Mkuu kwa taarifa katika watukutu wanaosikilizwa kwa makini Mange anaongoza!wanaomhara na wanaomshabikia wite husoma maandishi yake kwa umakini mno!mpaka zinatolewa nyaraka za kukamatwa maana wapinzani wake wamemsikiliza kwa makini !Tatizo ni lugha anayoitumia ila kuna muda yapo mambo anaongea ya ukweli ila nani atamsikiliza.
Mapembe!Mpmb
Jaza herufi ulizoacha humo
Ndio mujue kuwa Mange si mnafiki anapiga kotekoteKwani Magufuli si ana Mwaka mmoja tu Madarakani.Mange kaumiza wengi,muulize Lowassa
We unalipwa maana muda wote uko mtandaoni kama mangeNahisi ni mtu mwingine kweli maana muda wote yuko mtandaoni sidhani kama anamuda wa kupika au kufua inaezekana kuna watu wanamlipa maana hata kazi hafanyi ndo maana anajiamini kupita maelezo
Ndio kilichopo ndani ya uwezo wetu hicho. Hatuna uwezo wa kukamata wanaofoji vyeti.Sirikali imeshindwa kumkamata aliyefoji vyeti wanaenda kuhangaika kumkamata MMBEA.
Nyie ndo wale makondoo mnaburuzwa tu na serikali anatokea shujaa wa kufunua uozo wa serikal mnawaza kumuua mange anafact na evidence sio kukurupuka kama humuelewi unamatatzoKuikosoa si tatizo...tatzo ni lugha anayoitumia ktk ukosoaji wake..Yaan mwanzoni alikuwa ananifurahisha ila Sasa naomba atafutwe kwa kila njia na akipatikana apotezwe tu.
Anadhalisha watu vibaya mnooo!Na anafanya hivyo kwa makusudi huku akitumia lugha ya kiswahili ipi watoto wake wasijue kibachoendelea..hakuna adhabu inayomstahili zaidi umauti period!!!![emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Hahahahaha sijui IQ ya Mange umeipima lini na kujua ni kubwa ?
Pass ni mali ya serikali wanaweza kuichukua muda wowote
Kati ya huyo mtu anayefanya hiyo issue kum support Mange na hiyo unayoita serikali , nani yupo Loyal kwa wananchi ?Ukiona Mpaka unafanya kitu illegal na ukafanikiwa usijione ww ni mjanja ujue wale wenye kazi ya kuzuia hyo illegal hawajaamua kudeal na ww na siku wakiamua kudeal na ww hata huyo anayekupatia hyo illegal hato pata nafasi ya kufanya hvyo asijulikane kwani ww unadhani serikali ikiamua kumtafuta huyo mtumishi anayemtumia hzo
Classified information wanashindwa kumpata??
Mi naona uzalendo upo kama jamaa wana leak info ambazo zina maslahi mapana ya kitaifa, kuliko kuzificha kwa interest za wachache.Mbona sasa bado zinavuja?serikalini sasa hivi watu wamechoka hivyo uzalendo hakuna
Ww unadhani ni wa mchezo mchezo huyo unaeza kuta ni FBINahofia sana usalama wa mange na sijui yeye kama anahofia usalama wake
Upo sawa mkuu huo ndio uzalendo kwa taifaMi naona uzalendo upo kama jamaa wana leak info ambazo zina maslahi mapana ya kitaifa, kuliko kuzificha kwa interest za wachache.