Polisi wadai eti Rehema ndo alimuua Athumani Nyanza wa Ilala

Polisi wadai eti Rehema ndo alimuua Athumani Nyanza wa Ilala

Ukiua kuna asilimia kubwa ya kukutwa na hatia lakini kuna watu wengine getting away with the murder na ndio maana kuna serial killers.
Kitu kingine polisi hawafanyi investigation kwa kubinya watu mapumbu hizo ni mbinu za medieval era. Sheria ni kwamba kama sitaki kuongea na polisi hawawezi kufanya kitu mpaka nipate lawyer ndio itakuwa hivyo

Umeeleza vizuri mkuu ila hapo mwisho fafanua zaidi watu wasije elewa tofauti eti kwamba polisi hawawezi kufanya chochote ukikataa kuongea Hadi mwanasheria aje
 
Umeeleza vizuri mkuu ila hapo mwisho fafanua zaidi watu wasije elewa tofauti eti kwamba polisi hawawezi kufanya chochote ukikataa kuongea Hadi mwanasheria aje

Polisi wanakuhoji kwasababu hawana uhakika kama umetenda kosa au la. Kama wana ushahidi wanakufungulia mashtaka hawapotezi muda utapelekwa mahakamani moja kwa moja.
Nasema hawawezi kukutesa kwasababu unaweza kwenda mahakamani ukakataa confession kwakusema ulikubali sababu ya mateso.
Pia kumfanyia ukatili mtuhumiwa ni kinyume cha sheria na haki za binadamu.
Kujibu swali lako ni hivi, ukikamatwa na polisi you have the right to remain silence kwasababu kila neno utakaloongea linaweza kutumika kama ushahidi mahakamani. Kabla ya arrest, polisi watakwambia kosa lako kwanini wanakukamata na wewe una haki ya kukataa kutoa maelezo mpaka upate wakili. Na kama huna uwezo wa kuwa na wakili serikali inatakiwa ikulipie gharama. Polisi watakutisha lakini wakiona unajua sheria utakwenda nao sambamba tu
 
Ukiua kuna asilimia kubwa ya kukutwa na hatia lakini kuna watu wengine getting away with the murder na ndio maana kuna serial killers.
Kitu kingine polisi hawafanyi investigation kwa kubinya watu mapumbu hizo ni mbinu za medieval era. Sheria ni kwamba kama sitaki kuongea na polisi hawawezi kufanya kitu mpaka nipate lawyer ndio itakuwa hivyo
Usijidanganye mkuu hizo sheria unazoongelea wewe zinafanya kazi ulaya huko na marekani ila sio bongo.
Kama mtuhumiwa wa wizi tu anachakazwa hadi mwili wote unafunikwa na damu ndio washindwe kukubinya mapumbu?
Tundulisu mwenyewe ni bingwa wa sheria na akisimamiwa na jopo la wanasheria wengine nguli lakini bado analalamika kutotendewa haki akiwa gerezani wewe huyo mwanasheria wako wa kuzuia hilo utampata kutokea dunia gani?
 
Polisi sio mahakama mkuu, hata wakikuvunja mguu haiwezi kumfanya hakimu akufunge. Watu wengi wanakaa mahabusu kwa muda mrefu kwasababu polisi hawana ushahidi.
Sawa Bongo sio Ulaya, lakini sheria ni sheria, tunaongea tu hapa JF lakini, God forbid, kama likikukuta usikubali kwenda chini kizembe kwasababu unaogopa polisi wa Bongo, inabidi kwenda nao kama wanavyotaka
 
Mkuu unaongea kinadharia sana bila kuangalia uhalisia wa mambo yanavyotendeka kwenye ground.
 
Nimetoa possibility za mwanamke kumuua mwanaume labda kama hujazisoma.

Mimi nafanya judgment kulingana na hali ya maiti ilivyokutwa.

Kwa mazingira ya mwili ulivyokutwa na majeraha lazima kungekuwa na struggles za jamaa ku defense, ila kama hakukuwa na defense basi hapo doubt itakuwa ni shambulio la ghafla ambalo Nyanza hakuweza kuona likija.

Nachotaka hapa nikufafanulie ni kwamba mazingira yale face to face attacking yangetokea maana yake kungekuwa na trace ambazo zingem direct mwanamke kuwa ni muhusika,.

Yaani wewe unaamini mwanamke peke yake facce to face na mwanaume kwa kutumia mpini amuue bila huyo jamaa kumkwaruza hata kidogo mwilini mwake ili kuonyesha struggle?

Pointi yangu ni hii

Huyu mwanamke inasemekana alimuua Nyanza huko Kigamboni, lakini mwili ulikuja kufukiwa Chanika.

Maana yake sio tukio lililofanywa na mtu mmoja ilikuwa ni collaboration otherwise kama upeo wako unaona ni sawa kufikiria mwanamke mmoja aue, huyo huyo mwanamke ambebe jamaa (akiwa mfu) kutoka KIgamboni hadi Chanika.

Halafu huyo huyo achimbe shimo au akodi watu wakuchimba shimo halafu amfukie na watu wasijue.
Kuna mambo ukiyasikia unashamgaa hicho kidada ukikiona SAWA kaua ila tukubali hakuwa peke yake
 
Mashushushu ni wengi sana bongo kunaswa ni rahisi sana, wewe hujiulizi mtu alikimbia hadi Morogoro ndanindani huko na wamemkamata unadhani polisi walijuaje kuwa yuko Morogoro.
Yaani ili usikamatwe inahitaji uwe na pesa nyingi sana za kuonga barabarani wakati unakimbia hadi ufike mpakani kisha uvuke ukimbilie Burundi huko hapo sawa utanusurika.
Lakini sasa maisha yakikushinda huko Burundi ukirudi hata baada ya miaka 10 unakamatwa kesi inaanza upya.
Hukusikia stori za yule jamaa alo muua demu wake kwenye geto akakimbilia burundi mwisho alidakwa
 
Huyu mwanamke nae amefeli sana. Unaua kwa mtindo huo ukidhani hutagundulika?
Mpe mapenzi tele, mpikie chakula kizuri..weka steel wire(steel wool ) ndani ya chakula. Haipiti mwaka kitu kimejibu.

NB: sishabikii mauaji msinipopoe mawe nimelewa.
Mkuu umefanya kosa kubwa sana kuropoka jambo kama hili kwenye platfom inayotumiwa na watu kwa uhuru.

Watu wamo humu kujifunza mema na mabaya.
JF members tujitahidi kuwa isolative kwa kile tunachoanika hapa jukwaani.
Huwezi amini, pengine ulichoandika hapa kina uwezekano wa kusababisha mauaji kwa maelfu ya watu ulimwenguni kote!

Nakushauri ufute hii post mimi na hata members wengine wenye roho ya utu, hawafurahii kuendelea kuona iki escalate kwa kila atakaepitia huu uzi.
 
Back
Top Bottom