Polisi wadai eti Rehema ndo alimuua Athumani Nyanza wa Ilala

Dah wanaumme tupo hatarini sana!
Wengine huweka hata mafuta ya brake kwenye chakula. Tone kwa tone daily unakufa taratiibu kwa gonjwa lisiloeleweka!

Hatuna ujanja wa kuruka yote haya.
Kikubwa siku ikifika, no wayout tunakufa tunawaacha wakitambia jasho letu.
 
Niliiangalia hii Documentary kwenye ID
 
Ila neno "Serial killers" unalitumia vibaya. Tafuta maana halisi ya hilo neno.
 
Huwa naangalia sana Channel ya ID kwenye DSTv najiuliza, hivi hawa Police wetu wa TZ huwa wanafanya kama tunachoona wenzetu wanachofanya????🤔🤔🤫
Hapana hio documentary hawakua police police waliitwa baadae kabisa na wenyewe hata hawakuzingatia maana ilikua Halloween wakaona km jamaa wanachezea mchezo
 
Tafuta Movie inaitwa The Strangers - Chapter 2 (2025) utaona maana ya hilo neno, najua maanaView attachment 3561553
Kwenye mae
Tafuta Movie inaitwa The Strangers - Chapter 2 (2025) utaona maana ya hilo neno, najua maanaView attachment 3561553
Huna haja ya kuangalia movie ili kujua maana ya ya neno "serial killers". Hilo ni neno la kiingereza tu. Nimesema umelitumia vibaya baada ya maelezo yako kuwa mke na mgeni wa mume wake walimuua huyo Baba ukaandika hilo neno. Huyo mke alivyoshirikiana na huyo mgeni aliyekuja na mume kumuua huyo Baba huwezi kuwaita "serial killers"
 
Huyo mke alivyoshirikiana na huyo mgeni aliyekuja na mume kumuua huyo Baba huwezi kuwaita "serial killers"
Unajua ni matukio mangapi ya mauaji wameyafanya ukiondoa hilo la kumuua huyo Baba? Punguza ubishi kijana, usitufanye hatujui tunachokiandika
 
Hapana hio documentary hawakua police police waliitwa baadae kabisa na wenyewe hata hawakuzingatia maana ilikua Halloween wakaona km jamaa wanachezea mchezo
Haya maelezo nimeandika kwa ujumla kuhusu Investigations wanazofanya Police wa wenzetu Ulaya na Marekani. It has nothing to do with the Documentary you are talking about.
 
Haya maelezo nimeandika kwa ujumla kuhusu Investigations wanazofanya Police wa wenzetu Ulaya na Marekani. It has nothing to do with the Documentary you are talking about.
Anzia kwa Detective J kisha angalia kam-quote nani na aliem-quote kam-quote nani, kijana punguza ni mtiririko hua sikurupuki
 
Anzia kwa Detective J kisha angalia kam-quote nani na aliem-quote kam-quote nani, kijana punguza ni mtiririko hua sikurupuki
Kwa hapo umekurupuka MWANANGU!!! Mimi siyo Kijana. Nimem-quote Detective J kwa alichosema kuhusu wenzetu wanavyofanya investigations. Mimi nikajiuliza kama na wa kwetu huku kama huwa wanafanya kama wenzetu. Sasa hapo kosa langu liko wapi? Comment yangu ni ya general. It has nothing to do with what you wrote.
 
Hatari sana na ndiyo hivyo ukiingia kwenye ndoa kwa kukurupuka ,kuchukua mtu ambaye siye sahihi lazima hayo mambo yakukute.
 
Mimi nimeiripoti kwa Uongozi ila naona bado ipo.
 
Hatari sana na ndiyo hivyo ukiingia kwenye ndoa kwa kukurupuka ,kuchukua mtu ambaye siye sahihi lazima hayo mambo yakukute.
Mkuu hawa viumbe haina cha kukurupuka wala chaguo sahihi.
Anytime akichafukwa roho na shetani anampanda juu kwa juu.
Mwanamke hanaga huruma na mtoto wa mwanamke mwenzie. Akiamua lake harudi nyuma.
Tamaa na u feminist ndo hupelekea kutekeleza unyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…