MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,444
- 10,687
Kwa nchi ni kosa kubwa.Shit just got real!
Ila kwani kuibua maovu ni kosa?
Mi naona wewe ndo utakuwa na akili ndogo kwa sababu. Umesema Mange anachuki sana na wanawake wenzie ndo nikakuuliza makonda ni mwanamke? Cha ajabu unaniletea ngonjera nyingi. Haya endelea na kazi zako maana hujielewi hata umeongea niniUna akili ndogo sana ndugu yangu. Sijui kama una cheti hata cha la 7.
Duh!Mimi ningeona serikali inabusara Kama ingefatilia yale anayoyasema yana ukweli kiasi gani, Kama ni kweli wampe support Kama ni uongo ndiyo wangetoa hiyo taarifa, tatizo Kuna mambo mange kayazungumza ni ukweli mtupu lakini serikali inajifanya haioni
Unamaaniasha wastaafu waliohamia chadema wana nguvu kumzidi Sizonje ?Nashangaa sana kuona baadhi ya member jf kusifia kwamba mange kashindikana na serikali,mange kama karatasi tu yaani mwepesi kukamatwa kwake na kitu chochote anachotegemea na nahisi wastaafu waliamia CDM wanausika na yote haya
Na yule mwanamke lazima keshaenda kuripoti,akiitumia barua ya jana kama official evidence.Na ukizingatia tayari US inajua kuwa Tanzania imetunga sheria kandamizi ya kuzuia uhuru wa habari.
Amechanganya Department of Homeland Security (US) na Home Secretary (UK)USA hakuna Home Secretary .....acha ujuaji.
Ndicho alikua anatafutaHapo wamempa uwezekano wa kupewa asylum protection.Akienda office za home secretary USa ,atapewa ganda hata kama alikuwa hana.
Hapo wamempa uwezekano wa kupewa asylum protection.Akienda office za home secretary USa ,atapewa ganda hata kama alikuwa hana.
sio serikali ya trump. asije shangaa akirudishwa tz kimzobezobe. democrates ndio wanaprotect all sorts of immorals kama mange kimambi. mashoga ndoa za jinsia moja prostitutes etc. walipata mwavuli chini ya kina obama..sio trumpWatu kama hawa US inawaprotect sana.