18 yote... Magu anatembelea fimbo tayrHajakana na hana sifa za kupata uraia wa Marekani kutokana na criminal records zake na alishawahi kuidanganya mahakama.Ni mtu asieaminika,anaishi kwa green card kwa kuwa tu ana watoto,wakifika 18,patachimbika.
Ikitokea mtalaka akachukua watoto,(jambo ambalo litatokea soon) Mange atakosa haki ya kuishi America.
Kwa madesa anayoyapata huyo dem, taratibu naanza kuamini ile story ya Pombe, kumdabua mazaa makofi mpaka akazimia na kulazwa Sewa Haji.Nyumba kubwa kunavuja kuna leakage mahali.... Muundo wetu wa habari za siri sio air tight mark tena! Kuna mianya
Mange amekuwa the first to know figure kwenye mambo mengi sana... Ni nani anampenyezea habari nyeti kabisa? Za watu binafsi na hata nyumba kuu? Au ni wale wanajeshi mashushushu waliokuja na Obama Kisha tukawakabidhi paa letu ili waangalie usalama?
Mange amekuwa snowden wa Tanzania.. Lakini sijui Kama kwa hali ilivyo atavumiliwa sana....namkumbuka Ben pekeyake na chatu
Leo kwa habari za chini ya zulia ilitoka hati ya kumkamata pengine huko aliko lakini akainyaka kabla haijamfikia rasmi... Kama kawaida yake kawafungukia mbaya
Namkumbuka Karegeya wa Rwanda na kilichompata hotelini South Africa peke yake chumbani
dunia ndogo sana hii... unaweza puliziwa au hata ukagusishwa kitambaa chenye sumu ikakumaliza taratibu... mara kansa mara gonjwa hili, hakuna pagumu, n mtu tu hajaamuaKwa upande wa US ni ngumu sana kumfanyia umafia,labda wamtege siku akitua nchini ndio wanaweza kumnyonga hadharani.
Mange yupo mbali na Tz hvo anajiona salama, lakini pia anaujasiri wa kumzungumzia /kumkashifu mtu yoyote, tatu anafollower wengi katika social network, watu kama Hawa wanaweza kufanya kama biashara ukiwa na uzandiki, au jambo la kumkashifu mtu, mnaelewana pesa, unamtumia hizo data ili azisambaze, so kwake ni kama business. Na kwakuwa nchi yetu kwa sasa inamihemko mingi ya kisiasa inawezekana kabisa wenye chuki na viongozi/ serikali kwa ujumla wakawa wanamtumia. Kwa maana hiyo kupata data kama hzo kwake sio tatizo, zaweza kuwa za ukweli au za uongo kikubwa unamlipa pesa yake.Nyumba kubwa kunavuja kuna leakage mahali.... Muundo wetu wa habari za siri sio air tight mark tena! Kuna mianya
Mange amekuwa the first to know figure kwenye mambo mengi sana... Ni nani anampenyezea habari nyeti kabisa? Za watu binafsi na hata nyumba kuu? Au ni wale wanajeshi mashushushu waliokuja na Obama Kisha tukawakabidhi paa letu ili waangalie usalama?
Mange amekuwa snowden wa Tanzania.. Lakini sijui Kama kwa hali ilivyo atavumiliwa sana....namkumbuka Ben pekeyake na chatu
Leo kwa habari za chini ya zulia ilitoka hati ya kumkamata pengine huko aliko lakini akainyaka kabla haijamfikia rasmi... Kama kawaida yake kawafungukia mbaya
Namkumbuka Karegeya wa Rwanda na kilichompata hotelini South Africa peke yake chumbani
Suhiri aishie pabayaHuyu Dada kwakweli ataishia pabaya chuki zake na visasi kwa watu vitammaliza. Hapo alipo ana kesi nyingi za kujibu, akishtakiwa hawezi kutoka.
Akimchukia Mtu hawezi kumwacha bila kumchafua, huyuhuyu aliingiwa chuki kwa Makonda. Kila akifanyacho akawa anamkosoa, tena anamkashifu. Ilipoanza vita ya kufukuza mashoga, akazusha Makonda ni shoga anafukuza shoga wenzie. Akatuma hadi screenshot akichat na mtu, eti fulani kamwambia kuna mtu wa CCM alikatwa jina ubunge kisa anamchukua Makonda chakula ya Mkuu.
Alikemea sana madawa, ila asiyempenda alipoiongoza vita akaanza mengine. Hapo ndipo tukasikia yule anayemwita shoga kadinda hadi ana mchepuko wa kando.
Kiufupi siwezi kumwita Msema Kweli bali ni mlipa visasi kwa kutumia mtandao,
Huyuhuyu Mbaya wake alitangaza kuolewa akaanza kampeni za kuhakikisha haolewi. Alimchafua awezavyo mtandaoni, halafu sasa ukiangalia ukosoaji Wake unawahusu maadui zake tu na si wengine.
Jiulizeni wanaofanya makosa ni maadui zake tu?
BINAFSI NAOMBA SANA ASHIKWE AKAJIBU KESI ALIZO NAZO, SIWEZI KUMTETEA HABITHI(MZANDIKI). AKIAMBIWA UKWELI KUHUSU MAKOSA YAKE NI ANAKUBLOCK.
Siku hizi amekuwa ndie kama source ya habari nyingi za kutikisa! nakumbuka kuna habari ya kutaka kujiuzulu kiongozi mkubwa aliitoa hadi serikali ilikanusha, ukiangalia hata followers katika page yake ya instagram wanaongezeka kwa kasi!
sijui tumelogwa na nani, wanaangaika na mtu anayewasaidia kuwapa information, badala ya kuangaika na matatizo yenyewe, watakuwa wamefungua account kumi kumi insta hata humu jf tehe tehe tehe lazima adondoke mtu kwa pressure mwaka huuYap Polisi wa kwetu wanafatilia vitu ambavyo havina mantiki kabisa,Miili 7 imeokotwa ruvu kimya,Ben kamezwa na chatu wa chatle Kimya,Bashite kala rushwa kutoka kwa watuhumiwa wa ngada kimya,Bashite kafoji vyeti Kimya,wao kumtafuta mange ambaye anawasaidia kuwapa habari za kiuhalifu badala ya kumpa support wao wanamtafuta wamfunge kweli TZ Ya VIWONDER...#BASHITEWEKAVYETI.
Nilimfollow anao 300 ndani ya miezi 2 wamefika 900Siku hizi amekuwa ndie kama source ya habari nyingi za kutikisa! nakumbuka kuna habari ya kutaka kujiuzulu kiongozi mkubwa aliitoa hadi serikali ilikanusha, ukiangalia hata followers katika page yake ya instagram wanaongezeka kwa kasi!
Huyu Dada kwakweli ataishia pabaya chuki zake na visasi kwa watu vitammaliza. Hapo alipo ana kesi nyingi za kujibu, akishtakiwa hawezi kutoka.
Akimchukia Mtu hawezi kumwacha bila kumchafua, huyuhuyu aliingiwa chuki kwa Makonda. Kila akifanyacho akawa anamkosoa, tena anamkashifu. Ilipoanza vita ya kufukuza mashoga, akazusha Makonda ni shoga anafukuza shoga wenzie. Akatuma hadi screenshot akichat na mtu, eti fulani kamwambia kuna mtu wa CCM alikatwa jina ubunge kisa anamchukua Makonda chakula ya Mkuu.
Alikemea sana madawa, ila asiyempenda alipoiongoza vita akaanza mengine. Hapo ndipo tukasikia yule anayemwita shoga kadinda hadi ana mchepuko wa kando.
Kiufupi siwezi kumwita Msema Kweli bali ni mlipa visasi kwa kutumia mtandao,
Huyuhuyu Mbaya wake alitangaza kuolewa akaanza kampeni za kuhakikisha haolewi. Alimchafua awezavyo mtandaoni, halafu sasa ukiangalia ukosoaji Wake unawahusu maadui zake tu na si wengine.
Jiulizeni wanaofanya makosa ni maadui zake tu?
BINAFSI NAOMBA SANA ASHIKWE AKAJIBU KESI ALIZO NAZO, SIWEZI KUMTETEA HABITHI(MZANDIKI). AKIAMBIWA UKWELI KUHUSU MAKOSA YAKE NI ANAKUBLOCK.
Endelea kubana pumbu na kumuombea mabaya ivyoivyoHajakana na hana sifa za kupata uraia wa Marekani kutokana na criminal records zake na alishawahi kuidanganya mahakama.Ni mtu asieaminika,anaishi kwa green card kwa kuwa tu ana watoto,wakifika 18,patachimbika.
Ikitokea mtalaka akachukua watoto,(jambo ambalo litatokea soon) Mange atakosa haki ya kuishi America.
Dua la kibashiteHajakana na hana sifa za kupata uraia wa Marekani kutokana na criminal records zake na alishawahi kuidanganya mahakama.Ni mtu asieaminika,anaishi kwa green card kwa kuwa tu ana watoto,wakifika 18,patachimbika.
Ikitokea mtalaka akachukua watoto,(jambo ambalo litatokea soon) Mange atakosa haki ya kuishi America.
ni laki tisa na 46...946 kNilimfollow anao 300 ndani ya miezi 2 wamefika 900
Hivi mkuu hata zile gari zinazoonekana kwenye nyumba ya Bashite, no I mean Paul si zitakuwa za kuchora tu?mbona hiyo doc haionekani kuwa ni ya siri. ni tangazo au taarifa kwenda vituo vyote vya uhamiaji, kwangu si tangazo la siri na wala halionyeshi kuwa lilikuwa la siri.kingine mtu anayemuunga mkono mange nahisi ana upungufu wa akili kama mange alivyo.
Atapatikana tu ipo siku isiyo na jina ili ajieleze kuhusu matusi yake na bullying alizowafanyia watu mbalimbali kibaya zaidi kavuka kiwango na kuwatukana mpaka viongozi na records zoote zipo. Kwa Marekani huo ni uhalifu na wala haiko kwenye haki za binadamu kutukana wengine na kuwadharirisha, asidhani atapata kinga yoyote na ukichukulia yeye ni mhamiaji aliyegeuka mhalifu...tusubirini kitakachotokea...Taratibu hii itafika mpaka Interpol....
MpmbMwenyewe kaishia kusema mpmb yao teh
Kwani Magufuli si ana Mwaka mmoja tu Madarakani.Mange kaumiza wengi,muulize Lowassa18 yote... Magu anatembelea fimbo tayr