Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,537
- 133,017
NdioDemu mganga Tena !? 😁😁
Naskia room moja pale aliigeuza kilinge
Madebe alikuwa anamshangaa sana Nyanza imekuwaje tena mwanangu uoe demu wa mbanga hizo ila hakutaka kuingilia privacy za watu.
NdioDemu mganga Tena !? 😁😁
HehNdio
Naskia room moja pale aliigeuza kilinge
Madebe alikuwa anamshangaa sana Nyanza imekuwaje tena mwanangu uoe demu wa mbanga hizo ila hakutaka kuingilia privacy za watu.
Polisi watuambie vizuriKwani mke wa Nyanza anaitwa Rehema?
Mimi nilikataa kabisa fact ya kwamba Nyanza aliuwawa na mtu mmoja halafu tena mtu huyo awe mwanamke hapana hilo nitabisha mpaka kesho.
Hoja pekee ambayo naweza kuwa convinced ya kwamba mwanamke peke yake alitekeleza hayo mauaji ni kama huyo mwanamke alimuwekea sumu kwenye chakula Nyanza.
Lakini kutokana na mwili kuonyesha majeraha tena kwenye eneo la kichwa basi ni wazi hilo lilikuwa ni shambulizi lililofanyika akiwa concious.
Labda kama iwe ni shambulizi la surprise ambapo hoja hii itakuwa na mashiko ikiwa majeraha yataonesha upande wa nyuma wa kichwa kwamba jamaa hakujiandaa kwa chochote na hakuona shambulio likija.
Vinginevyo naona kuna wahusika wengine katika mauaji.
Mimi sihusikisio Eti....Rehema ndie mtuhumiwa namba moja.....na wewe tukuingize kwenye idadi ya watuhumiwa ? file bado lipo wazi mkuu...
sio Eti....Rehema ndie mtuhumiwa namba moja.....na wewe tukuingize kwenye idadi ya watuhumiwa ? file bado lipo wazi mkuu...
umeponamzee wangu ule ugonjwa uliokufanya mkeo binti akukimbie, umepona?
Makosa aliyofanya Rehema ya kutumia simu ya Nyanza kutuma meseji kujifanya ni Nyaza ni sawa na Yule wa Gezaulole Hamisi ,halafu wote ni wa KIGAMBONI.View attachment 3560564
Huyu ndo Muliro. Muongo wa taifa
Polisi Tanzania imezungumzia mauaji ya hivi karibuni. Kwamba baada ya mauaji, Polisi Dar es Salaam ilianza uchunguzi wa mauaji ya mtu aliyejulikana kwa jina la Athumani Nyanza ambaye mwili wake ulikutwa umefukiwa kwenye shimo karibu na nyumba yake huko maeneo ya Mtaa wa Kimyakimya Zingiziwa llala.
Polisi wamemkamata, kumshikilia na kumuhoji kwa kina Rehema Maulidi miaka 42 mkazi wa Kigamboni Dar es Salaam na mwenzake mmoja jina limehifadhiwa kwa tuhuma za mauaji.
Taratibu za kisheria zinakamilishwa ili mamlaka zingine za kisheria zichukue
MY TAKE
Rehema alijua sababu yupo mtaa wa kimya kimya, mambo yataisha kimya kimya..
Wanawake wa Tanzania watatumaliza. Wamezidi ukatili 😭
Nimetoa possibility za mwanamke kumuua mwanaume labda kama hujazisoma.
Mimi nafanya judgment kulingana na hali ya maiti ilivyokutwa.
Kwa mazingira ya mwili ulivyokutwa na majeraha lazima kungekuwa na struggles za jamaa ku defense, ila kama hakukuwa na defense basi hapo doubt itakuwa ni shambulio la ghafla ambalo Nyanza hakuweza kuona likija.
Nachotaka hapa nikufafanulie ni kwamba mazingira yale face to face attacking yangetokea maana yake kungekuwa na trace ambazo zingem direct mwanamke kuwa ni muhusika,.
Yaani wewe unaamini mwanamke peke yake facce to face na mwanaume kwa kutumia mpini amuue bila huyo jamaa kumkwaruza hata kidogo mwilini mwake ili kuonyesha struggle?
Pointi yangu ni hii
Huyu mwanamke inasemekana alimuua Nyanza huko Kigamboni, lakini mwili ulikuja kufukiwa Chanika.
Maana yake sio tukio lililofanywa na mtu mmoja ilikuwa ni collaboration otherwise kama upeo wako unaona ni sawa kufikiria mwanamke mmoja aue, huyo huyo mwanamke ambebe jamaa (akiwa mfu) kutoka KIgamboni hadi Chanika.
Halafu huyo huyo achimbe shimo au akodi watu wakuchimba shimo halafu amfukie na watu wasijue.
Hivi Polisi hasa Muliro akiongea kitu huwa unaamini?Ndo yeye mtuhumiwa namba moja
Ulivyoandika heading yako sasa mimi nikafikri labda wewe una majibu! Umetuma neno "eti"View attachment 3560564
Huyu ndo Muliro. Muongo wa taifa
Polisi Tanzania imezungumzia mauaji ya hivi karibuni. Kwamba baada ya mauaji, Polisi Dar es Salaam ilianza uchunguzi wa mauaji ya mtu aliyejulikana kwa jina la Athumani Nyanza ambaye mwili wake ulikutwa umefukiwa kwenye shimo karibu na nyumba yake huko maeneo ya Mtaa wa Kimyakimya Zingiziwa llala.
Polisi wamemkamata, kumshikilia na kumuhoji kwa kina Rehema Maulidi miaka 42 mkazi wa Kigamboni Dar es Salaam na mwenzake mmoja jina limehifadhiwa kwa tuhuma za mauaji.
Taratibu za kisheria zinakamilishwa ili mamlaka zingine za kisheria zichukue
MY TAKE
Rehema alijua sababu yupo mtaa wa kimya kimya, mambo yataisha kimya kimya..
Wanawake wa Tanzania watatumaliza. Wamezidi ukatili 😭
Ukiona umepanda gari isiyo sahihi shuka haraka kituo kinachofuata kabla hujakutana na makubwaView attachment 3560564
Huyu ndo Muliro. Muongo wa taifa
Polisi Tanzania imezungumzia mauaji ya hivi karibuni. Kwamba baada ya mauaji, Polisi Dar es Salaam ilianza uchunguzi wa mauaji ya mtu aliyejulikana kwa jina la Athumani Nyanza ambaye mwili wake ulikutwa umefukiwa kwenye shimo karibu na nyumba yake huko maeneo ya Mtaa wa Kimyakimya Zingiziwa llala.
Polisi wamemkamata, kumshikilia na kumuhoji kwa kina Rehema Maulidi miaka 42 mkazi wa Kigamboni Dar es Salaam na mwenzake mmoja jina limehifadhiwa kwa tuhuma za mauaji.
Taratibu za kisheria zinakamilishwa ili mamlaka zingine za kisheria zichukue
MY TAKE
Rehema alijua sababu yupo mtaa wa kimya kimya, mambo yataisha kimya kimya..
Wanawake wa Tanzania watatumaliza. Wamezidi ukatili 😭
Mkuu, inawezekana kweli alikuwa mwenyewe. Maana kama angekuwa na mwi/wengine, basi wasingemfukia hapo kirahisi hivyo, na mpaka leo marehemu angeluwa anatafutwa.Kwani mke wa Nyanza anaitwa Rehema?
Mimi nilikataa kabisa fact ya kwamba Nyanza aliuwawa na mtu mmoja halafu tena mtu huyo awe mwanamke hapana hilo nitabisha mpaka kesho.
Hoja pekee ambayo naweza kuwa convinced ya kwamba mwanamke peke yake alitekeleza hayo mauaji ni kama huyo mwanamke alimuwekea sumu kwenye chakula Nyanza.
Lakini kutokana na mwili kuonyesha majeraha tena kwenye eneo la kichwa basi ni wazi hilo lilikuwa ni shambulizi lililofanyika akiwa concious.
Labda kama iwe ni shambulizi la surprise ambapo hoja hii itakuwa na mashiko ikiwa majeraha yataonesha upande wa nyuma wa kichwa kwamba jamaa hakujiandaa kwa chochote na hakuona shambulio likija.
Vinginevyo naona kuna wahusika wengine katika mauaji.
Inavyosemekana mauaji yamefanyika Kigamboni wakamleta kumzika kwake huko Zingiziwa.Ma-serial killer wa kibongo jau sana,unaua mtu unamzika nyuma ya nyumba yake shimo ½foot unarudi kwako Kigamboni kujifunika shuka kwamba kazi umeimaliza?
Ulaya mtu anazikwa sebuleni na ndugu mnakaa humo humo ndani mkipiga story hadi siku muuaji awaambie hapa nilimzika fulani.hata hivyo wanawake wa Tanzania 50/50 wanaifanya kwa vitendo,mwanamke kuua mtu kumburuza hadi nyuma ya nyumba kisha kumfukia siyo kazi rahisi wapewe mauwa yao.