Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Serikali kupitia idara ya Uhamiaji imesema inamtafuta popote pale Mange Kimambi anayeishi Marekani kwa tuhuma za kuibua uovu mbalimbali Katika Serikali na watu wengine

Mange Kimambi amekua Blacklisted ambapo hataruhusiwa kuingia nchini au Kutoka nchini.

Mange ambaye kwa juhudi zake hutumia namba ya simu ya WhatsApp kukusanya taarifa mbalimbali pia ameipata barua hiyo ya siri ikiwaelekeza maofisa wa uhamiaji uwanja wa ndege.

Anaweza akapewa Uraia kamili kama mkimbizi sasa maana ile document ikifika US atasaidiwa Pia namshauri ahame Los Angels anakokaa kwa sababu panajulikana Kwani Serikali Ina Mkono mrefu inaweza kutuma Ujumbe wa kumaliza huko.

Ningeweza kuleta shot yake ya instagram lakini ametumia lugha ya matusi sana na ameiweka Private sasa.
 
Sijakuelewa unaposema anachukia mwanamke mwenzie akitusua. Inamaana Makonda ni mwanamke mwenzie? Maana ndio anamuanika sana hadharani madudu yake
 
Hii mbona ipo hapahapa kitambo, we pekuapekua tu utaiona
 
ndio serikali ya viwanda hiyo !!!,imeamua kupambana na watu wanaovizuia viwanda 😀
 
Hivi kweli akirudi atarudi kama panya ? Atarudi kupitia mlango aloondokea nao ni airport.
Na kwa sasa wasahau sidhani naye ni mjinga hivyo arudi tanzania...
Huyu harudi mwenyewe anasema mpaka upinzani ushike nchi.
Sasa mvumilieni tu kwani anatusaidia sera yetu ya kutumbua
 
unajua inawezekana ikawa sisi watz ndo tunampa kick uyu msukulee....yn tumemuekeq attention sana na ndomana anapata kichwaaa....watz tunapenda sn umbea na uyu kajua pakutukamatiaa......mm binafs namchukia sanana simpendiii....hana akili ni mtu fulani broked aliyechoka na maisha anaetafta pakutokea
 
Sijakuelewa unaposema anachukia mwanamke mwenzie akitusua. Inamaana Makonda ni mwanamke mwenzie? Maana ndio anamuanika sana hadharani madudu yake
Umeanza lini kumjua Mange?

Ulishawahi kusikia kitu kinaitwa U turn blog?

Kuanzia ndoa ya Uwoya, Mwele Malecela wa NIMR, Dr. Tausi wa ESRF, kina Zari, Mwamvita, Faiza Ally, yule mke wa Nyalandu, yani list ni ndefu ndefu ndefu sana.

Siwezi kumsahau 2015 alivyomdhalilisha EL kua alijinyea Chato, alimchafua sana Lowaxa.

hawa ni watu wasio na makuu, waliamua kunyamaza na kuacha yapite - lkn kamwe Karma haitakuacha upite bila kukuadhibu.
 
Walichotakiwa ni kuuthibitishia Ulimwengu kuwa anapotosha na kama wameshindwa ni bora wauchune tu kuliko hivi wanavyotaka kufanya.
 
Hujanijibu swali nakuliiza makonda ni mwanamke? Au lowassa ni mwanamke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…