[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unawajua wanaompasia hizo nyeti za ndani ya Serikali yako? Hao hao watamtengenezea passport nyingine na kuituma kwake kirahisi sana.
"The Home of Great Thinkers"
Kipi cha uongo hapo?Wewe dogo acha blah blah nyingi Haya mambo waachie wenye akili. Nilishasema hii ni kama game ya chess wachache wenye uwezo wa kuielewa na kuicheza.
Eti wamemdharau ..ahahaaaha wewe unacheza kweli....Mnajidanganya sana nyie wapenda udaku. Wenzenu wwnamwona Mange mpayukaji hajui hata anachopigania. Soma alishosema mwaka juzi. Anapingana na cha mwaka jana. Na sasa ya mwaka jana yanapingana na mwaka huu. Ni dikteta. Ukimwambia ukweli anakublock.kama kweli serikali ingetaka kumtesa Mange ingefanya bila hata kizuio. Hapa marekani wanauana kila siku. Ubaguzi mkubwa sana. Afu mnasema eti. Ahhhh. Achaneni. Na hela nyie. Waza tu hata house girl akiamua kuwapoteza familia. Nzima. So msijifariji. Sema tu wamemdharau. Ingawa najua naongea na vilaza ila mkiamua mtaelewa .
Ulishaelewa sababu ya kuwachukia. Mtu kama anafanya uovu kama huu wa Bashite unampendaje sasaSwali lipo hapa.
Kwanini anaowasema na kuonesha uovu wao ni wale anaowachukia tu?
Inamaana anaowapenda wote ni wasafi kama malaika?
Mkuu nimesha renew passport mara 3, ya kwanza na ya tatu nililetewa na mtu ofisini kwangu. I know and I am sure of what I am saying. Passport ya kwanza niliomba na kuipata within a day......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mkuu umenichekesha sana, passport siyo kadi ya chanjo unatengeneza na kutuma, kwanza passport huwezi kuituma ikavuka mpaka wa nchi kama document yoyote, pia passport lazima achukulie ubalozini wa nchi anayoishi, na system siyo unaweza kutoa kinyemela tu, japo passport ni haki kwa raia wote lakini uhamiaji wanauwezo wa kukupa au kukunyima.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] what do you expectUnataka kukimbia na hauna break? what do you expect? BONGO BONGO..... The nation mourns.
Wewe huna unachokijua una mahaba kuliko uhalisia, nikutakie jioni njema. Wanaomjua Mange toka miaka ya nyuma, ndiyo watanielewa.Ulishaelewa sababu ya kuwachukia. Mtu kama anafanya uovu kama huu wa Bashite unampendaje sasa
Watu wamekuwa na mahaba mpaka yamefunga mifumo ya maarifa na Akili wanadhani pass ni kadi za harusi ambazo unaweza kutuma tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mkuu umenichekesha sana, passport siyo kadi ya chanjo unatengeneza na kutuma, kwanza passport huwezi kuituma ikavuka mpaka wa nchi kama document yoyote, pia passport lazima achukulie ubalozini wa nchi anayoishi, na system siyo unaweza kutoa kinyemela tu, japo passport ni haki kwa raia wote lakini uhamiaji wanauwezo wa kukupa au kukunyima.
Mange alitengenezwa, akapewa kila zana akafanya aliyofanya 14-15 baada ya hapo si amekuwa toilet paper akataka kuwaonyesha kuwa bado kuna watu walikuwa nyuma ya yule waliyemtaka. Mange anaweza akatoweka sura ila mange watazuka wengi ni kama weaklink. Assange yupo uhamishoni uk kwenye ubarozi wa watu lakini bado kazi inafanyika na mambo yana lick. Hii ni system siyo mtu msiangalie sura. Mnadhandi mna maspy wa kutosha lakini yawezekana mange hayupo hata marekani ila mtamtuma daudi ajifanye tozi Ground Station amtafute kumbe mwenzie yupo Munich.SIDHANI KAMA KUNA HAJA YA KUHANGAIKA NA MANGE, pa kuparekebisha ni jikoni, jiko linavuja unakimbilia njie utanyeshewa tu. pia waosha vyombo jikoni wana thamani sana..wana ndugu zao wangependa nao wale chakula cha jikoni.
mh! sijui nakosea- ngoja nikimbie......
Bwana yule afanye kazi ya kujiombea mwenyeweKwa kweli kama kuna mtu anaohitaji maombi ni Mange, wengine wanatudanganya tu eti wapo kwa ajili ya wanyonge.
Nyumba kubwa kunavuja kuna leakage mahali.... Muundo wetu wa habari za siri sio air tight mark tena! Kuna mianya
Mange amekuwa the first to know figure kwenye mambo mengi sana... Ni nani anampenyezea habari nyeti kabisa? Za watu binafsi na hata nyumba kuu? Au ni wale wanajeshi mashushushu waliokuja na Obama Kisha tukawakabidhi paa letu ili waangalie usalama?
Mange amekuwa snowden wa Tanzania.. Lakini sijui Kama kwa hali ilivyo atavumiliwa sana....namkumbuka Ben pekeyake na chatu
Leo kwa habari za chini ya zulia ilitoka hati ya kumkamata pengine huko aliko lakini akainyaka kabla haijamfikia rasmi... Kama kawaida yake kawafungukia mbaya
Namkumbuka Karegeya wa Rwanda na kilichompata hotelini South Africa peke yake chumbani
umekula mchana naona akili imekosa virutubishoWakati mwingine heshima ya Nchi ni bora sana kuliko heshima ya mtu Mange anafanya
Personal Attacks kwa viongozi na watu lakini huyu akiachwa tu kuna siku ataanza kufanya mambo ya ajabu na kuwa threat kwa National Security hapo ndio utakuja kujua hayo mazingira mazuri ya watoto wako unayoyapigania sasa yamekuwa ni mabaya zaidi
Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!Mange ni jeshi la akili kubwa,hawa kina sizonje na ubashite wao hawamuwezi yule bi.kigaguka kubwa la maadui dunia nzima
Shikamooo madame........Aisee kumekucha