Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Bashiterapa
 
Mkuu mshana jr,kuna msemo usemao hivi:::USIMDHARAU USIYE MJUA:::
 


Na je akiolewa na Mr Rolex?
 
dunia ndogo sana hii... unaweza puliziwa au hata ukagusishwa kitambaa chenye sumu ikakumaliza taratibu... mara kansa mara gonjwa hili, hakuna pagumu, n mtu tu hajaamua
Si alikua shujaa wa ccm kipindi cha kampeni Leo mnapanga kumuua
 
Mshana Badala ya kufurahia kuwa tunapata nyeti na Mungu aendelee kumlinda Dada na wanaompenyezea wewe unaona shaka na kutishia kuwa atauwawa! Wamekufa wangapi? anayeua hatakufa? Mwache Mange na wanaompa taarifa sio juu yetu kuwajua.wala kusikitika kuwa taarifa za siri zinavuja.
 
Ni loser........hana lolote....habari zenyewe huwa anatumiwa na maloser wenzake.....haeleweki anasimamia upande upi.... wakati wa uchaguzi alimtetea sana rais.... alimpa kila sifa...nadhani alijua JPM akiingia akiwa rais atapata chochote.......alimtukana lowasa na upinzani matusi yeyote....alimdhalilidha kwa style zote.....leo mange huyo huyo kageuka.....kama unavyosema akiwa na chuki na mtu.....mhh....huyo wema anayejifanya mdogo wake anafanya laana zote lakini hajawahi msema vibaya hata cku moja.....wanaomuunga mkono huwa ni maloser wenzake wasiojitambua kama yeye
 
Na siku hizi ujumbe wa Mange unawafikia hadi walio facebook kupitia Tanzagiza , basi raha tupu maana makumi kwa makumi wanazinduka usingizini kule kila siku
Tena ukizingatia waliowengi wanaijua fb kuliko insta
 
Duuu ulaya wana uhuru wa ajabu sana nimeona ya msanii mmoja na Rais Trump wallah nimeishiwa nguvu ingekuwa ni mataifa mengine huyo msanii tushasahau siku nyiingii
 
Ila mi naona anafanya poa tu maana wao wameamua kuendesha nchi kwenye giza. Na ndio maana hata bunge linafichwafichwa. Yaan nkiamka asubuh baada ya kumshukuru mungu kwa kuniamsha salama kinachofuata huwa naenda kwenye page ya huyu dada kuangalia tu yaliyojili then ratba zngne ndio zinafuata. Mi nadhan kuna mpango wa makusudi mungu kaupanga kupitia huyu mdada. Maana ana ujasiri ambao wanaume wa JF hata tuwe laki moja hatuwezi.
 
MANGE ANALINDWA NA MUNGU, NO WEAPON FORMED AGAINST HER SHALL PROSPER. UKIFANYA KAZI YA MUNGU UNALINDWA NA MUNGU. NA HATA AKIPOTEZWA MUNGU ATAYAAMURU MAWE YATUTETEEE WABONGO KAMA IKIWA INAMFAA MACHONI PAKE.

NYIE WENYE MAJESHI, KWA MAJESHI HAMJAMKARIABIA FARAO HATA ROBO, KWA HIO MSIMTISHE MTUMISHI WA MUNGU MANGE.
 
Mpaka sasa sijaona makosa ya Mange..

She is a whistle blower na wangekuwepo wengine kama kumi hivi, kwa utawala type hii ndio ingekuwa Safi zaidi.

Hii inatupa picha kwamba wanaomtumia taarifa na wao wameuchoka huu mfumo wa watawala na ndio maana wanampa very crucial documents maana wanajua she is super in whistle blowing.

Kiukweli mimi namuombea sana huyu dada Mungu amlinde.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…