Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Kwa wenzetu siyo kama huku africa ndiyo maana hata viongozi wakiharibu wanakimbia huko
 
hahahahahahaha toeni hata cha kuzaliwa bana,hamna hata cheti cha kliniki/????koooloooomiije kolomije nawaona nawaonnnaaaaaa mnakula tu ubuyu,dadeki akili zenu zinaingiliwa kinyume na maumbile mpaka mtapike kinyesi safari hii,magari ya mtuhumiwa wa kuuza unga yanafnya nini kwenye li mansion la kifahari pale masaki nyie nguchiro wa bashite?
 
Itajulikana na itajulikana ni nani alifanya na kwanini. Usicheze na mzungu wewe.

Kwa jinsi mnavomroga na kumuwangia na kumtupia mascadi na hayampati naanza kuamini UCHAWI HAUVUKI BAHARI
Walimuua Osama sembuse hawa wanaotaka kumuua mange
Waambie hao
 
Na siku hizi ujumbe wa Mange unawafikia hadi walio facebook kupitia Tanzagiza , basi raha tupu maana makumi kwa makumi wanazinduka usingizini kule kila siku
Yani no Bampa t Bampa. Ila Tanzagiza nae alishasema walikua wanamdaka ila kilichowashinda ni kwamba kila wakiTrace account yake mchana wanaona ipo Tanzania jion ipo Washington asubuh ipo Moscow sijui iliishiaje. Police wa Tz bhana[emoji3] [emoji2]
 
watu wanaponda sana lakini unaweza kuona kazi anayofanya mange ni kubwa na ya manufaa kwa taifa kuliko hata anayofanya bashite. mwacheni aendelee kuwasasambua.
 
Wewe ni matako
 
Mbna walishafika had Interpol kuna mtu alivujisha infoz. Wakabalaswa.
 
Ivi unadhani unachofikiria mwenzio hajawah kufikiria miaka ya nyuma
Kabla hujaandika tafakari kaka usizidiwe IQ na mtoto wa kike
 
Pasi yake ni ya uraia inaweza isha vp wewe!??? Aise kama aliikata na mimi vile.... Lumumba fyateni midomo yenu.. Ha Ha Ha
Dah ww inaonekana mahaba yanakuziba hata ufahamu hv kuna Pasi ya Uraia duniani?
 
Ila cha Karegeya kule SA kinaweza kuanza na wewe pia....
 
Kuchamba kwingi tu.Hivi ikitokea pasi yake imekwisha atakapotakiwa arudi nyumbani kushughulika na pasi mpya atafanyaje
Anaweza kuwa punguani kiasi hicho asijue kuhusu hilo? Usikute alishapata uraia wa huko na siku akitaka kurudi nyumbani anabadili uraia tena.
 
Inaonekana umemjua kipindi hiki hao wenzie unaosema aliwatukana wasiolewe ndio waliasherekea kipindi anaachwa na mumewe !
Sasa hivi yeye analipa visasi tu!

Kuhusu makonda labda umpinge kwa hoja kipi ameongea uongo si ameweka hata evidence?

Weka na wewe zako kumprove wrong!
 
Kwanza kwa watoto wale aliozaa na rais wa US c ajabu na yeye ni raia wao so wakimgusa lazima moto utawaka. Si mnajua vile nchi za wenzetu zinavyojali sana raia wake
Aisee amazaa na raisi yupi, Obama au Donald? Yuko njema.
 
Sasa hapo umeandika mavi gani nyumbu ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…