Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Kwa sirikali ya tanzania kufanya kitu kama cha rwanda ndani ya nchi ya marekani?sijui impact yake itakuwaje.yule anaringia nchi aliyopo inamlinda na ni taifa kubwa
Kwanza kwa watoto wale aliozaa na rais wa US c ajabu na yeye ni raia wao so wakimgusa lazima moto utawaka. Si mnajua vile nchi za wenzetu zinavyojali sana raia wake
 
Kuchamba kwingi tu.Hivi ikitokea pasi yake imekwisha atakapotakiwa arudi nyumbani kushughulika na pasi mpya atafanyaje
 
As long as atafichua maovu ya viongozi wale then America will protect her.

USA baby.
 
Fasihi nzuri sana

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
 
Siku hizi amekuwa ndie kama source ya habari nyingi za kutikisa! nakumbuka kuna habari ya kutaka kujiuzulu kiongozi mkubwa aliitoa hadi serikali ilikanusha, ukiangalia hata followers katika page yake ya instagram wanaongezeka kwa kasi!
 
Akitoweka yeye naamini ataibuka mwingine kma yeye endapo afanyao ni kusudio la Mungu. hivyo inapaswa kujua kwa nn hasa yuko hapo?? . kumpoteza tu inaweza kusisaidie kitu . Maoni tu
 
Ila shida yake unaweza kukuta ilipita zaidi ya mikono 30 ya watu tofauti toka inaandaliwa mpaka ilipotumwa kwa wahusika wenyewe so kukamata aliyevujisha inaweza kuwa changamoto pia
If they are real smart n committed they will track down the leakage

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…