza kujitetea?
4. Na kama 3 ni kweli je mwanamke mmoja anatosha kumfunga kamba mwanaume ambaye ana concious?
5. Baada ya mauaji ulitumika usafiri gani kubebea mwili mpaka kuuleta Chanika kwa ajili ya kuufukia?
6. Sina hakika na huyo mwanamke kumiliki gari ila mashaka yangu kwa info zake nilizopata japo kwa uchache, hana maisha hayo, sasa ina maan alibeba maiti mgongoni kutoka Kigamboni hadi Chanika?
7. Kama 6 haiwezekani basi ni wazi kulikuwa na usafiri, je huyo mwenye huo usafiri alikuwa hajui kilichokuwa kinabebwa?
Maswali ni mengi.