Evarist Massawe
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 666
- 857
mbona hiyo doc haionekani kuwa ni ya siri. ni tangazo au taarifa kwenda vituo vyote vya uhamiaji, kwangu si tangazo la siri na wala halionyeshi kuwa lilikuwa la siri.kingine mtu anayemuunga mkono mange nahisi ana upungufu wa akili kama mange alivyo.Lakini Kiuhalisia document kama hiyo kuvuja ni damage kubwa na inaweza kuondoka na mtu
Lina muhuri wa SIRI tafsiri yake ni nini?mbona hiyo doc haionekani kuwa ni ya siri. ni tangazo au taarifa kwenda vituo vyote vya uhamiaji, kwangu si tangazo la siri na wala halionyeshi kuwa lilikuwa la siri.kingine mtu anayemuunga mkono mange nahisi ana upungufu wa akili kama mange alivyo.
Hahahaha! Ila unaweza chukua miaka 5 mpaka 10 kupata angalau degree ya ushilwadu kwasabbu hufanani nayo mambo niyakina warumi , miss natafuta,miss chaga, moniccca na kina skyNafanya juhudi kupata hiyo hati naona najifunza ushilawadu sasa
Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
Go go go Kimambi, u are a Hiro
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nirudi tu kule kwanguHahahaha! Ila unaweza chukua miaka 5 mpaka 10 kupata angalau degree ya ushilwadu kwasabbu hufanani nayo mambo niyakina warumi , miss natafuta,miss chaga, moniccca na kina sky
Hajakana na hana sifa za kupata uraia wa Marekani kutokana na criminal records zake na alishawahi kuidanganya mahakama.Ni mtu asieaminika,anaishi kwa green card kwa kuwa tu ana watoto,wakifika 18,patachimbika.Unajuaje hajaikana? Kumbukeni ana familia huko au hata pengine uraia wa nchi mbili
Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
Karegeya wa Rwanda kilichompata hotelini south afrika....Nyumba kubwa kunavuja kuna leakage mahali.... Muundo wetu wa habari za siri sio air tight mark tena! Kuna mianya
Mange amekuwa the first to know figure kwenye mambo mengi sana... Ni nani anampenyezea habari nyeti kabisa? Za watu binafsi na hata nyumba kuu? Au ni wale wanajeshi mashushushu waliokuja na Obama Kisha tukawakabidhi paa letu ili waangalie usalama?
Mange amekuwa snowden wa Tanzania.. Lakini sijui Kama kwa hali ilivyo atavumiliwa sana....namkumbuka Ben pekeyake na chatu
Leo kwa habari za chini ya zulia ilitoka hati ya kumkamata pengine huko aliko lakini akainyaka kabla haijamfikia rasmi... Kama kawaida yake kawafungukia mbaya
Namkumbuka Karegeya wa Rwanda na kilichompata hotelini South Africa peke yake chumbani
Nafanya juhudi kupata hiyo hati naona najifunza ushilawadu sasa
Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
Mmh hayaHajakana na hana sifa za kupata uraia wa Marekani kutokana na criminal records zake na alishawahi kuidanganya mahakama.Ni mtu asieaminika,anaishi kwa green card kwa kuwa tu ana watoto,wakifika 18,patachimbika.
Ikitokea mtalaka akachukua watoto,(jambo ambalo litatokea soon) Mange atakosa haki ya kuishi America.
[emoji15] [emoji144] [emoji115] [emoji3] [emoji115] [emoji817]Karegeya wa Rwanda kilichompata hotelini south afrika....
Sasa kaka mange yupo state na si ndani ya bara Giza hili
Ngoja niende China Mimi nikalushe makombora mengine.... Faru ajue kuisoma namba na kuiandika!!Wakipatika akina mange kama kumi hivi afu kila mtu awe anatuma kombola toka nchi tofauti ingekuwa safi sana!
Yap Polisi wa kwetu wanafatilia vitu ambavyo havina mantiki kabisa,Miili 7 imeokotwa ruvu kimya,Ben kamezwa na chatu wa chatle Kimya,Bashite kala rushwa kutoka kwa watuhumiwa wa ngada kimya,Bashite kafoji vyeti Kimya,wao kumtafuta mange ambaye anawasaidia kuwapa habari za kiuhalifu badala ya kumpa support wao wanamtafuta wamfunge kweli TZ Ya VIWONDER...#BASHITEWEKAVYETI.Kuna kipindi account yake ya insta ilifungwa kwa siku mbili kumbe jeshi la polisi liliwasilisha malalamiko kwa uongozi wa instagram ikabidi insta wamuambie apige picha akiwa ameshikilia passport yake inayoonyesha sura na jina kujiridhisha ndipo wakaifungua ,wakawaapuuza polisi baada ya kuona malalamiko yao ni ya kijinga na typical africans wanaopenda kukandamiza wenzao
Ivi hata kuagiza kakijana tuu kamfanyie mautundu na vile blacks wanauliwa kwa risasi sana kule ni ngumu..?? maana yule dada i wish aendelee kuwa hai maana anafichua mengi mazitoKwa upande wa US ni ngumu sana kumfanyia umafia,labda wamtege siku akitua nchini ndio wanaweza kumnyonga hadharani.
Huoni muhuri wa confidential mkuumbona hiyo doc haionekani kuwa ni ya siri. ni tangazo au taarifa kwenda vituo vyote vya uhamiaji, kwangu si tangazo la siri na wala halionyeshi kuwa lilikuwa la siri.kingine mtu anayemuunga mkono mange nahisi ana upungufu wa akili kama mange alivyo.
Ukipiga hesabu za elimu zao..kweli hawawezi kumkamata.Mange ni jeshi la akili kubwa,hawa kina sizonje na ubashite wao hawamuwezi yule bi.kigaguka kubwa la maadui dunia nzima