Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,806
- 95,701
Sasa muanze kupika wenyeweWanaume njoeni tuweke kikao hapa..
Maxence Melo umeona dada zetu wanavyotufanyia uchawi kwenye chakula
Sasa muanze kupika wenyeweWanaume njoeni tuweke kikao hapa..
Maxence Melo umeona dada zetu wanavyotufanyia uchawi kwenye chakula
Dah wanaumme tupo hatarini sana!Bora ameongea ukweli wanaume wawe makini ,siyo tu hizo steel waya ,wanawake wanatuwekea mauchafu mengi sana kwenye chakula ,wanaweka hadi damu za hedhi ,wanaweka unga wa mijusi ile myeupe ya ndani ,wanasema huku vilingeni kwao ukiwekewa hivyo hautoboi unakuwa kama wagonjwa wa ukimwi wa zamani.
Ni vile tu Mungu anatulinda lakini tunawekewa MAKOROKORO mengi sana kwenye chakula.
Niliiangalia hii Documentary kwenye IDHapa umenikumbusha kuna documentary moja niliiangalia inaitwa The secrets We Bury (2025), kwenye hii documentary inasimulia simulizi ya mtu ambae alikua Mwanajeshi wa Marekani ambae alifariki kifo cha kutatanisha yaan alipotea tu ghafla na hakuwahi kuonekana tena, basi kipindi anafariki watoto wake walikua ni wadogo sana ingawa dada yao mkubwa ndie aliekua mkubwa kidogo, basi kisa kipo hivi Baba yao kuna siku alirudi na Mgeni nyumbani kwao Mgeni ni Mwanaume sasa aliporudi nae akawa anasaidiana nae kufanya marekebisho ya nyumba, nifupishe kwenye hizo harakati za ujenzi huyo Baba yao ndipo alipopotea na hakuonekana tena,
Mama yao akaolewa na yule Mgeni alieletwa na Baba yao wakaendelea kuishi, sasa walipokua wakubwa Mama yao akawa anataka kuiuza ile nyumba yao, mtoto wa Mwisho wa Kiume akamwambia hapana Mama usiiuze hii nyumba mimi nitainunua kweli akainunua ile nyumba akaanza kuishi na Mama yake ndio taratibu za wazungu, Mama yao baada ya kutengana na huyo Mgeni ndio akataka aiuze nyumba yao, mtoto akainunua akaendelea kuishi na Mama yake
Sasa huyu mtoto wa Mwisho wa Kiume akaanza taratibu za kumtafuta Baba yake yaan hata km amekufa popote basi wayapate tu hata mabaki yake tu akawa anakusanya mabaki mbalimbali na taarifa mbalimbali kwenye majalala ya takataka, madampo yaan akawa km hawa watu wanaokota makopo huku bongo yeye anachomba taarifa yaan ili km atakutana na taarifa yoyote inayolink na Baba yake ila ni mtu mwenye nyadhifa kubwa maana alisomea udaktari na ni daktari wa binadamu,
Akaendelea kutafuta kila akimuuliza Mama yake hampi majibu ya kueleweka kumbuka huyu mdogo kipindi anamtafuta Baba yake yeye tayari kashazeeka na ana watoto tayari na wenyewe ni wakubwa na wana watoto ila yeye alikua anatafuta mabaki ya Baba yake, akaendelea kutafuta, kufupisha kidogo baada ya kifo cha Mama yake dada yake akamwambia na yeye anaungana nae kumtafuta Baba yake ila atampeleka kwa mtu anaefanya masuala ya Psychic 🔮
Kwanza jamaa anasema yeye alikua haaamini kabisa hayo masuala ya Psychic ila kwa heshima ya dada yake na kutokumkatisha tamaa dada yake akakubari wakaenda ingawa ndugu zake wengine waligoma hilo suala la kwenda huyo mtu wa Psychic, basi walipoenda yule Mama anaefanya masuala Psychic akaanza kuwaelezea masuala mengine kabisa jamaa akaona km vile anawapotezea muda tu, akawa km anataka kumpuuza aondoke maana aliona km anapoteza muda yule Mama akamwambia ulikua unataka nikwambie kuhusu nini unachokihitaji sana, akamwambia mimi nataka nijue yalipo mabaki ya Baba yangu, yule Mama bila kupepesa macho akamwambia kwenye nyumba yenu ndani ya Chumba cha kulenga shabaha chini pale usawa wa ile board ya kulengea shabaha ndipo alipozikwa Baba yenu amezikwa pale, kumbuka Baba yao alikua Mwanajeshi wa Marekani.
Dada yake hakua anapafahamu ila yeye alipafahamu sababu mara nyingi Baba yake alikua anamchukua wanaenda pale anaanza kulenga shabaha na yeye anakua anamuangalia
Ndipo wakarudi yule Mzee akachukuana na wanawe wawili mapacha wakaanza kuchimba pale alipoelekezwa na yule Mama anaefanya masuala ya Psychic, wakachimba lakini hawakufanikiwa kupata kitu, basi Mzee akawa km amekata tamaa kwamba amemkosa kumpata Baba yake, lakini wale wanawe mapacha wakasema Mzee pumzika sisi tutajitahidi kutafuta km kweli Babu yupo hapa chini km ilivyosemwa tutakuta tu mabaki yake, basi wakaenda kuchukua vifaa vya kisasa kuja kupima pale chini km kuna kitu chochote kwenye mashine ikaja ikapima ikasoma pale chini kuna kitu ikapigwa alama ya sehemu inayoonekana kuna kitu wakaanza kuchimba tena upya pale ambapo mashine imeonyesha chini kuna kitu.
Kumbe kwenye kuchimba chimba wakafika sehemu kumejengwa mfano wa chumba huko chini kimezungushiwa zege gumu wakalipasua kwenye kupenyeza penyeza mikono wakaanza kuona km wanashika nyuzi nyuzi wale watoto wakahisi labda hizi zitakua ni nywele basi wakabomoa zaidi kwenye kubomoa wakakita kitu kigumu wakajua hapa tayari tumeufikia mwili
Wakaenda kumuita Mzee wao akaja akazama kwenye shimo kuona je kweli lile ni skeleton la mwili wa binadamu, Mzee akawaambia pasueni zaidi ili nipafikie wakapasua zaidi Mzee kukagua kweli wakakuta Mwili ulifukiwa pale chini.
Hapo ndio Mzee huyo akawa ameufikia Mwili wa Baba yake aliefukiwa ndani ya nyumba yao wenyewe tangu yeye akiwa bado mtoto mdogo na sasa ameshazeeka.
The Secrets We Bury (2025)
Huwa naangalia sana Channel ya ID kwenye DSTv najiuliza, hivi hawa Police wetu wa TZ huwa wanafanya kama tunachoona wenzetu wanachofanya????🤔🤔🤫In
wenzetu wanafuatilia kesi mpaka to the end, yaani dedication waliyo nayo katika kusolve crime is amaizing
Ila neno "Serial killers" unalitumia vibaya. Tafuta maana halisi ya hilo neno.Kwenye kusimulia anasema hio siku ambayo Baba yake alikua anafanya shughuli za ujenzi na huyo Mgeni kulitokea ugomvi huko kwenye hicho chumba cha kulenga Shabaha Baba yake aligombana na Mama yake, maana anasema mara nyingi Baba yake alikua na kawaida ya kupishana na Mama yake na sometimes alikua anamtembezea kipigo kitakatifu kumshikisha adabu
Sasa kwa akili za haraka haraka maana hata km Mama hua anapigwa hakuanza kupigwa jana lakini siku hio inaonekana wanahisi kwamba Mgeni aliingilia ugomvi wa Baba na Mama yao mwisho Mgeni akamuua Baba yao na hapo ndio ukawa mwisho wa Uhai wa Baba yao na kumuona Baba yao yaan hawakumuona tena,
Baada ya kumuua huyo Mgeni na Mama yao walishirikiana kumfukia Baba yao chini ya nyumba yao na kumfukia kwenye chumba cha zege mfano wa kisima chini kabisa, baada ya kutekeleza hayo mauaji wakaamua kuoana na kuitunza hio siri mpaka wanakufa nayo na ikawa hivyo hawakuwahi kumwambia mtu yeyote (serial killers), ila mpaka wanagundua mwili wa Baba yao Mama yao alikua tayari ameshakufa lakini yule Mgeni yaan Baba yao wa kambo alikua bado anaishi alipogundua tu huku watoto wameugundua mwili wa Baba yao walipoufukia kabla hawajamfikia kwenda kumhoji na kujua zaidi maana walikua wanaishi miji tofauti na yeye akawa amefariki kwa hio hawakupata kujua nini kilichosababisha kifo cha Baba yao haswa.
The Secrets We Bury (2025)
Hapana hio documentary hawakua police police waliitwa baadae kabisa na wenyewe hata hawakuzingatia maana ilikua Halloween wakaona km jamaa wanachezea mchezoHuwa naangalia sana Channel ya ID kwenye DSTv najiuliza, hivi hawa Police wetu wa TZ huwa wanafanya kama tunachoona wenzetu wanachofanya????🤔🤔🤫
Tafuta Movie inaitwa The Strangers - Chapter 2 (2025) utaona maana ya hilo neno, najua maanaIla neno "Serial killers" unalitumia vibaya. Tafuta maana halisi ya hilo neno.
Kwenye maeTafuta Movie inaitwa The Strangers - Chapter 2 (2025) utaona maana ya hilo neno, najua maanaView attachment 3561553
Huna haja ya kuangalia movie ili kujua maana ya ya neno "serial killers". Hilo ni neno la kiingereza tu. Nimesema umelitumia vibaya baada ya maelezo yako kuwa mke na mgeni wa mume wake walimuua huyo Baba ukaandika hilo neno. Huyo mke alivyoshirikiana na huyo mgeni aliyekuja na mume kumuua huyo Baba huwezi kuwaita "serial killers"Tafuta Movie inaitwa The Strangers - Chapter 2 (2025) utaona maana ya hilo neno, najua maanaView attachment 3561553
Nimesema umelitumia vibaya baada ya maelezo yako kuwa mke na mgeni wa mume wake walimuua huyo Baba ukaandika hilo neno.
Unajua ni matukio mangapi ya mauaji wameyafanya ukiondoa hilo la kumuua huyo Baba? Punguza ubishi kijana, usitufanye hatujui tunachokiandikaHuyo mke alivyoshirikiana na huyo mgeni aliyekuja na mume kumuua huyo Baba huwezi kuwaita "serial killers"
Haya maelezo nimeandika kwa ujumla kuhusu Investigations wanazofanya Police wa wenzetu Ulaya na Marekani. It has nothing to do with the Documentary you are talking about.Hapana hio documentary hawakua police police waliitwa baadae kabisa na wenyewe hata hawakuzingatia maana ilikua Halloween wakaona km jamaa wanachezea mchezo
Anzia kwa Detective J kisha angalia kam-quote nani na aliem-quote kam-quote nani, kijana punguza ni mtiririko hua sikurupukiHaya maelezo nimeandika kwa ujumla kuhusu Investigations wanazofanya Police wa wenzetu Ulaya na Marekani. It has nothing to do with the Documentary you are talking about.
Kwa hapo umekurupuka MWANANGU!!! Mimi siyo Kijana. Nimem-quote Detective J kwa alichosema kuhusu wenzetu wanavyofanya investigations. Mimi nikajiuliza kama na wa kwetu huku kama huwa wanafanya kama wenzetu. Sasa hapo kosa langu liko wapi? Comment yangu ni ya general. It has nothing to do with what you wrote.Anzia kwa Detective J kisha angalia kam-quote nani na aliem-quote kam-quote nani, kijana punguza ni mtiririko hua sikurupuki
Angalia kam-quote nani na aliem-quote kam-quote nani na tulikua tunazungumzia nini, anyways yote sawa ila umeeleweka tusijaze inzi wengi hapa mida ya wanga hiiNimem-quote @Detective J kwa alichosema
Hatari sana na ndiyo hivyo ukiingia kwenye ndoa kwa kukurupuka ,kuchukua mtu ambaye siye sahihi lazima hayo mambo yakukute.Dah wanaumme tupo hatarini sana!
Wengine huweka hata mafuta ya brake kwenye chakula. Tone kwa tone daily unakufa taratiibu kwa gonjwa lisiloeleweka!
Hatuna ujanja wa kuruka yote haya.
Kikubwa siku ikifika, no wayout tunakufa tunawaacha wakitambia jasho letu.
Mimi nimeiripoti kwa Uongozi ila naona bado ipo.Mkuu umefanya kosa kubwa sana kuropoka jambo kama hili kwenye platfom inayotumiwa na watu kwa uhuru.
Watu wamo humu kujifunza mema na mabaya.
JF members tujitahidi kuwa isolative kwa kile tunachoanika hapa jukwaani.
Huwezi amini, pengine ulichoandika hapa kina uwezekano wa kusababisha mauaji kwa maelfu ya watu ulimwenguni kote!
Nakushauri ufute hii post mimi na hata members wengine wenye roho ya utu, hawafurahii kuendelea kuona iki escalate kwa kila atakaepitia huu uzi.
Mkuu hawa viumbe haina cha kukurupuka wala chaguo sahihi.Hatari sana na ndiyo hivyo ukiingia kwenye ndoa kwa kukurupuka ,kuchukua mtu ambaye siye sahihi lazima hayo mambo yakukute.
Ni sheedarDemu mganga Tena !? 😁😁