Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Hajakana na hana sifa za kupata uraia wa Marekani kutokana na criminal records zake na alishawahi kuidanganya mahakama.Ni mtu asieaminika,anaishi kwa green card kwa kuwa tu ana watoto,wakifika 18,patachimbika.
Ikitokea mtalaka akachukua watoto,(jambo ambalo litatokea soon) Mange atakosa haki ya kuishi America.
18 yote... Magu anatembelea fimbo tayr
 
Nyumba kubwa kunavuja kuna leakage mahali.... Muundo wetu wa habari za siri sio air tight mark tena! Kuna mianya

Mange amekuwa the first to know figure kwenye mambo mengi sana... Ni nani anampenyezea habari nyeti kabisa? Za watu binafsi na hata nyumba kuu? Au ni wale wanajeshi mashushushu waliokuja na Obama Kisha tukawakabidhi paa letu ili waangalie usalama?

Mange amekuwa snowden wa Tanzania.. Lakini sijui Kama kwa hali ilivyo atavumiliwa sana....namkumbuka Ben pekeyake na chatu
Leo kwa habari za chini ya zulia ilitoka hati ya kumkamata pengine huko aliko lakini akainyaka kabla haijamfikia rasmi... Kama kawaida yake kawafungukia mbaya

Namkumbuka Karegeya wa Rwanda na kilichompata hotelini South Africa peke yake chumbani
Kwa madesa anayoyapata huyo dem, taratibu naanza kuamini ile story ya Pombe, kumdabua mazaa makofi mpaka akazimia na kulazwa Sewa Haji.
 
kipindi cha uchaguzi uliopita wakati wa kampeni alionekana shujaa kwa upande fulani kwa kutoa maneno kwa mgombea wa upinzani, sasa kageuka upande wa pili
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Nyumba kubwa kunavuja kuna leakage mahali.... Muundo wetu wa habari za siri sio air tight mark tena! Kuna mianya

Mange amekuwa the first to know figure kwenye mambo mengi sana... Ni nani anampenyezea habari nyeti kabisa? Za watu binafsi na hata nyumba kuu? Au ni wale wanajeshi mashushushu waliokuja na Obama Kisha tukawakabidhi paa letu ili waangalie usalama?

Mange amekuwa snowden wa Tanzania.. Lakini sijui Kama kwa hali ilivyo atavumiliwa sana....namkumbuka Ben pekeyake na chatu
Leo kwa habari za chini ya zulia ilitoka hati ya kumkamata pengine huko aliko lakini akainyaka kabla haijamfikia rasmi... Kama kawaida yake kawafungukia mbaya

Namkumbuka Karegeya wa Rwanda na kilichompata hotelini South Africa peke yake chumbani
Mange yupo mbali na Tz hvo anajiona salama, lakini pia anaujasiri wa kumzungumzia /kumkashifu mtu yoyote, tatu anafollower wengi katika social network, watu kama Hawa wanaweza kufanya kama biashara ukiwa na uzandiki, au jambo la kumkashifu mtu, mnaelewana pesa, unamtumia hizo data ili azisambaze, so kwake ni kama business. Na kwakuwa nchi yetu kwa sasa inamihemko mingi ya kisiasa inawezekana kabisa wenye chuki na viongozi/ serikali kwa ujumla wakawa wanamtumia. Kwa maana hiyo kupata data kama hzo kwake sio tatizo, zaweza kuwa za ukweli au za uongo kikubwa unamlipa pesa yake.
 
Huyu Dada kwakweli ataishia pabaya chuki zake na visasi kwa watu vitammaliza. Hapo alipo ana kesi nyingi za kujibu, akishtakiwa hawezi kutoka.

Akimchukia Mtu hawezi kumwacha bila kumchafua, huyuhuyu aliingiwa chuki kwa Makonda. Kila akifanyacho akawa anamkosoa, tena anamkashifu. Ilipoanza vita ya kufukuza mashoga, akazusha Makonda ni shoga anafukuza shoga wenzie. Akatuma hadi screenshot akichat na mtu, eti fulani kamwambia kuna mtu wa CCM alikatwa jina ubunge kisa anamchukua Makonda chakula ya Mkuu.

Alikemea sana madawa, ila asiyempenda alipoiongoza vita akaanza mengine. Hapo ndipo tukasikia yule anayemwita shoga kadinda hadi ana mchepuko wa kando.
Kiufupi siwezi kumwita Msema Kweli bali ni mlipa visasi kwa kutumia mtandao,

Huyuhuyu Mbaya wake alitangaza kuolewa akaanza kampeni za kuhakikisha haolewi. Alimchafua awezavyo mtandaoni, halafu sasa ukiangalia ukosoaji Wake unawahusu maadui zake tu na si wengine.

Jiulizeni wanaofanya makosa ni maadui zake tu?

BINAFSI NAOMBA SANA ASHIKWE AKAJIBU KESI ALIZO NAZO, SIWEZI KUMTETEA HABITHI(MZANDIKI). AKIAMBIWA UKWELI KUHUSU MAKOSA YAKE NI ANAKUBLOCK.
Suhiri aishie pabaya
 
Siku hizi amekuwa ndie kama source ya habari nyingi za kutikisa! nakumbuka kuna habari ya kutaka kujiuzulu kiongozi mkubwa aliitoa hadi serikali ilikanusha, ukiangalia hata followers katika page yake ya instagram wanaongezeka kwa kasi!

Na siku hizi ujumbe wa Mange unawafikia hadi walio facebook kupitia Tanzagiza , basi raha tupu maana makumi kwa makumi wanazinduka usingizini kule kila siku
 
Yap Polisi wa kwetu wanafatilia vitu ambavyo havina mantiki kabisa,Miili 7 imeokotwa ruvu kimya,Ben kamezwa na chatu wa chatle Kimya,Bashite kala rushwa kutoka kwa watuhumiwa wa ngada kimya,Bashite kafoji vyeti Kimya,wao kumtafuta mange ambaye anawasaidia kuwapa habari za kiuhalifu badala ya kumpa support wao wanamtafuta wamfunge kweli TZ Ya VIWONDER...#BASHITEWEKAVYETI.
sijui tumelogwa na nani, wanaangaika na mtu anayewasaidia kuwapa information, badala ya kuangaika na matatizo yenyewe, watakuwa wamefungua account kumi kumi insta hata humu jf tehe tehe tehe lazima adondoke mtu kwa pressure mwaka huu
 
Siku hizi amekuwa ndie kama source ya habari nyingi za kutikisa! nakumbuka kuna habari ya kutaka kujiuzulu kiongozi mkubwa aliitoa hadi serikali ilikanusha, ukiangalia hata followers katika page yake ya instagram wanaongezeka kwa kasi!
Nilimfollow anao 300 ndani ya miezi 2 wamefika 900
 
Huyu Dada kwakweli ataishia pabaya chuki zake na visasi kwa watu vitammaliza. Hapo alipo ana kesi nyingi za kujibu, akishtakiwa hawezi kutoka.

Akimchukia Mtu hawezi kumwacha bila kumchafua, huyuhuyu aliingiwa chuki kwa Makonda. Kila akifanyacho akawa anamkosoa, tena anamkashifu. Ilipoanza vita ya kufukuza mashoga, akazusha Makonda ni shoga anafukuza shoga wenzie. Akatuma hadi screenshot akichat na mtu, eti fulani kamwambia kuna mtu wa CCM alikatwa jina ubunge kisa anamchukua Makonda chakula ya Mkuu.

Alikemea sana madawa, ila asiyempenda alipoiongoza vita akaanza mengine. Hapo ndipo tukasikia yule anayemwita shoga kadinda hadi ana mchepuko wa kando.
Kiufupi siwezi kumwita Msema Kweli bali ni mlipa visasi kwa kutumia mtandao,

Huyuhuyu Mbaya wake alitangaza kuolewa akaanza kampeni za kuhakikisha haolewi. Alimchafua awezavyo mtandaoni, halafu sasa ukiangalia ukosoaji Wake unawahusu maadui zake tu na si wengine.

Jiulizeni wanaofanya makosa ni maadui zake tu?

BINAFSI NAOMBA SANA ASHIKWE AKAJIBU KESI ALIZO NAZO, SIWEZI KUMTETEA HABITHI(MZANDIKI). AKIAMBIWA UKWELI KUHUSU MAKOSA YAKE NI ANAKUBLOCK.

Nakuonea huruma na unatumia verified user name, Mange akikupa kombola moja tu utakimbia mitandaoni kama si kujinyonga maana hadi mke na wazazi,majirani watakuona kituko...

Mfano aweke picha yako kwamba umeliwa tigo , hata ukikana tayari ameshakuchafua coz wengi wataamini na wachache hawataamini
 
Atapatikana tu ipo siku isiyo na jina ili ajieleze kuhusu matusi yake na bullying alizowafanyia watu mbalimbali kibaya zaidi kavuka kiwango na kuwatukana mpaka viongozi na records zoote zipo. Kwa Marekani huo ni uhalifu na wala haiko kwenye haki za binadamu kutukana wengine na kuwadharirisha, asidhani atapata kinga yoyote na ukichukulia yeye ni mhamiaji aliyegeuka mhalifu...tusubirini kitakachotokea...Taratibu hii itafika mpaka Interpol....
 
Hajakana na hana sifa za kupata uraia wa Marekani kutokana na criminal records zake na alishawahi kuidanganya mahakama.Ni mtu asieaminika,anaishi kwa green card kwa kuwa tu ana watoto,wakifika 18,patachimbika.
Ikitokea mtalaka akachukua watoto,(jambo ambalo litatokea soon) Mange atakosa haki ya kuishi America.
Endelea kubana pumbu na kumuombea mabaya ivyoivyo
 
Hajakana na hana sifa za kupata uraia wa Marekani kutokana na criminal records zake na alishawahi kuidanganya mahakama.Ni mtu asieaminika,anaishi kwa green card kwa kuwa tu ana watoto,wakifika 18,patachimbika.
Ikitokea mtalaka akachukua watoto,(jambo ambalo litatokea soon) Mange atakosa haki ya kuishi America.
Dua la kibashite
 
mbona hiyo doc haionekani kuwa ni ya siri. ni tangazo au taarifa kwenda vituo vyote vya uhamiaji, kwangu si tangazo la siri na wala halionyeshi kuwa lilikuwa la siri.kingine mtu anayemuunga mkono mange nahisi ana upungufu wa akili kama mange alivyo.
Hivi mkuu hata zile gari zinazoonekana kwenye nyumba ya Bashite, no I mean Paul si zitakuwa za kuchora tu?
 
Atapatikana tu ipo siku isiyo na jina ili ajieleze kuhusu matusi yake na bullying alizowafanyia watu mbalimbali kibaya zaidi kavuka kiwango na kuwatukana mpaka viongozi na records zoote zipo. Kwa Marekani huo ni uhalifu na wala haiko kwenye haki za binadamu kutukana wengine na kuwadharirisha, asidhani atapata kinga yoyote na ukichukulia yeye ni mhamiaji aliyegeuka mhalifu...tusubirini kitakachotokea...Taratibu hii itafika mpaka Interpol....

Tatizo wabongo hamjui sheria.

HUWEZI KUHUKUMIWA KWA KOSA ULILOTENDA NCHI INGINE. Mange akija Bongo hana kesi ya kujibu. Mpare kwa kesi kaisoma sheria. Labda wamshililie kama Lema.
 
Back
Top Bottom